Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...
Habari wakuu Naomba msaada kwa mwenye anaweza kuwa na nyimbo (Audio) orijinal za ulbum ya sauti ikatoka ya kwaya ya vijana mabibo anitumie Hapa au kwa telegram,whatsapp 0764339400 Asanteni
0 Reactions
0 Replies
2K Views
The African princess ni moja ya wasanii wa kike wanaofanya vizuri kwa sasa ndani na nje ya nchi, enjoy muziki mzuri.
0 Reactions
18 Replies
4K Views
'We Men' ni series mpya ya Kitanzania inayoonyeshwa kwenye Instagram page ya Maxrioba. Maudhui yake ni ya mapenzi (kama kawa). Kwa story nzima mnaweza kwenda kuiangalia huko Instagram...
7 Reactions
30 Replies
3K Views
Leo wakati nataka kuchek Quarantine ya Diamond nikajikuta nashuhudia maajabu na rekodi mpya ambayo Diamond Platnumz ameivunja. Tukio lake la kuweka rekodi hiyo limetokea dakika chache zilizopita...
8 Reactions
167 Replies
18K Views
Nafikiri kwenye 3d hakuna future Wala present ni past tu so ni lazima tufe coz tulishakufagaa. to see the future is like to remember how it was. To see the future and you living straight to no...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Wadau nahitaji kujua maana ya yale mashairi yaliyopo kwenye huo wimbo wa huyu mwanadada raia wa Ireland aliouimba nikiri kusema ni moja kati ya NYIMBO BORA DUNIANI iliyowahi kuimbwa.
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Leo nimepata nimekuta nyimbo mpya ya Harmonize inaitwa CCM nimeisikiliza nimegundua amekuwa mpuuzi japokuwa anapata pesa Ila nimemtoa maana kwakuwa anatugawa Sasa mashabiki AUDIO Harmonize CCM...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Hi guy's Nimeicheki hii TV show mpya ya wasafi TV Ni kwamba Hatuwezi kusema ni new idea au creativity but Nimeona utofauti fulani. Watu wanaweza kuifananisha na TV-E show ya homa,au CLOUDS TV...
7 Reactions
34 Replies
6K Views
Habarini wadau, Mimi ni mpenzi na mfuatiliaji sana wa ngoma za kitambo mziki ulipoitwa mziki. Muziki wenyewe nnauongelea hapa ni zile ngoma nyeusi, kubum kubam za mbele za miaka ya 1988 mpaka...
1 Reactions
1 Replies
845 Views
Mimi ni bingwa wa kucheki mamovie ya kutisha tisha sana mpaka home walikuwa wakiona nawasha tv au naweka CD watu hukimbia vyumbani. Asikudanganye mtu hizi movies kuzicheki lazima uwe na two...
4 Reactions
29 Replies
3K Views
SIKU YANGU YA KUFA ILIPITA. Na, Robert Heriel Siku ile SIRIEL ndiye Huyo mficha Siri za mungu alinijia nyakati za usiku nikiwa nimelala, alikuja kama ndoto usingizini, nami sikujua yakuwa...
8 Reactions
26 Replies
5K Views
Salaam Wakuu, Kwa wale wapenzi wa nyimbo zenye mahadhi ya reggae na riddim lazima mtakua mnawafahamu hawa jamaa wanaoitwa Morgan Heritage. Jamaa hawa ambao ni ndugu wa tumbo moja waliunda kundi...
3 Reactions
8 Replies
3K Views
Nakuleteeni swali, wajuzi wa maarifa, Mlojaliwa akili, na bongo zisizokufa, Muwezao ona mbali, naombeni maarifa, Mapenzi ni kitu gani? Mapenzi ni kitu gani, swali langu nauliza, Kwani...
1 Reactions
5 Replies
6K Views
TUTAFIKA SALAMA MKE WANGU. Na, Robert Heriel Miaka ilienda nayo haikurudi, muda ukapita wala hatukuuona tena. Ahadi nilizomuahidi sasa aliziona ni ndoto ya mchana. Ndoto za alinacha kamwe...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Mfalme muda wowote kuanzia sasa anaenda kuachia pin Mpya inayokwenda kwa jina LA so hot. Ni ngoma matata usipime ===============
1 Reactions
187 Replies
16K Views
1.Alianza mwaarabu,kutafuta mali zetu Kupitia marikebu,akafika pwani zetu aliwakuta mababu,wakinena lugha zetu Mzungu na mwaarabu,mbaya wetu ni nani? 2. Akauza zake shanga,vikombe na mabirika...
1 Reactions
2 Replies
683 Views
Kendrick Lamar anafaa kuwa mmoja kati ya Marapa bora America na Duniani kote?
1 Reactions
53 Replies
4K Views
Jamani nilikua naomba kujua ni jinsi gani msanii anaweza kujisajili katika Baraza la Sanaa na Utamaduni (BASATA),ili aweze kutambulika rasimi na kuweza kulinda haki za kazi zake. Kwa mwenye...
0 Reactions
2 Replies
5K Views
Habari wapenzi wa movie za Hollywood, Nitajieni movie nzuri. Genre: Action /Detective / Adventure /Mystery /Sci-fi /Disasters /Wars / Crime Zile nzuri kabisa kwanzia mwaka 2005 - present -...
1 Reactions
50 Replies
4K Views
Ibraa kutoka konde music world wide Au! Mboso kutoka wasafi baby 👇👇
0 Reactions
30 Replies
3K Views
Back
Top Bottom