Ukisikia Political correctness ndio haya, hii ilikuwa nafasi nzuri zana kwa mabrazameni wa D-TOWN kujichanganaya na ma redbones lakini wapi....
anyway mimi hii nilihisi tu inaweza kuja kuwa...
I'd rather die than faking life.
https://hivisasa.com/posts/14216536-i-would-rather-die-respected-than-fake-lifestyle-for-popularity-alikiba
Anasema yeye hawezi ku fake life. Bora afe akiwa real...
Show hii yaoneshwa CLOUDS na AZAM...lakini kawaida sanaa...
Nilitegemea makubwa sana na hii TV SHOW ambayo tumeitohoa kwa wenzetu huko kama America' got talent...
Nikategemea tutaona vipaji...
Habari ya asubuhi wana Jf
Kama kichwa kinavyosema nimesikiliza WASAFI FM kutwa cjasikia ngoma ya konde na huko nyuma haikuwa hivyo..ilikuwa kila baada ya dk lzm usikie ngoma ya konde lakini sasa...
Habari wanajukwaa
Najitahidi sana kuidownload nyimbo ya THE MAFIK-PASSENGER lakini inakataa,inaandika FAILED FORBIDDEN,NISAIDIENI WAKUU,AU NYIMBO IMEFUNGIWA?
Kuna movie moja jina nimesahau, cover page inaonesha mwanamke yuko uchi kamkumbatia jamaa lakini nyuma demu kashika kisu.
Anayekumbuka jina la hiyo movie tafadhali.
Napenda kuwasalimu kwa jina la Bwana wapendwa watu wa MUNGU.
Naomba niliweke vizuri jambo hili. Jana nilipokuwa sehemu nasubiri muhamala usome nichukue changu, pembeni kuna kijana anaingiza nyimbo...
Kwa mahitaji ya Live Band karibu saana upate burudani nzuri kutoka kwetu, tunaimba nyimbo aina zote (COPY) tunapiga katika event yoyote. Lounge / Grill, Hotel / Bar, Beach / Club Harusi / send...
Balenciaga, got it for you
Somewhere in the sky, got a clear view
Everything Supreme that we do (oh)
Everything is Gucci that you do (oh)
So everything Supreme and BP
Everything Supreme and BP, oh...
mambovipi wakuu? Nimeona nifungue hii thread kwa wale ambao kucheza games za computer na nyinginezo ni moja ya starehe zetu baada ya kazi, kama wanywaji wa pombe wanavyojiburudisha,
tupeane setup...
Miezi miwili mitatu hii ya karibuni nlikuwa Dar, sasa katika pitapita zangu mitaani kuna wimbo flani wa singeli ulikuwa ukisikika karibia kila mahali.., Una beat flan zuri afu ndani yake kuna...
Wasalaaam ndugu zangu,
Samahani nataka kujua zaidi juu ya huyu msanii.
Ametokea na anaishi wapi?
Ana nyimbo ngapi na zipi?
Meneja wake ni nani?
Amenivutia sana na ana kipaji cha kipekee kabisa...
#REPOST WASAFI TV
Hakuna kitu kinaumiza kama kumpoteza mtoto wa kwanza. Diamond platnumz yupo katika majonzi makubwa sana.
Habari nikwamba Harmonize hana ugomvi na Baba yake kimziki Diamond...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.