Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...
SISTER MURCIA. NA HEMED MAYUGU. NO. (01). Ni sister ambaye alikuwa na upako mkubwa na inasadikika alikuwa na uwezo wa kuomba chochote na mungu akamtekelezea. hata kama alikuwa na njaa yeye...
3 Reactions
22 Replies
6K Views
Kwa ufupi mwaka huu pamoja na kuwa wa mabalaa ila kwa upande wa burudani hasa mziki imesonga kama kawa. Shiriki nasi wimbo zilizobamba sana kwako kwa mwaka huu. Mimi: Dear God; - DAX Lyrics; I...
2 Reactions
19 Replies
2K Views
Unajua kila alfajiri hapa nchini Ujerumani ninafungua kamgahawa kangu; ni kagari nimekafanya mgahawa unaotembea. Sasa kuna sehemu apa karibu nimepata location nzuri ina mchanganyiko wa watu...
6 Reactions
40 Replies
4K Views
Habarini. Huyu Kijana Imelazimika Nimsalimie “Shikamoo ” Hata Kama ninamzidi Umri. Salaam Hii inakuja Baada Ya Kusikiliza “WAAAH” aliyo Mshirikisha Koffi. Hili ni bonge moja la Sebene kwa Kila...
19 Reactions
297 Replies
40K Views
Sehemu ya 01 Mtunzi: Ally Katalambula Ndoa ni kama jumba au ngome yenye siri kubwa, waliopo ndani wanataka kutoka nje na walioko nje wanatamani kuingia ndani. Waliotoka kwa makosa ya kujitakia...
3 Reactions
104 Replies
20K Views
SEHEMU YA 01 Nilikuwa bado kijana na umri wangu ulikuwa wastani wa miaka ishirini na mitano. Sikuwa nimepata elimu ya kutosha baada ya wazazi wangu wote wawili kufariki dunia wakati nikiwa...
4 Reactions
99 Replies
43K Views
Wakuu GT, Mara kadhaa nimesikia kuhusu shindano hili la Miss Tanzania nilikuwa naomba kufahamishwa faida yake katika nyanja za kiuchumi, kisiasa na kitamaduni. Pia taifa kuwa na Miss linafaidika...
2 Reactions
38 Replies
6K Views
Simulizi : Bahari Ya Hindi Sehemu Ya Kwanza (1) Ilionekana gari moja aina ya Mark II (old model) ya kizamani,ikipaki nje ya geti la kuingilia bandarini….wakashuka watu wawili,,Mwanaume mmoja na...
5 Reactions
44 Replies
10K Views
Daa Hii movie nimeiona miaka nyuma kidogo sijui inaitwa je,ipo hivi Kuna mama alikuwa analea watoto, sasa pale kwake kuna maabara flani doctor alikuwa anafanya utafiti, Kuna siku doctor...
0 Reactions
0 Replies
857 Views
Mapinduzi ya burudani:Nimekuwa mdau wa matamasha ya burudani hapa nchini na nimefarijika kuona matamasha yanazidi kuongezeka na hii itawapa changamoto wasanii watengeneze ngoma Kali ili tupate...
2 Reactions
18 Replies
3K Views
Karibuni kilingeni wapendwa mzigo utashuka hapahapa ila hii si ya kukosa kabisa
4 Reactions
77 Replies
24K Views
Baada ya kuimaliza riwaya ya UKURASA WA GAIDI,huku tukielekea mwisho wa riwaya ya SAUTI YA MTUTU,Ni wasaa mwingine kukuletea MBWA WA GETI. Riwaya hii nitaanza rasimi kuiweka hapa keshokutwa,saa...
9 Reactions
370 Replies
56K Views
NA; BAHATI K MWAMBA -----1------ Kikao cha watu watatu kiliendelea na kila Mjumbe, tayari alishatoa wazo lake aliloona ni sahihi kwa wakati huo. Makubaliano ya hapa na pale...
23 Reactions
269 Replies
56K Views
RIWAYA; NGOMA NGUMU NA: BAHATI K MWAMBA SIMU: 0758573660/0624155629 NAIROBI, KENYA… Kulikuwa na mabishano makubwa ndani ya nyumba moja ya kifahari, katikati ya jiji la Nairobi. Kulikuwa na...
5 Reactions
56 Replies
13K Views
Kwakua sifahamu sana mambo ya HIPHOP huenda nikawa nimekosea kuuliza swali (Mtanisamehe) Naomba kujuzwa mambo kadhaa kuhusiana na hiphop. 1. Tofauti ya MC na RAPPER 2. Wanasema hiphop ina nguzo...
3 Reactions
68 Replies
10K Views
Mshkaji nammanya kitambo sana kwa title ya danny msimamo alidondosha vitasa kadhaa kikiwepo hiki cha leo ambacho nakichededea sana. kitasa kinaitwa MIC. Kitambo sana nimekisikilizia hiki kitu...
2 Reactions
4 Replies
2K Views
Naona mashabiki wapo busy kujadili Na kulinganisha wasiojua mziki wanaacha kusikiliza mziki mzuri. Link Hiyo hapo chini akiwa Na Ben pol, huu ndio mziki sasa wengine hao wanapiga makelele...
5 Reactions
109 Replies
94K Views
Story: Jamani baba-1 Mtunzi: JAMES Oooh! Jamani baby we mtamu mpenzi wangu unanikuna vizuri jamani, nakupenda sana mpenzi wangu, nakuahidi sitokuacha kamwe mpenzi wangu! Nishike hapo hapo dear...
3 Reactions
9 Replies
13K Views
Heshima mbele wadau, ninahitaji kununua system ya mziki wa club, je ni vitu gani vinahitajika kufanya system nzima na bei yake ikoje, specifications zipi za kuzingatia?? Gharama yake kiasi gani?
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Back
Top Bottom