Mimi sio mpenzi sana wa Singeli, maana najuaga tu ni makelele, hamna cha maana. Nawasiiliza sana Eminem, Pink, Sia, Jay Z na wengineo wakali kama Barnaba Classic!
Ila baada ya kusikiliza leo...
Sehemu ya 01
Mtunzi: Ally Katalambula
“We ni nani?” “Naitwa Jamila Mustapha” “Unapiga simu kutoka wapi shida yako ni nini?” “Nipo Temeke...bila shaka wewe ni Hussein Mwanda, mwandishi maarufu wa...
Kwa watazamaji filamu wenzangu, naona hii itakuwa ndiyo title ya kila thread ya movie review nitakayoianzisha kwa mwaka 2019.
Hatuna utaratibu wa kuchambua movies hapa nchini kama ilivyo huko...
Wimbo una Unigeria mwingi, Tuzo ataendelea kuzisikia kwa Radio na kuziona Insta kwa wasanii wengine, Jamaa alichobakisha cha kujivunia ni Views Youtube
Ngoma mbovu mitusi kama kawaida yake
Kama...
Wakati mwingine baada ya kazi na shughuli huwa tunaketi na kutumia simu zetu kwa kuchati, kusikiliza music na vingne.
Wakulu kwa nia ya dhati naomba msaada kujuzwa ni game lipi ni zuri kwa ajili...
Wakuu kwema? (Hope kwema)
Kuna hii song Inaimba background kwenye hii video clip, please mwenye kuijua naomba anisaidie jina la hiyo song or share hapa nasi wote tuipate.
Pia Iko swahili version...
Kitabu cha Ujajusi wa Kiuchumi na Kidola cha Yericko Nyerere hakiyahusu mataifa Tu . Hata watu binafsi, makampuni etc wanaweza kutumia mbinu hizo.
Moja Kati ya mbinu anazo zielezea Bwana Yericko...
Katika pitapita zangu nmekutana na kionjo cha one of the song in #afroeast album. Aisee a new big artist in Africa and the world is introduced tarehe 14 mwezi Wa 3. Kondeboy anaenda Ku trend kama...
Kama unafatilia hii tamthilia kwenye kisimbuzi cha Azam bila shaka kuna jambo umejifunza kuhusu roho mbaya ya mabeberu na ukisiakia watu wanatamani kutawaliwa upya au kupenda kauli ya Trump kuwa...
baada ya 'Scorpion' ya mwaka 2018
Wakati wa mchezo wa Toronto Raptors na Phoenix Suns jumapili ya jana Drizzy alidokeza kuwa album yake mpya haitokuwa na nyimbo nyingi kama iliyopita (scorpion)...
Album mpya ya Justin Bieber 'Changes' imeshika namba moja kwenye chart za Billboard 200 na kuvunja rekodi aliyoiweka mkongwe Elvis Presley miaka 59 iliyopita
Justin Bieber ameweka rekodi ya kuwa...
Shalom watu wa Mungu,
Binafsi nimejaribu kufatilia muziki wetu wa hapa Tanzania ila kiukweli nimegundua kwamba wapo wasani wanapenda muziki ila muziki hauwapendi.
Sasa basi tushauriane, wewe...
Team Wilder please njoeni hapa tuanze kushangilia ushindi mapema maana huyu dogo Tyson feki alichonga sana sasa leo mwisho wa maneno, mikono ndiyo itakayoamua nani ni zaidi ya mwenzake.
Nyani...
Husika na kichwa hapo juu.[emoji14]
Hapa kuna Khaligraph, huku kuna Nyashiski, kule kuna Sauti Sol, pembeni kuna Hart the band, nyuma kuna Sol generation, katikati yupo mnyama Octopizzo, kulia...
Habari ya asubuhi wakuu,natafuta nakala za albamu hizi,TELEVISHENI YA MAISHA na BARABARA YA 13 ULYANKULU,
Mwenye nazo tafadhari naomba tuwasiliane at any cost,naitaji audio tu.
Amani kwenu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.