Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...
Kwa wanaopenda miziki ya miondoko ya Reggaeton, Raggamuffin, Dancehall, Pure Reggae n.k Nadhani tunamfahamu zaidi Bob Marley na hasa kundi lake alilokulia la The Wailers, ila na baadhi ya wakongwe...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kwa kuangalia Ile mechi je unaongeleaje uwepo wa Allison Jana?
0 Reactions
0 Replies
902 Views
Jana mechi ya Liverpool na Chelsea ya finali ya Super Cup. Chelsea alipiga mpira mzuri Sana hata baada ya kusawazisha goli la pili. Lakini kilichotokea mabigwa walishinda game. Vivyo hivyo finali...
0 Reactions
0 Replies
693 Views
Wanaoucheza muziki wa Bongo Fleva hawajui historia yake na hawawafahamu waliotoka jasho na damu kuufanya ukubalike na uwe biashara. Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ anayetamba kwa mafanikio...
8 Reactions
8 Replies
2K Views
The Game alitangaza kuumaliza muziki wake kwa album yake "Born 2 Rap" ambayo ni ya 9 na itakuwa ya mwisho katika maisha ya muziki. Mkali huyo wa Compton ameitumia instagram kuweka wazi kwamba...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Zimekua zikiongoza kwa kuua watu wengi kwa wakati mmoja Sikia huu wimbo jamaa alivyoimba kwa hisia kumuimbia rafiki yake aliekufa Kwa ajali huko morogoro
1 Reactions
12 Replies
2K Views
BONYEZA LINK >
0 Reactions
1 Replies
3K Views
09-07-2019. "KOFFI OLOMIDE" kafungua mkutano na Wandishi wa Habari kwa maneno haya kabla yakuanza kujibu maswali : 01. Kwanza namshukuru Mungu kuniwezesha kufika tena Jijini Paris,baada ya...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari Wana JF wenzangu kuna swali linanitatiza hapa... Nahitaji kujua maana ya "REACTION" za nyimbo ... Yaani kwa mfano ‘Yo Gotti — Down In the DM’ nimekuwa nkiangalia hata hizo videos but...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Mzee mzima anatisha, LeGrand Mopao
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Simulizi: SALHAT Sehemu: 01 Mtunzi: Salma Ramadhani Ulikuwa usiku wa manane ulioambatana na radi za kutosha huku mvua nyingi na Kubwa ikiendelea kunyesha katika maeneo ya Arusha mtaana wa...
3 Reactions
5 Replies
5K Views
Wakuu kila jumamosi kuanzia saa 5 asbh hadi saa 7 mchana wanacheza olds za kufa mtu kwa sie vijana wa zamani Kipindi kinanikumbusha mbali sana
2 Reactions
5 Replies
3K Views
Here in Detroit Mi. the mayor was accused of cheating on his wife and lying under oath..... text messages where retraced from 2002..... the discovered the text messages in 2007..........Can my...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Huyu Dada namuelewa sana. Ni bonge la comedian .Ana kipaji cha hali ya juu sana cha kuchekesha . Mimi ni moja kati ya watu ambao nilikuwaga siamini kama mwanamke anaweza kuwa funny. Nasra Yusufu...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
WCB walianzisha wasafi(.)com ili kuuza na kudistritribute ngoma lakini ikaja ikafungwa. Ni funzo gani tunafaa kupata na ni nini twafaa kuzingatia? >> Pata Maelezo
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Wale wadau wa series, huyu ni nani? Tukio gani unalikumbuka kutoka kwa huyu jamaa?
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Wasalaam,kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu,naomba msaada kwa mdau atakayekua na huo wimbo NIZIKWE HAI ulioimbwa na wasanii wawili wa bongo fleva(MANDOJO NA DOMO KAYA).Kadhalika wimbo...
0 Reactions
13 Replies
5K Views
Wakuu nazipata wapi hizi series zilizotafsiriwa.Game of thrones, Breaking bad, Dexter, 24 hrs, prison break na nyinginezo za kijanja
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Niukweli usio fichika, asilimia kubwa ya watanzania wanaopenda kuangalia maigizo/tamthiliya (movies) hawaangalii movies za kibongo. Wasanii/waigizaji wamekuwa wakitulaumu watanzania kuwa si...
9 Reactions
103 Replies
11K Views
Wakuu ile show ambayo nilikuwa ikingojewa kwa hamu kubwa imeanza sasa EAST AFRICA GOT TALENT 2019 Mashindano haya yakusaka vipaji yanafanyika nchini Kenya nakurushwa na baadhi ya television...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Back
Top Bottom