Nilikuwa nacheki Live Show music ya R. Kelly , nikaja kuangalia ya Jay Z , Beyonce, JLo & Eminem, nimegundua ni kwanini wenzetu wajaza sana kwenye show zao.
Mziki wa live ni mtamu jamani
Look in the eyes of the
Homeless man
Tell me what you see
In the eyes of a jobless man
Tell me what you see
What about the eyes
Of a prisoner
What do you see
Now you' ve seen it all
It is time to...
Nilipaa sasa natua kwenye,kwenye siri ya moyo na siri ya moyo anaijua mwenye,mwenye ujasiri wa kuitunza ,nafanya nachodhani ni sahihi kitachotokea ntajua mbele.
Kwa mfano nakwita mpenzi...
Taarifa zilizotufikia chini chini kutoka Netflix kwa wanaoishi huku mamtoni, director wa Money Heist wanampango wa kumpa jina actor mpya jina la mji mmoja wapo wa Tanzania ambaye atamuokoa Prof...
Kwenye nyumba moja ya familia inayomilikiwa na mfanyabiashara maarufu panatokea mauaji ya kutisha na familia kuchomwa moto uliotokana na umeme, kwanini?
Muda hayo yanatokea upande mwingine kuna...
Habari za asubuhi wanajamvi
Nahisi kichwa cha habari kinaeleweka, kutokana na upweke nilionao nipo mbali na bi mdashi wangu naomba wanajamvi kunitumia zile nyimbo pendwa za mahaba kama za akina...
Mzuka wanajamvi
Ni wapi nitapata records za ngoma za asili kwenye kanda CD na kadhalika ili nipate burudani ya kipekee nikiwa nimepumzika naendesha gari n. K hasa midundo ya Kizaramo, kimakonde...
Ili muziki wetu uzidi kukua tunahitaji media kubwa zenye entertainment show kubwa za kuweza kutengeneza propaganda and all that, New York hiphop inapewa sana nguvu na ukubwa wa Hot 97 na Power...
Toka mwanzo wa kipindi mpaka sasa ni habari na miziki ya wasanii kutoka WCB tu, sisi wapenda burudani hasa tunaopenda wasanii mbalimbali mnatuboa sana kama si kutukera kunakotukuka. Hivi WCB...
Kuna mambo ambayo kwa uzoefu wangu wa muda mrefu katika tasnia hii, ninaweza kusema yangesaidia sana kuunda bendi bora. Kwanza lazima kuwa na sababu za msingi kwanini unataka kutengeneza bendi...
Habari za wakati huu ndugu zangu?
Mimi ni mpenda movies especially animations. Nimeangalia movies za kategory nyingi kama:
Horrors
Adventures
Racings
Actions
Comedy, na category zingine za movies...
Tukiendelea kufuata ushauri wa wataalamu kipindi hichi kigumu dunia inachopitia, ukiachana na vitu vyote ushauri muhimu wanaotoa wataalamu ni kukaa nyumbani na kutulia ili kujilinda wewe pamoja na...
Katika makala ya wiki iliyopita niliandika mambo kadhaa ambayo ni muhimu kuyaweka mbele katika kusaidia kuunda bendi bora. Kimsingi ukiangalia mambo niliyoyataja utaona kuwa kuunda bendi kuna...
Jamani mwenye nyimbo hizo anisaidie nilizisikia maeneo ya NJOMBE. Nimetafuta kila web hata Youtube hakuna.
Amekufunga inaanza hivi
"Kwa nini ufie dhambini,
wakati neema ipo,
Yesu katoa msamaha...
Wasaalam,
Mapema Leo niko nyumbani kabla ya saa tatu kamili sio kawaida yangu mpaka mtoto anauliza baba muda mrefu sijakuona ulikuwa umesafiri? Nashindwa kujibu nachukua remote naitafuta TV E...
Katika nyimbo zinazonibariki ni pamoja na huu ambao nimeutafuta sana bila mafanikio. Kwa yeyote atakaeweza kufanikisha kuupata na kuuweka hapa nitamshukuru sana.
Itapendeza kama ukipatikana video...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.