Imepita muda kidogo tangu niache kufuatilia mziki wa hapa nyumbani kutokana na wafalme wenu Ally na Naseeb kuimba vitu visivyoeleweka vyenye maigizo mengi.
Sasa leo wakati napita barabarani...
Jina na wimbo: Leo ni vifijo na vigelegele
Nakupongeza sana kwa wimbo huo wa zamani kidogo.Ni wimbo ukipigwa hadi leo ninasimamisha shughuli zote kwa kuwa naupenda sana.
Nimejitahidi kuutafuta...
LOVE HAS POWER TO CHANGE LIFE AND IMPOSSIBLE. Being engaged in Love stress and depression can run away and you be come relaxed.
.
This animated video song #POWER OF LOVE# is for showing True...
Miongoni mwa nyimbo za kampeni zitakazovuka mpaka ni wimbo wa Zuchu wenye kiitikio.." Jua lile literemke Mama"..wapinzani watetereke sana".Una mahadhi nzuri ya reggae, mahadhi inayochezeka na watu...
Special Song for #SOUTH AFRICA NATION# to build diplomacy&international relation.
. My animates song special for #SOUTH AFRICA NATION# you can watch now for good Diplomacy
Wakuu habari zenu..
Huu ni wakati ambao Watanzania wengi wapo macho sana kusikiliza taarifa kutoka sehemu mbalimbali za Tanzania hasa zinazohusu uchaguzi mkuu unaopangwa kufanyika Oktoba 28...
Ikumbukwe wiki iliyopita Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) liiadhibu Clouds FM na Clouds TV kusitisha matangazo kwa siku 7 hadi Septemba 03, 2020.
Najua wengi mnanyimbo za CCM mnazozipenda.Kwangu mimi wimbo bora kabisa kwa Mwaka huu wa Uchaguzi ni
Tusikosee umeimbwa na MdaiJasho.
Ni wimbo ambao uko tofauti sana na nyimbo zingine maana...
Habari wakuu,
Leo tarehe 28 Agosti, ilikuwa ni siku rasmi ya ufunguzi wa kampeni za uchaguzi kwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) katika jiji la Dar es Salaam. Kampeni zimeanza jioni...
Huu wimbo Darassa kafanya nimuone level za kimataifa... umekaa kama wimbo wa mambele huko....
Hata Justine Bieber kwenye albamu yake ya "changes" hana song kali kama hili
Nimeshindwa kuupandisha...
MOSES ZAMANGWA ~ AFROJAZZ (TANZANIA) 2016
Moses Zamangwa was born in the southern part of Tanzania. Songea Region.
His Music Journey started 16 Years ago and almost half of his music career he...
Kwa anayekumbuka hii nyimbo jamani, nimeitafuta YouTube nimekutana na live version pekee, sio tamu Kama z
nyimbo yenyewe
Mashairi yake Ni
Upo Uhuru wa kusema hutaki, lakini si wa matusi dada aah...
Ilinichukua muda nikiwa kimya najiuliza maswali siyo chini ya 20 kwamba Harmonize ataingia jukwaani kwa style gani? Sikutegemea kuona akija na helikopta maana alishaitumia kwenye mazoezi. Nikiwa...
NOTES TO: POLICE FORCE,FBI,CIA,INTERPOL,TISS and ALL GOVERNMENTS SYSTEM all over the World.
"INNOCENT" special Video song to Police Officers, FBI,CIA,TISS and Governments Systems. Watch this...
Kupitia ukurasa wake wa Instagram , mwanamuziki lady jaydee amepost list ya wageni waliobook VIP table kwenye siku yake ya kusherekea miaka 20 toka aanze muziki , ambayo inafanyika wiki hii tarehe...
Hope mpo good mapopo wenzangu
Kulingana na maisha yako ya mahusiano nyimbo gani inaendana na hali yako ya mahusiano
Binafsi "cry no more" ya breezy ndo inanifariji kidogo
Pia nyimbo ya Khalid...
Niende kwenye mada moja kwa moja wakuu
Napakua movie kwa kutumia Utorrent katika pc sasa kuna baadhi ya movie zikiingia nashindwa kuziplay kabisa sijui shida ipo wapi
Picha
Movie ambazo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.