Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...
We unadhani nani mkali ? Ni kazi gani za hawa jamaa zinakuvutia? Hawa ma legend ni kati ya binadamu wachache sana ambao wameingia kwenye kumbukumbu za dunia kwa vizazi vya sasa na vingi vijavyo...
2 Reactions
14 Replies
3K Views
Hawa wana wanajua haswaa! Acha tuwape sifa zao! Asiyekubali ni mchawi,tena mwanga, tena yule mwanga anayewanga mchana[emoji851]. Hili goma ukilisikiliza linatoa mikosi yote, linaponya mapunye...
4 Reactions
6 Replies
2K Views
Huu wimbo mpka Mh.Magufuli alipimgia simu Mwana FA kwa mashairi yake.. Chorus "We ni dume suruali kaa mbali nami,mbali nami Kama dume suruali kaa mbali nami,mbali...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
1.THE ONE ya Jet Li. 2 THE MASTER, Jet Li. .3.PRIDATOR, Anord Komando John. 4. SALT Julie Robert. 5. THE ROCK. Rambo
0 Reactions
86 Replies
22K Views
Basi kama vipi Chege twende Moro, aaah haya! Haina noma Y-P basi twende Moro, aaah haya! Haina noma baby nitakuja Moro, cool dear! Ila subiri kwanza nichonge na masela, cool dear! Kama...
3 Reactions
7 Replies
1K Views
Niaje, wakuu? Kama kawaida tunakutana katika mfululizo wetu wa tano sasa wa kugusiana filamu kuhamasishana kuzitazama na kuzielewa. Bila maneno mingi, na tuanze. Karibu. IDENTITY ya 2003...
13 Reactions
32 Replies
5K Views
Habari wana jamii forum. Kiukweli hili halina ubishi wakuu. Ukimskiliza huyu dogo anavyoimba sijaoana wa kumpanisha naye hapa Afrika. Nilipomalza kumsikiliza kila mtu alikataa akasema huyu dogo...
0 Reactions
24 Replies
2K Views
Wakuu mpo Jamani nimetafuta huu wimbo hadi nimechoka. Mwenyewe nao nauomba please.
0 Reactions
2 Replies
4K Views
SIKU NIKIPATA DEMU. Nasema kinywa kipana , sasa nihofie nini, Tena nasema kwa vina, kweli kutoka moyoni, Maneno yatapangana , nitanadi hadharani, Siku nikipata demu , ulimwengu utajua Mbona...
2 Reactions
3 Replies
725 Views
Mfano ;- 1. Mungu Ibariki TANZANIA 2. Tanzania Tanzania Nakupenda 3. Tazama Ramani Utaona Nchi Nzuri 4. Sisi Tunataka Kuwasha Mwenge na Kuuweka KILIMANJARO Nani anajua historia ya hizi...
0 Reactions
16 Replies
1K Views
Hawa jamaa wakuitwa Sauti Sol ni hatari. Nasikiliza hii ngoma wakiwa na BurnaBoy inaitwa Afrikan Star ni hatari. Good Melody,Lyrics,Beats Etc.🔥🔥 Nakuja kugundua huyu jamaa mrefu ni zaidi kwa...
7 Reactions
44 Replies
6K Views
MIAKA SABA BILA LANGA RAFIKI #MKULUNGWA SIO PANTHER KAMA WAO
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Wapendwa hivi shalo tina tina maana yake nini? Nimekuwa nikisikia haka ka msemo bila kufanikiwa kujua maana yake. Maeneo nilipo sikia ninapokumbuka ni kwenye baadhi ya mashairi ya nyimbo za...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Weekend tulivu, Mwalimu John kapozi zake Huku akifuafua vijisarawili vyake viwili vitatu kuisindikiza. Akiwa bize kufua na kule simu inaita, kuitazama Namba ngeni. Anaipokea taratibu sauti...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Nimetengeneza game nakuliweka Play Store, ni game gumu kwa atakayeweza fika kuanzia level ya 3 na kuendelea atume screenshot. [emoji23] Liko Play Store only, search Pixelpunk Pixelpunk - Cyberpunk...
5 Reactions
123 Replies
11K Views
KIONJO! Kweli nimeamini kuwa asali haionjwi, ni lazima utarudia tu kuionja mpaka utakapo imaliza yote na katika harakati za kuisaka asali iliyo bora ujiandae kung’atwa na nyuki. Hayo ndiyo...
1 Reactions
12 Replies
6K Views
LA Casa De Papel ndio jina la huu mzigo. Ulianza kwenda hewani mapema mwaka 2017 ila binafsi nilichelewa kuudaka mpaka mwishoni mwishoni mwaka jana(2018!) Kiukweli ni moja kati ya TV Shows ambazo...
13 Reactions
198 Replies
23K Views
Nimetazama the queen of the south, nacos seal pia. ya Naomba series nyingine nje ya hizi lakini zinazoendana na hizi. Pia kama kuna mtu anajua series zenye hadhi ya game of thrones au spartacus...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Hizi nyimbo zote ni mpya, na zina mahadhi yanayofanana... Dodo iliachiwa jana chini ya Kings music na Wana imeachiwa leo chini ya Wasafi label Kwa mtazamo wako upi wimbo ni mkali kuliko mwingine...
3 Reactions
34 Replies
6K Views
Back
Top Bottom