MATUNI
“NAFSI MOJA SEHEMU TATU TOFAUTI”
By Author Xav
Simulizi; “MATUNI” (01)
Mtunzi; Author Xav
#StarXavEntertainment
====================
-UTANGULIZI-
NI Tumaini, binti ambaye anarithishwa...
Jana Baada ya Diamond kupata views m1 ndan ya masaa kumi na 3 alifanya part nyumban kwake kwenye parking yake ya Magar na kusherekea rikod yake mpya ya kupata views weng ndan ya mda mchache kitu...
Wadau please mwenye wimbo wa huyu Mama Carola Kinasha uitwao Ni Pendo Tu naomba anipostie hapa nimeutafuta sana bila
Mafanikio. Youtube bila myspace link imekufa. Mkito nimelipa but naona kama...
Kama wewe ni mpenzi wa mziki mzuri basi nenda katafute hii album mpya ya mkali sarkodie. Hakuna ngoma ya kuskip ni mdundo juu ya mdundo. Kikubwa zaidi mmakonde HARMONIZE ameua sana
Nimeona tangazo la kuahirishwa kwa show za Fally Ipupa Dar na Mwanza.Sikusitushwa hasa kwa sababu ana miziki mingi ya kubahatisha isiyo vutia kama ambavyo ukilinganisha na mkongwe Koffi Olomide...
Jana Kng kiba alitanga kuachia Video ya Wimbo wake Jealous Leo hii,. Baada ya Masaa sita kupita Sadala nae Akatangaza kuachia Video ya Wimbo wake mbovu IYO
Masaa machache yaliyopita Alikiba...
Hebu tujuzane animations za Kibongo. Japo tasnia hii bado haijakua lakini kuna chache zimetengenezwa. Hebu tujuzane Animations za kitanzania. Mimi nazifahamu hizi chache.
1. Zamani ilikuwepo moja...
Kama ww ni mpenzi wa car racing na stunt basi hii movie ya mwendelezo wa fast and fuirous inakufaa
Han hakuwa amekufa amerudi tena kifo chake kilikuwa kimetengenezwa na mr nobody ili afanye kazi...
Nyimbo: Icole
Maana: Shule (School)
Album: Bane
Kutolewa: 1990
Mtunzi: Oliver N’Goma
Mwandaaji / Producer: Manu Lima
Kibao hiki ni cha tatu katika Album yake ya Bane iliyotoka rasmi mwaka 1990...
Mwanamuziki wa muziki wa kizazi kipya maarufu kama Bongo Flava Harmonize ametoa wimbo unaoitwa Mang'dakiwe Remix ambao amesema ni Darasa la Amapiano kwa wasanii wengine. Darasa hili la amapiano...
Kumekuwa na makelele mengi kuwa mziki wa Tanzania hauna mvuto tena umeshuka.
Kelele hizi zinapigwa na wasanii wenyewe,djs na producers pia na raia wa kawaida.
Wengi wanaotoa maoni hayo wanaamini...
BAADA ya miaka minne ya kuajiriwa bila hata kuongezwa mshahara au hata marupurupu, Bwana Juma Hassani aliamua kwenda kwa bosi wake kulalamika. Jibu alilolipata kwa bosi wake ni kwamba, hakupewa...
Straight to the point,
Naomba mwenye album mpya ya Yeezy (Kanye West) - Donda aweze kuweka link hapa au kushare, nimejaribu torrents bila mafanikio.
Naitafuta sana ngoma ya No Child Left Behind
nilizoea kuishi mwenyewe..ila kwa sasa kuna watoto flan nitakuwa nao..so kwa vile mm ni mdau wa movie sana muda wote...naomba majina ya movie ambazo sitakiwi kuweka kwenye folder/flashdisk au dvd...
Rayvanny ni msanii talented sana linapokuaja suala ya kuimba yaani kibongo bongo ni R KELLY maana sio poa that's why anakimbiaza sana Spotify, tidal, apple music, you tube, Deezer , audiomack na...
Zuchu na harmonize waliachia nyimbo zao siku moja huko youtube
Lakini katika hali ya kushangaza views za Harmonize zilionekana kupaa ghafla kwa speed ya light 😅😅😅 mpaka watu tukawa tunashangaa...
Habari wana Jf
Ni muda mrefu nimekuwa nikiitafuta hii tamthilia ya Kichina iliyokuwa ikioneshwa TBC kwa lugha ya kiswahili lakini Sijafanikiwa kuipata.
Nimejaribu kugoogle kila aina ya context...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.