Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...
ONGEA NA MWANAO-MAALIM NASH .Hii vitasa Moto [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91] Video Bora ya Kwanza ya hip hop mwaka huu
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Wakuu, hii ngoma ya stamina ft prof jay ni ngoma ya kufikilisha sana yani, nakumbuka miaka 1990s mpk 2000s.
1 Reactions
2 Replies
878 Views
RIWAYA: LOVE SPEAR 01 MTUNZI; AUTHOR XAV NAMBA; 0672493994 Email: xavemmanuel12@gmail.com ---------------------------- UTANGULIZI; MAPENZI ni moja kati ya njia ambayo kila binadamu anapaswa...
2 Reactions
15 Replies
12K Views
SCRIPT ZA IMA KUTOKA:KWA MSANII JOTO LA MOTO. SEHEMU YA KWANZA. NYUMBANI KWA MR BEN-SEBULENI-USIKU. Mama Esta, Mama,30, na Mr Beni, bwana, 35, wameketi sofani wakipata chakula huku wakipeana...
3 Reactions
94 Replies
25K Views
Hamjambo wakuu, Moja kwa moja, ukiwa Zanzibar km wew ni mnywaji usikose kwenda CCM, Nyuki na Mkoa, huku utakutana na pombe na wine aina zote, bila kusahau watoto wazuri kwa wasuza rungu...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Wale wazee wa kuruka tukutane hapa, Toa jina la ngoma na artist wake ukiweza kwa ngoma ambayo ukiisikia club huwezi kaa chini lazima uruke(ucheze) Ili tuwaweke sawa ma Dj wetu hapa Bongo. Crazy...
2 Reactions
51 Replies
5K Views
Kwanza unaweza kufikilia inakuwaje asichukuliwe mwanamuziki wa Marekani au mataifa mengine yaliyoendelea, pili ni kiasi gani cha pesa analipwa mwanamuziki huyo kutoka Afrika ya kaskazini...
5 Reactions
20 Replies
4K Views
Wazoefu wa game za football kati ya FIFA 2021 Na PES 2021 ipi game nzuri kucheza kwenye PC ya kawaida, Na vipi utofaut wa game izo uzuri Na ubaya, wa izo games? Nawasilisha
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Kwa wale walioiona hii movie vipi ni nzuri? Na inahusu nini?
2 Reactions
21 Replies
4K Views
IP MAN 4 KUNG FU JUNGLE JOHN WICK 3 OLD GUARD EXTRACTION TERMINATOR ZOTE NOW YOU SEE ME HARD WAY ya michael jai white THE INFORMER LOST BULLET THE EQUALIZER INVISIBLE DRAGON thank me late after...
1 Reactions
6 Replies
938 Views
Ali Kiba katoa wimbo mpya Infidèle, kwa walio sikiliza na kutazama kichupa chake mna maoni gani? Kama bado hujaitazama link hii hapa chini
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Rappers wa marekani kati ya East Coast na West Coast Nani wako vizuri?
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Kwa mnaofuatilia mziki wa majuu hasa pale Marekani, hivi kati ya Future na Young Thung nani zaidi?
0 Reactions
4 Replies
1K Views
hizi penseli zinaitwa perican coloured pensil ni nzuri kwenye kufanyia nakshi unapokua unachora picha zako kwa karikoo naweza zipata wapi
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari wadau, Leo nimeandaa huu uzi makusudi ili watu tupeane nyimbo nzur za soft rocks au atrong feeling songs. Kwanza mjue soft rocks ni tofaut na pop music mfano watu wanahoji celine dion...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Simulizi;Chumvini Mtunzi; Abrana tz Whatsapp;0685946317 Age.........18+ Sehemu ya tatu.03 Ilipoishia.... Kama ujuavyo mtoto yoyote awe wa kike au wakiume akishafika kidato cha nne akizungumzia...
0 Reactions
2 Replies
5K Views
Hivi wakuu tamthiliya ya Kichina Magic Box inayorushwa Channel Ten, hivi inarushwa siku gani na saa ngapi?
0 Reactions
1 Replies
656 Views
Azam Sinema zetu mmeleta ubunifu mzuri wa kuwapromoti wasanii wa filamu na wengi wanacheza filamu nzuri, tatizo linakuja kwa Wahariri kukata baadhi ya tamthilia na kuweka matangazo ambayo mengine...
2 Reactions
3 Replies
2K Views
Hili liko wazi kabisa, wala halihitaji ubishi. Kijana huyu ana cheche na moto haswaa wa kuweza kukamata siti iliyoachwa wazi na Harmonize. Najua matarajio ya wengi ni kwamba Rayvany ndio ataziba...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Back
Top Bottom