yelena na natasha wanaingia kwenye mikono dreykov wanapikwa kwa mafunzo makali na mbinu mbalimbali za kijasusi wao pamoja na mamia ya wasichana wanafanya kila wanchoambiwa kwa ubongo wao ni kama...
Taylor Swift, msanii namba moja kwa mauzo 2020/21
Kama unapenda melody nzuri sikiliza nyimbo hizi HUTOJUTIA
Cardigan
Seven
Willow(for girls)
tis the damn season
Long story short
Dorothea...
Kama kawaida akiona inatrend style flani ataungaunga na kuforce wimbo hadi upendwe. Jana kaingia studio na CN mufasa kutengeneza nahisi track ya mtindo wa kibondeni "Amapiano". Jamaa wanawadaka...
Mtandao wa YouTube wenye makao makuu yake Marekani. Umefuta baadhi ya viewers kwenye wimbo wa ATTITUDE wa msanii Harmonize aliyo mshirikisha Msanii wa Zamani H. Baba pamoja na msanii wa Lumba...
Leo nimeitazama mission imposible niliweka kwenye store mda mwingi nikawa naiskip tu kumbe ni bonge moja la movie
Iko hiv binti yoh dae hae ni kutoka kitengo nyeti cha usalama anatakiwa kufanya...
50 CENT, GHETTO ECONOMICS NA MUZIKI WA RAP - 1
UTANGULIZI
Peace Family
Kwenye Kitabu nilichoandika cha “Uelewe Utamaduni wa Hip Hop” kuna sura inajulikana kama “Vita vya Kimashahiri mjini New...
Back to Back Song mpaka mteme ndoano.
Kule kwa wachafu roho baada ya mziki kubuma, na kik za mademu Kubuma sasa wamejikita kwenda kukopa hela benk ili wanunue mandinga waweze trend
Hatimaye ijumaa imefika. Album hii, binafsi niliisubiri sana, mimi ni mdau mkubwa wa muziki wa Reggae, hawa jamaa wa Morgan Heritage ni moja ya Band bora kabisa ya Reggae. Gramps Morgan ametoa...
Burudani na mazoezi yamekuwa na umuhimu mkubwa katika karne hii. Viongozi katika nchi nyingi wamekuwa wakijaribu katika kuhimiza wananchi wao katika swala zima la kufanya mazoezi.
Kuwepo na...
Kuna Mzungu alikuja Tanzania kwa shughuli za kikazi. Katika mihangaiko yake alisikia njaa na muda wa lunch uliwadia. Alifikiria pa kupata chakula, aliamua kutafuta sehemu inayouza chakula apate...
Simulizi: AKWELINA
Mwandishi: RUVULY DE FINISHER
Imeletwa kwenu na: BURE SERIES
SEHEMU YA 1 YA 50
""" Mke wangu unajua hii inchi yetu ina mambo mengi mno ambayo tukiyaangalia kwa macho tunaona...
Hakika mwigizaji Jumanne Rajabu mwanzoni alikuwa anafahamika sana kwa jina la uchekeshaji la Chili Sosi au Chili akiwa na swahiba wake Ringo baada ya kuamua kuuvaa uhusika wa mganga wa kienyeji...
Inapendeza kuona mji wa dhahabu makao ametuandalia/
Lakini ikifunguliwa milango humo napenda kwanza kumuona yesu/
Ooh napenda/
Napenda kwanza kumuona yesu na sura yake ya ajabu kuu/
Mbinguni...
If only you could see the tears
In the world you left behind
If only you could heal my heart
Just one more time
Even when I close my eyes
There's an image of your face
And once again I come to...
Habari wana JF nawaletea simulizi nzuri ya Ulikuja kutafuta nini? Kama mtaipenda basi ntawaletea sehemu ya 02 sahivi tucheki hii sehemu ya 01.
Kweli hamna kinachoshindikana mbele za Mungu baada...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.