Huyu sister nilimkubali sana alivyoigiza kama Harley Quinn kwenye Birds of prey. Alivaa uhusika (kujitia hamnazo) vilivyo. Juzi kati nimemcheki tena kwenye hiyo role kwenye The Suicide squad...
Huu mziki kiukweli unatakiwa kuangaliwa kwa jicho la pekee kwani unaenda kuharibu maadili/ utamaduni wetu. Hebu cheki haya mashairi ya wimbo wa Snura akimshirikisha MSAGA SUMU .
Msaga sumu...
Kwa mfano muvi ya radhe ya mwaka 2021 ya salman umeona action za mule ndo vile vile mtu kapigwa ngumi moja kadunda kama kitenesi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kuna muda hata babaako...
Mkongwe ambaye hapewi heshima anayostahili. Jamaa ana sick unique tecniques za kuandika na kuchana, hata maneno mengi anayotumia kwenye ngoma ni ya kwake peke yake. Yeye mwenyewe ni shabiki namba...
Samahani, WanaJF!
Naomba mwenye kujua jina la season moja ya kizungu anikumbushe,
Ilikuwa hivi, Walitekwa wanafunzi ambao ni watoto wa mawaziri, rais, makamu wa rais na viongozi wengine ndani ya...
UCHU
By A.E Musiba
SURA YA KWANZA
ARUSHA
Christopher Temu, ambaye Jumapili hii
nyumbani kwake Arusha, alikuwa amefikiwa na
ugeni mkubwa kutoka Umoja wa wanaharakati
wa Afrika...
Habar wadau Moo ni tapel mjanja mjanja sababu Ana ack kama hariackt chochote kumbe anafatilia kwa karibu uku kila anae onesha Nia ya kuto mkubali basi atapambana nae na kama huna uwezo wowote ule...
Amapiano ni muziki mzuri na hivi karibuni umekwenda Sana kwa kiwango kizuri (umu Jf tunasema umekwenda kwa kiwango Cha dreamliner) pongezi kwa wa SA yote hii ni matokeo ya uzalendo na kuamini Cha...
Hii Ndio List Ya Wasanii Wenye Wafuasi (Subscribers) Wengi Zaidi Kwenye Mtandao Wa YouTube
1. #DIAMOND 5.44M
2. #RAYVANNY 3.03
3. #HARMONIZE 2.68M
4. #MBOSSO 1.71M
5. #ZUCHU 1.44M
6. #ALIKIBA...
Kwa mara ya Tatu mfululizo Star Boy wizkid kuijaza tena the o2 london Arena baada ya kutangaza kuhusiana na kuuzwa kwa tickets zote za show yake hiyo(Sold Out) ndani ya Dakika kumi na mbili tu za...
Utii wa Roda
Mama yumo nyumbani, anapika chakula chetu.
Roda yuko nje, anacheza na wenzi wake. Sasa
mama anamwita Roda aje kumsaidia.
— Roda, njoo hapa.
— Ndiyo mama.
Lakini haji. Anacheza na...
-1-
“KWA NINI UMEMCHAGUA POKA KINGU, wakati siku za karibuni kumejitokeza mafundi wengi wa kufanya mauaji, kwa ustadi wa hali ya juu?’’
“Huyu anafaa! Aliongea Ngongoseke
“Ndiyo niambie sasa, kwa...
Kama ulicheki part 1 basi muendelezo wake nini kitajiri humo [emoji95][emoji95][emoji95]
Ngoja nitulie nayo weekend ipo kwenye store teyari na zingine hizi list ya mwaka huu
A quiet place 2...
Ikiwa leo Ndio Siku Ya kuachiwa Kwa Album Ya rapa kutokea Nchini Marekani 🇺🇲 @kanyewest, Ifahamu List Ya Mastaa Walioshirikishwa Kwenye #Donda
Hii Ndio List Ya Mastaa Walioshirikishwa Kwenye...
Nigeria pale pale (Nollywood) kuna movie zenye uchawi Sasa napenda kufahamu je katika uhalisia wa maisha Yao uchawi wanauamini kwa kiwango gani na Wana upractice kwa mfumo upi? Wa kienyeji au ndo...
Wana boda salaam.
Naombenj shule kidogo ya kuhusu YouTube tranding.
Diamond aliachia wimbo wake siku moja kabla Kiba hajaachia ngoma yake.
Wakati diamond ana views 3m ndani ya siku tatu na...
RIWAYA; DOMOKAYA.
NA; BAHATI K MWAMBA.
SIMU; 0758573660/0658564341.
1.
Walishushwa kwenye basi la wafungwa na kuamriwa kuchuchumaa huku wakiwa wamefungwa pingu za miguu...
Mwaka jana Mary aliomba Ken shilingi laki mbili za bongo kwa dharura.Ken aliogopa kumpa lakini Mary akalia Ken akakubali lakini ilibidi akope kutoka benki, kupitia simu.Mary alifurahi akasema...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.