Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...
wimbo gani utakukumbusha mwaka 2020... We taja tu hata kama.... We taja tu..... ...nimesema we taja tu... Mabaya..mazuri...yote ni lazima tuyapitie.. 2020 Countin down
0 Reactions
4 Replies
819 Views
RIWAYA: MSAKO WA MWEHU MTUNZI: Badi .M. Bao MWASILIANO. 0625920847, ( whatsap ) E- mail: badi.bao11@gmail.com Dar es Salaam SEHEMU YA KWANZA SURA YA KWANZA Idara ya magonjwa ya akili, Hospitali...
7 Reactions
273 Replies
46K Views
Ni nani unaona nani ni moto wa kuotea mbali kati ya Ray C na Jide, Enika na Nandy.
1 Reactions
35 Replies
4K Views
Yaani katika dunia hii ya watu karibu takriban bilioni 8, nyimbo ya kijana wetu, mTanzania mwenzetu, Diamond Platnumz - WAAH ndio nyimbo namba moja duniani kwa sasa. Wizara ya maliasili na...
7 Reactions
114 Replies
17K Views
Wadau huwa najiuliza hivi yupi mkali Kati ya rapper na mc na wana tofauti gani ila nakosa majibu Sasa naomba 2discuss
1 Reactions
7 Replies
2K Views
1. wimbo wa AKON - DONT MATTER Huu wimbo huwa unanikumbusha saana rafiki yangu wa kike enzi za chuo alikuwa anaucheza saana kila ukipigwa, so nikiusikia namkumbuka japo kaolewa 2. Wimbo wa Witney...
2 Reactions
6 Replies
924 Views
Ndugu wana JF natumai mu wazima, Naomba member yoyote aliye na wimbo "LAST TIME WE MADE LOVE" BY TANYA BLOUNT au upload hapa kwenye jukwaa nami nitaudownload maana nimeutafuta huu wimbo kwa...
1 Reactions
22 Replies
9K Views
Nautafuta wimbo wa msanii anayeitwa Clean bandit na Sean Kingston unaitwa,rockabaye Tafadhali mwenye nao aniwekee hapa maana nimejaribu kugoogle naupata ila nashindwa kuudownload
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Hizi ndizo baadhi ya drama bora kabisa za kikorea zilizo toka mwaka huu kama hutaweza kuona zote basi hakikisha hukosi kuona hata kumi kati ya hizo CRASH LANDING ON YOU ITAEWON CLASS IT'S OKAY...
6 Reactions
21 Replies
4K Views
Drama za Korea zimegawanyika katika theme mbalimbali ambazo zina deal moja kwa moja na maisha yetu ya kila siku. Kutuelimisha na kuburudisha pia. Drama za Korea zimegawanyika katika genre tofauti...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Mabibi na mabwana Maalim karidhia serikali ya umoja wa kitaifa. Pamoja na yote Maalim si wa kubeza. Karibuni kwenye mwendelezo wa tungo hizi waungwana: Ninaamini Seif kaipigania Zanzibar...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Moja kati ya wizara ambazo kwa kipindi cha kwanza cha awamu ya tano binafsi naona haijaleta mabadiliko basi ni Wizara ya Habari, Sanaa na Michezo chini ya Dr H Mwakyembe na naibu wake Mh Juliana...
3 Reactions
12 Replies
1K Views
Wanamuziki, kwa nini wanapenda kuvaa miwani ya jua muda wote, hata kama hakuna mwanga mkali, wanaficha nini? Wenye kujua wanielimishe
1 Reactions
5 Replies
978 Views
4 Reactions
24 Replies
3K Views
Penzi aligawanyiki sehemu ya kwanza-sikuzaliwa wakati hizi nyimbo zinatamba lakini izi nyimbo kwa kweli zina nipa amani sana kila nikizisikiliza
2 Reactions
11 Replies
4K Views
Stress ni pale unapompa msichana lift halafu akazimia ndani ya gari yako na humjui wala hujui kwao. Ulimkuta tu njiani ukamsaidia.! Noma zaidi ni pale unapoamua kumpeleka huyo msichana hospitali...
4 Reactions
4 Replies
1K Views
Kwa wale watu wa miaka hiyo bila shaka mtakumbuka umahili wa bwana huyu katika medani za muziki wa dansi....R.I.p Jerry Nashon Dudumizi
2 Reactions
33 Replies
14K Views
Nina link itakayokuwezesha kupata nyimbo pendwa za kongo za wasanii wakongwe.na utazidownlod kwa single click tu...yaani haina maelezo au mbwembwe zisizo na sababu..kwa wanaohitaji lakini..kama...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
nimetoka kuingalia filamu ya 'Dragons Forever' ya kina Jackie Chan, Sammo Hung na Yuen Biao hivi punde kupitia Rembo tv. dah, nimekumbuka mbali sana........ucheshi, uchangamfu na uhalisia uliopo...
4 Reactions
46 Replies
3K Views
Merry mtoto wa mzee juana kitambo tunajuana, sio juzi wala jana hatujawahi kuzinguana....Zaidi ya kuniamsha hari yakuzidi kufanya... pindi napo kuchambua hakuna nachotoa zaidi ya mbegu jinsi...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Back
Top Bottom