Yaani naboreka sana msanii utakuta anatoa ngoma (wimbo) kali sana natrend kila kona, lakini haifanyii video au utakuta video yake mbovu.
Mfano:
1. Dhahabu- Dully Sykes ft Blue & Joslin
2. Run...
Film ya Terminator 2. Ya mwaka 1991 iliyo chezwa na Anorld Schwarzenegger katika film hiyo Anorld Schwarzenegger alikua analipwa Tsh.50millions kwa kila neno alilo tamka.
Nakatika Film hiyo Anorld...
Msanii Harmonize baada ya kudondosha muziki wake wa USHAMBA amekuwa akiweka post mbali mbali zikiashilia kama kijembe na kujawa na majigambo kuhusu wimbo wake huo hii hapa chini ni miongoni mwa...
Halafu kaeni mkijua kuwa kuna wengine Mwenyezi Mungu 'ametubariki' na 'Vipaji' vingi tu hivyo hata huku 'Kuimba' tunaweza vile vile sema tu haikuwa 'Kipaumbele' chetu. Kama kuna 'Msimu' wa BSS...
Huu Wimbo wa 'WAAH' ukiwa unapigwa au hata unausikiliza tu popote pale halafu huamki ama Kucheza tu au Kutikisika basi utakuwa na matatizo Kichwani au utakuwa ni mwana Yanga SC mwenye Roho Mbaya...
Diamond siku ya leo ameachia video ambayo ilikua inasubiriwa sana baada ya audio yake kufanya vizuri sana, na kwa hamu waliyokuwa nayo mashabiki wamesababisha kuivamia video hiyo na ndani ya saa...
Nakumbuka unaitwa "Jina lako li hai" umeimbwa na Kijitonyama Upendo Group.Unaimbwa Jina lako li hai x3,ewe Yesu,Jina lako lina nguvu x3 ewe Yesu.Nikiupata nitafurahi sana.Natanguliza shukrani...
Azama wamepandisha bei ya ving'amuzi vyao tofauti na wanavyojipambanua kwenye matangazo yao. Nimetumiwa sms hii
Ndugu mteja, kuanzia tar 1 Disemba bei za vifurushi ni 8000, 13000, 20000 & 28000...
Wakuu kuna movie unaeza kuitafuta pindi inapotoka baada ya kusifiwa sana na media au wadau lakini ukaja kuitazama na kukuta ni movie mbaya ( inayoboa na kutokueleweka ) au imekuzwa mno kuliko...
Katika kuangalia zangu series hiz ndio series zangu kali za mda wote
1.innocent defendent
Hii ndio kwangu series yangu Bora kuliko zote hi ni ya kikorea ya town inamchanganyiko wa matumizi ya...
RIWAYA : Kitisho
Sehemu Ya Kwanza (1)
Mbowe club saa 1:23 usiku
RADI kali ilipasua anga na kufanya mchoro wa kutisha, mwanga wake ulilipoteza giza kwa sekunde kadhaa, kila kilichojificha...
"Mwambie yule mtoto moto huu haingii hapa,kitonga atakachopa ni Wi-Fi tu,labda apate sare nimeanza na plan b,flow zake imekataliwa kama kinga iliyovaliwa ,.
.....kudadeki Young lunya yuko vizuri...
Salaam wapendwa.Kama heading inavyosomeka hapo juu,mwenye huo wimbo wa Ras Lion (huyu wa wa2ku2) anisaidie tafadhali,nimekumbuka nyimbo za zamani mnoooo.AHSANTENI
Naona kabisa moja Kati ya redio iliokuwa na power Sana kwenye enteinment Ni hii.Ukiangalia miaka ya nyuma ukipita nyumba 7 basi Kati ya hizo 5 utakuta zinasikiliza clouds fm ila kwasasa hiv Hali...
Mwigizaji Brahmanandam kutoka India ndiye mwigizaji anaeshikilia Rekodi ya Guinness Book yakua mwigizaji aliye onekana katika filamu nyingi zaidi duniani ,
Brahmanandam ameonekana kwenye filamu...
Matt Damon au almaarufu Kama Jason Bourne na Daniel Craig au James Bond yupi mkali katika ule ulimwengu wetu wa ujasusi?
Ni kazi gani NJEMA ya hawa miamba hujutii kabisa kuziangalia?
Hollywood ni makazi pendwa sana ya watu maarufu huko Marekani na sio kuwa maarufu, na hata kwa matajiri mbali mbali duniani Hollywood it's a place to live na hasa Beverly Hills. Na hapa naomba...
Kwa kutumia vigezo vya Tuzo za ndani na nje ya Afrika, Mauzo ya Album, Show kali za kimataifa (matamasha makubwa), Hits n.k
Unafikiri nani msanii bora wa Afrika kwa sasa?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.