Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...
Angalia remix ya huu wimbo Jerusalema alioshirikishwa Burna Boy, naona kama ameupa huu wimbo ladha nyingine nzuri, enjoy!
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Wakuu huu wimbo Tundu Lissu alijifikiria nini kwenda nao katika kampeni? Kiukweli umenigusa sana hasa hiyo mistari niliyobold ina maana kubwa sana. Tundu una akili sana na napenda unavyojua...
4 Reactions
5 Replies
2K Views
Wanajamvi, nakuja kwenu kutaka msaada kwa wataalamu wa fasihi kuhusu ujumbe uliomo katika wimbo uliotajwa hapo juu. Kiukweli Mrisho Mpoto namkubali sana kwa mashairi yake - tatizo tu sipati ujumbe...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Kamala Harris akicheza ngoma mara baada ya kuchaguliwa kuwa makamu wa Rais U.S. Na ifahamike kwamba Kamala Harris ndiye mwanamke wa kwanza mweusi kuchaguliwa kuwa Makamu wa Rais nchini humo.
2 Reactions
22 Replies
2K Views
habari wakuu, Kuna series ilikua inaonekana Mambo TV Swahili inatwa The magic box, niliona nao pia channel10 ilikuwepo, nilikua naomba kujua kama kuna website au app ambayo naweza kuangalia au...
1 Reactions
7 Replies
4K Views
Onyesho la Kwanza CHRISTINA MSALABANI Na, E. Mashele (2019) Nyumbani ( Nyumbani kwa kina Christina, nje kidogo mwa nyumba yao katika...
1 Reactions
0 Replies
792 Views
Wakuu kwema? Poleni na majukumu ya hapa na pale. Kwa wasikilizaji na wapenda muziki wa Afrika,Mmeuona ujio wa Star Boy Wizkid(Made In Lagos) Album yake ya MADE IN LAGOS ambayo kwa sasa ni gumzo...
3 Reactions
31 Replies
3K Views
Anaitwa Usain Bolt Ni mwanariadha, anauwezo wa kukimbia kwa wastani wa mita kumi(10m) kwa sekunde(1sec) Yaani uwezo wake hukimbia mita 100(100m) kwa mda wa sekunde kumi(10sec) sawa na uwanja mmoja...
1 Reactions
4 Replies
874 Views
Huyu jamaa aliyetengeneza Hii filamu nikiri kamwe hatokuja kutengeneza filamu nyingine tena kama Hii. Kuna GENTLEMAN humo anaitwa john krammer nilimvulia kofia. Kwanza filamu kiujumla inmhusu...
6 Reactions
21 Replies
3K Views
kuna collabo nyingi nzuri tu ila zipo ambazo kwangu ni nzuri zaidi. huwa napenda collabo kwani ndani yake utasikia radha na sauti tofauti tofauti.... zifuatazo ni baadhi tu ya collabo hizo...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Naomba nisiwachoshe wakuu, kama mada isemavyo naomba kujua huyu jamaa aliyeimba wimbo wa hip hop uitwao nakupenda hip hop, wa kuitwa Roho 7 yuko wapi siku hizi? Leo nimesikiliza nyimbo yake na...
2 Reactions
26 Replies
7K Views
Nimeangalia wimbo tajwa happ juu kwenye Channel ya EATV nikiwa makini kabisa kujaribu kuelewa ujumbe wa msanii lkn nimetoka kapa kabisa. Jamaa kwa mafumbo ni balaa. Najua kuna wataalamu wa fasihi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hivi hakuna Chemistry kati ya Diamond Platinumz na Star Boy Wizkidayo. Wangapi waliwahi kuwaza hii Collabo?
2 Reactions
4 Replies
613 Views
Niaje wanyakwezi Moja kwa moja kwenye mada nimekuletea mjadala hapa tufunguke nani mnyama wa mumble na caption lyrics kati ya hao wawili, binafsi kwangu Gunna anajua kuliko Baby , fact zipo...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Album ambayo imesubiliwa sana na mashabiki zake na ilipikwa muda mrefu sana hapa namzungumzia Star Boy Wizkid. Kupitia I.G yake Wizkid anatuambia Mwezi wa 10 anaachia Album kama inavyoonekana hapo...
3 Reactions
10 Replies
1K Views
Kwa mara ya kwanza Jonijoo na B Dozen sasa watakua ndani ya kipind kimoja cha EMPIRE kinachorushwa na EFM kuanzia saa 1 jioni.
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Huyu mdada aliigiza uhalisia hadi kero. Ila Hii filamu pamoja na nyingine ya the exorcist ya miaka ya 70 zimenifunza mengi.kwa yeyote aliyeziangalia hizi filamu nikiri haukupoteza muda wako.
2 Reactions
1 Replies
988 Views
Jipatie Netflix Account 1 User Tsh 10000 Unakuwa Na Profile Yako Nicheki Pm Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Kwa wapenzi wengi wa story book nadha mlighadhabika sana kipind,Kijana mwenye Sauti ya dhahabu Mtiga Abdallah alipofutwa kazi Wasafi Fm. Mimi nilkua moja ya watu nilio mind sana na nilikua...
6 Reactions
30 Replies
4K Views
Back
Top Bottom