Tuzo za Grammy za mwaka 2021 hazitafanyika tena mwezi huu huko Los Angeles Crlifornia na badala yake zitatangazwa mwezi Machi kwa sababu ya kuongezeka kwa visa vya virusi vya corona na vifo...
Baraza la Sanaa nchini Tanzania (BASATA) limemfungia kwa muda wa miezi sita (6) msanii wa Muziki wa Bongo Flava Gift Stanford Joshua maarufu kama Gigy Money, kwa kile kinachodaiwa kuwa msanii huyo...
Kifupi ni kwamba hili beat nilikuwa nalisikia tangu udogo wangu . Miaka ya tisini mwishoni jirani yetu alikuwa na kaseti iliyokuwa inapiga hili beat kwenye masherehe.
Nilijaribu kulitafuta...
Kwenye kipindi cha joto la asubuhi mmezidisha miziki badala ya kutujuza mambo mbalimbali, masaa ya asubuhi tunategemea kupata habari zilizojiri kama vile PB ya clouds fm.
Sasa EFM kipindi cha...
Kwa wale wadau wa muziki mnaofatilia ngoma mbalimbali za kibongo, africa na america embu fanya kushare nasi ngoma 10 za 2020.
Hizi zifuatazo ni top10 zangu za ngoma kali zilizofanya vizuri 2020...
Please wa JF nimekomaa toka juzi naitafuta sijaipata ila nakua hapa kuna wajanja zaidi yangu watafanya maajabu tuu
Sent from my iPhone using JamiiForums
Mazee niaje?
Tukiwa tunaufunga huu mwaka wa double 20, unahisi ipi ni nyimbo kali zaidi ya kuisikia ndani ya 2020?
Kwangu mimi ni;
Nakuja by Mdogo, balaa, ni nyimbo kali zaidi ya kufungia...
Aliyekupa wewe hajanisahau
Nina imani hatakama mda bado
Kukata tamaa kwangu nishasema mwiko
Bado nipo,jana na leo
mmmhh🎤🎵🎵
Tunapambana japo nasi tuwe mbali🎼
Na matatizo tumeyageuza morali🎶🎶
Iwe...
COLLABO 10 KALI ALIZOWAHI KUSHIRiKISHWA CHRIS BROWN NA ZIKAWA MOTO HASWA.
1.NICK MINAJ FT CHRIS BROWN__RIGHT BY SIDE
2.RITA ORA FT CHRIS BROWN__BODY ON ME.
3.RICK ROSE FT CHRIS BROWN__SORRY...
Huyu mtoto leo ametekwa na watu waliotumwa na mjomba wake. Anapelekwa kuuzwa biashara ya ngono. Ila kwa upande mwingine anko inaelekea ataumbuka tena baada ya jaribio la kwanza kutaka kumuua...
Ujue kuna baadhi ya nyimbo ukisikiliza vizuri mashairi yake unaona kabisa mwimbaji alikuwa anakufatilia hivi/yaani kila kitu kinagusa maisha na matukio yako kadhaa.
Mimi wimbo wa Mwana FA ft Jay...
Technology inaenda kwa kasi sanaa..
Naomba niongee kitu kuhusu wapenzi wa movie na Netflix,
Nimekuwa mtumiaji wa netfllix almost 2 years now!!
Japo sio mtumiaji sana lakini, kwa sababu nina Apps...
Habari za leo wakuu.
Bado naendelea kuimba japo sijaanza ku record official kutokana na mazingira kutokuwa rafiki.
Lakini malengo yangu nataka kushiriki international talents.
Nipeni njia...
Habari wanajamvi, kwa wapenzi wa kuogelea na kubarizi upepo wa ufukwenu karibuni tupeane location zenye kuvutia kwa ajili ya mapumziko hasa hizi Holiday seasons.
Tunakaribishwa kushare Swimming...
Kila Mara nisikiapo wimbo huu wa mahadhi ya ki Swedish kutoka kwa Abba huwa nakukumbuka wewe. Umetutoka miaka kadhaa nyuma kipindi Kama hiki.
Ulifanya utoto wangu kuwa remarkable. I love U...
Story inaanza belle 9 katendwa na mpenzi wake aliyekuwa anampenda kiasi cha kutamani kufa pamoja nae,
Sasa wakati anaugulia maumivu ya kutendwa tena kutendwa kwenyewe katendwa kwa kusalitiwa na...
Kam kichwa kinavodai tupia movie ambalo huez kuchoka kuiangalia kwa jinsi akili nying zilivotumika ndani ake...(INTELLIGENCE)
Nb; movie yangu ni VANTAGE POINT... hii inahusu njama za kumuua rais...
Bora ya Maboya wataelea kwenye maji ila kwa hizi mtapiga deki nyumbani kwa watangaaa zaajiii Ukisikia sound nzuri ujue ni mgeni sio wahapahapa,Mademu mnawapitia makwao hamuwangojei cd za show...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.