Wanabodi
Nimefuatilia kipindi cha tuelekee Yeriko cha Upendo tv cha alhamisi 21:30hrs hadi 22:30hrs, mgeni kwenye kipindi hicho ni Rose [emoji257] Mhando.
Ameeleza maisha yake, alivyofanyika...
Hallo!
Mimi sio mtu wa kusafiri sana na mabasi.
Lakini kwa muda mrefu sasa, imekuwa kila nikisafiri japo kwa mabasi tofauti tofauti, ni lazima nikutane na filamu zake.
Huyu mwamba yupo kwenye...
WANAWAKE NI WAUAJI
Mtunzi/mwandishi HUSSEIN BAKARI
MTOTO WA BECKER
mtotowabecker@gmail.com
0713 46 26 29
_________________
EPS 01
========
********
“Kwanza kabisa napenda kumshukuru Mungu kwa...
Ya kwanza niliitafuta sana aliimba fally ipupa na j martin
Sasa hii ya pili inafanana na hiyo ila jina silijui ina kama sauti yake inasema "kibai bai baiii" jina tafadhali.
Nyingine inaimba...
Washikaji wanapelekwa jela kwasababu ya harakati zaonza kutetea watu weusi huyo mwamba mmoja anafikiria namna ya kutoroka katika gereza hilo lililo South Africa gereza la watu weupe mwamba...
Maisha kwasasa yamekuwa so boring and stressful.
Nadhani ndio maana industry ya comedy inaonekana kukua sana siku za hivi karibuni.
Je, kwako ni Comedian gani bora unayependa kumsikiliza au...
Leo nimeusikia wimbo wake "Nitakushukuru" wa kitambo kidogo ukaniflashback enzi hizo
Ni Wimbo touchable sana uliotendewa haki sana sio kwa kuimba ni hadi video, mama anaimba, mama ana sauti, mama...
Katika pitapita zangu huko Youtube nimekutana na huu wimbo wa Roma Zimbambwe na hii Comment ya Jamaa imenifungua mengi sana, maana toka wimbo utoke sikuwahi kuelewa.
Je, kuna ukweli wowote...
Wapenzi wa movie wanaelewa nini nimeuliza hapo juu.
Naomba nisipoteze muda sanaaa kwenye hili
Kama umewahi kuona series ya blacklist naam utakuwa unamjua fika Raymond Reddington mzee alietumia...
Nafikili sehemu hii itakuwa muhimu kwetu kujuzana movie mpya na link za kutazama au ku download cha msingi kama unamovie umeisikia ujawai kuiona tuambie na sisi tutakupa link utaweza ku download...
binti jinxiu familia yake inauliwa yote na wajapan anapona peke ake anakwenda mjini huko anakutana n a na dada yake lakini dada hamtaki naye anataka kulipa kisasi kwa vile baba ake na binti...
Evening wakuu
Katika kumalizia weekend nimekaa nacheki hii series ya next daaah huu mzigo ni balaa kwa wale wapenda movie za sci-fi hii si ya kukosa
Nilichoona humu ni kwamba watu tunashangilia...
Tupia wimbo wowote ulioimbwa miaka hiyo unaoukubali.
Ukiwa na maelezo ya wimbo husika (mfano Kwa nini uliimbwa,msanii au wasanii na mwaka uliombwa) itakuwa njema Sana.
Lakini pia unakukumbusha...
THE PALE DOOR
Jake na Duncan ni watoto wawili wa kiume waliotiwa uyatima na majambazi walioua familia yao na kuteketeza kabisa makazi yao kwa moto. Bahati nzuri waliokoka.
Miaka kadhaa mbele...
Huwa siangalii kabisa filamu za Bongo Movie, lakini hii ya Danga naomba niseme kwamba nimekaa madakika mengi naitazama. Ilikuja tu kama recommendation ya You-Tube nikasema niicheki na kukuta...
Nilikua naomba kuuliza jambo ... Kuna hii huduma ya VOD inayomilikiwa na multchoice Africa inaitwa SHOWMAX nilikua nataka kufahamu je kuna muundo mwingine wa malipo wa hiyo huduma mfano mpesa ...
Ngoma inaitwa BABA na imeimbwa na STAMINA, Profesa J na ONE SIX.
Hakika iko kiwango na video yake ni nzuri ikimshirikisha mama Kanumba ambaye kaonyesha kipaji cha hali ya juu kabisa.
Hizi ndio...
Watanzania tumekuwa tukiubeza mziki wa singeli lakini kuna wakati utafika kuna nchi itaupora na kuuongezea ubunifu. Wataupa jina lingine na sisi tutaanza kulalamika kama kawaida yetu.
Singeli is...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.