Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...
Mchezaji huyo wa kimataifa wa Uruguay atakosa mechi zijazo, zote huko Old Trafford, dhidi ya Aston Villa (Premier League), Manchester City (nusu fainali ya Kombe la Carabao) na Watford (Kombe la...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari wadau! Kwanza naomba kukiri kwa kinywa changu kwamba mimi ni mbaguzi sababu hata rais wa Marekani bwana Donald Trump alishawai kukiri kwamba yeye ni mbaguzi ila kuna watu ni wabaguzi zaidi...
5 Reactions
52 Replies
4K Views
Daha maskini ya Mungu, ndugu zangu wana dansi unajua hata bongo fleva na bongo movie hawapendani tena huwa wanalogana kabisa lakini wakiwa na shida fulani au wakiona hatari inawakabili huwa...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Habarin wadau Natafuta hotel au sehemu nzur yenye swimming pools za kuogelea .micheza nk ili nikale huko new year mchana kesho nishinde huko adi usiku Naish GONGO LA MBOTO tajen sehemu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habarin wadau Natafuta hotel au sehemu nzur yenye swimming pools za kuogelea .micheza nk ili nikale huko new year mchana kesho nishinde huko adi usiku Naish GONGO LA MBOTO tajen sehemu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwema Wadau wangu mko poa, Natumaini wazima wote, Oke. Wakuu mi naomba kuelezwa kama kuna mmoja wapo alishaona hizi movie sijui hiyo ya Will Smith ni series ata sielewi, kiufupi nijue zinahusu...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Wadau nimejarbu kufatilia nyimbo za mwaka mpya zenye sound ya joy Flan hiviii, same as Abba and joy to the wold, iwe sweety,joyful&sound Drop yours please[emoji144]
0 Reactions
1 Replies
670 Views
Jana usiku ilikuwa siku ya huzuni kwa mashabiki wa Twanga pepeta na wa dansi kiujumla. Inajulikana kwamba mziki wa dansi unapitia kwenye hali ngumu ushachukuliwa poa sana na media hata na serikali...
5 Reactions
30 Replies
3K Views
Goood guuud safi sana kali aiseee
1 Reactions
74 Replies
8K Views
Msanii maarufu kutoka SA Focalistic AKA mzee wa Ke star atatua Dsm weeknd hii na atapiga show pale elements masaki. Msanii huyu anaetamba na kibao chake cha “ke star” featuring Vigro deep mtaalamu...
0 Reactions
25 Replies
2K Views
Ngoma mpya ya king kiba nakupenda ni hatari na nusu. Imefunika ngoma zote mwaka huu. Ni bonge moja la collabo la kimataifa ikiwa inakaribia views laki nne ndani ya masaa 18 tangu iachiwe huko...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Kuna kipindi niliona Vanessa anaimba nyimbo yake na wapiga violin ilikuwa kama orchestrals, nimeona bwana wake Rotimi atakuwepo kwenye movie hii ya coming to america 2,nikakumbuka kazi imefanyikia...
2 Reactions
2 Replies
2K Views
Hii ngoma yako " WAAH " ni ngoma kubwa sana. Subiri mpaka ifikishe views 1b ndo ufanye ngoma nyingine. Am sure as hell by the time inafika june WAAH itakuwa na viewers...
4 Reactions
4 Replies
1K Views
Hawa vijana wako poa sana leo walikuwa wanachambua movie ya black panther wamenifanya niitafute tena niangalie kwa ukaribu. Kuna mdada anaiwa Ilham Rashid shombeshombe hivi yuko poa sana...
0 Reactions
5 Replies
931 Views
Hakika huyu kiumbe kashindikana. Hii ni zaidi ya ile ya kigoma
0 Reactions
31 Replies
7K Views
Habari Wakuu. Kwa Wahenga na wale kizazi kipya kuna matukio yalitokea, kama si kumbukumbu za vyombo vya habari, basi anayekusimulia,utamuhisi amekopi sinema fulani na si uhalisia ulotokea...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
GENERAL DEFAO mara ya kwanza nasikiliza album ya Defao (Defao Matumona) ilikuwa inaitwa General and Big Stars mwaka 1993 nlipenda saut ya huyu jamaa alikuwa naimba kw autulivu flani ingawa sikuwa...
26 Reactions
242 Replies
51K Views
Habarini watu..? Moja kwa moja niende kwenye mada husika ni kuwa ombi au hoja yangu ni kutaka kutumika wataalum wa saikolojia ktk uandaaji wa filamu.. masoko ambayo haswa nimeyalenga ni haya ya...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Back
Top Bottom