HABARI NJEMA KWENU MASHABIKI WETU DUNIANI KOTE
Mlisema Mnaitaji Back To Back Kwa Fujo Na International Collaboration Kutoka #KingsMusic
Sasa Mwaka Huu Mtakula Bata Sana Na Kutembea Vifua Mbele...
Hitimisho la muziki kwa miaka ya nyuma lilikuwa ni kutoka huko Marekani na ULAYA maana tuliona wasanii wengi wakipishana kuja Afrika kufanya shoo na kuondoka na vitita vya fedha tofauti na miaka...
Mchezaji wa Kijapan mwenye umri mkubwa Kazuyoshi Miura (54) anarudi tena uwanjani baada ya kuongeza mkataba wa mwaka mmoja na club yake ya Yokohama.
Kazuyoshi Miura atatimiza umri wa miaka 54...
Sitasahau siku Mushi alipokuja kufanya vurugu nyumbani kwangu akijiaminisha kuwa cheo chake cha upolisi ndio kinga yake.
Mungu si Athumani. Leo hii Mushi sio Polisi tena. Ama kweli Dunia duara...
WARAKA MAALUM KWA WATANGAZAJI WA RADIO NA TELEVISHENI-TANZANIA.
Dated 13,Desemba 2020.
Masikitiko yangu makubwa ni Watangazaji wa Radio na TV hasa vituo vikubwa Kama EATV, ITV, CLOUDS TV...
Nikiwa nafanya programming au nimekosa usingizi huwa napenda kusikiliza aina izi za mziki, japo ni nyimbo za makelele nasikiliza na ata zile zenye noise kabisa kama VAPORWAVE / GLITCH / 8 BIT...
I love this channel, hasa mapishi na real estate including interior design ya nyumba. Toka mwaka uanze Azam wameiondoa. Wameleta "Real Time" ambayo kusema ukweli lo! Kulikoni Azam TV?
Miaka inaenda sana jamani. Huu wimbo unarudisha kumbukumbu nyuma.
Ni burnout ya Sipho 'Hotstix' Mabuse South Africa. Ulitawala sana miaka ya themanini. Watu walikuwa na furaha sana ulipochezwa...
Wakuu haya makundi mawili yalipata kutamba sana kwa muziki wao mtamu!hapa nazungumzia Wenge ya JB Mpiana na Extra ya Rogaroga!Je,wewe mdau unalikubali kundi gani zaidi?Mimi binafsi bana Extra...
Huyu jamaa makampuni yanavyogongana kutaka awatangazie biashara zao huwa hawakosei. Nilikuwa sijawahi kulisikia hili tangazo la pepsi, huu wimbo nakiri kabisa kuwa ni hit song kwa upande wa...
Nimeangalia kipindi cha Salama na, kinachorushwa kupita EATV, Rais mtaafu Jakaya Kikwete anaonekana mtu wa furaha.
Ninahisi hayo maisha ya furaha ndio yanamfanya kimuonekano hazeeki yuko fiti...
Riwaya:MACHO YA AJABU
Na:Humph de throne
WhatsApp:0629314605
Sehemu ya kwanza
Yapata karne kadhaa zimepita toka kipindi ambacho himaya kubwa ya mfalme Sangu akiwa kama mtawala mwenye nguvu Katika...
Nimeuliza hivyo baada ya kugundua kuwa nyimbo za taifa au ukanda fulani ni lazima utazielewa tu haijalishi ni za kurapu, dini, kwaya, sherehe au zozote zile.
Au inafanywa hivyo makusudi hii ili...
Wakuu habari zenu.
Wale wapenzi wa music wa dansi naombeni mnitajie nyimbo za huyu mwamba nizipakue mtandaoni tayari kwa kuzisikiliza.
Shukurani kwa wote mtakaoonesha ushirikiano.
Heshima kwenu wakuu...!
Naombeni mnisaidie wimbo wa Kikosi cha Mizinga unaitwa Kinondoni au Kino uliimbwa na Kikosi pamoja na wasanii kadhaa wa Kino akiwemo TID kwenye Chorus Saigon, Stiba...
RIWAYA; MTUHUMIWA
MTUNZI; HUSSEIN TUWA
SEHEMU YA KWANZA.
Daily News, Julai 12 (Imetafsiriwa):
Jambazi hatari linalojishughulisha na biashara ya madawa ya kulevya huko Marekani ya Kusini...
Wadau naomba msaada wa kujua sinema (movie) za vichekesho za watoto kuanzia miaka 3, ambazo si za vibonzo (katuni). Endapo zipo nyingine nzuri za katuni unakaribishwa pia kunipa msaada. Ila...
Wakuu,
Habari ndio hio.
Hii ni filamu ambayo hutaiona labda watoto wako au wajukuu zako.
100 years:The movie you will never see; ni filamu iliyotayarishwa mwaka 2015 chini ya Director Robert...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.