Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...
Licha ya wasanii wapatao 17 kutokea TZ kuwa nominated kwenye Afrimma mwaka huu, hakuna msanii wa hiphop ambaye amekuwa nominated ? Ni wapi wasanii wetu wa ku-rap wanakwenda kombo au hiphop...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mtunzi Nyemo Chilongani Sehemu ya 01 “Nahitaji kubadilisha tairi, unaweza kunisaidia kaka?” ilisikika sauti ya mwanaume mmoja akimuuliza kijana aliyekuwa amekaa pembeni kwenye tofali. “Hakuna...
9 Reactions
207 Replies
45K Views
KARIBUNI TUPEANE SERIES KALI HAPA ZA ACTION. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Sorry waungwana nimeweka pes 17 kwenye PC yangu lakini kila nikitaka kulifungua linadaiwa Mara dx3-dill nikaidownload likawa linadai driver nyingine nikaidownload , bado linadai nyingine tena...
0 Reactions
4 Replies
862 Views
Wakuu katika pitapita huku insta(IG) nimekuta hiyo post nafikiri ni habari njema kwa fans wa rayvanny na WCB at all
2 Reactions
117 Replies
15K Views
Je mawaziri watakaodumu nae bila kutumbuliwa katika huu muhula wa kwanza 2015-2020 hadi muhula wa pili 2020-2025 ndio watakuwa na kigezo cha kurithi kiti cha urais? Hapa namaanisha mawaziri...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wadau huwa napenda sana muvi za kigaidi hasa zinazomuhusisha mmarekani na mwarabu. Napata ugumu wa kuzijua zote hebu tupie unazozijua hapa nizishushe
1 Reactions
21 Replies
6K Views
Wadau wa hii redio mbona imekua hivi tena.wanapiga bongoflava wakati tushazoea redio yetu hii inapiga international hits tu.. Kama mambo yenyewe yashakua hivi kwaheri itabakia tbc fm tu.
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Chemistry bhana...nakumbuka unaingia exam room unakuta swali hujawahi kusikia tangu form one... Unaenda swali la pili linasema explain your answer in question one above...unaishiwa nguvu unasonga...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Dakika ya 43, Yanga 3 - Mlandege 0
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hbr wapendwa. Naomba kuwasilisha mawazo yangu ktk mahali hapa ili kutoa ninachoona kinaweza kubadili mtazamo wa jamii kwa wasanii wetu.Na pia kubadili mtazamo wa wasanii wetu ktk mbinu...
0 Reactions
1 Replies
734 Views
Tekno amekamatwa na Polisi baada ya picha na video kusambaa mtandaoni akisakata densi barabarani mjini Lagos akiwa na umati wa wanawake waliokuwa nusi uchi. Kukamatwa huku kunakuja saa chache...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Kwa wale wapenzi Wa movies na Series Zilizotafsiliwa Tumeanzisha Channel huko Telegram inayotoa Movies na series zote zilizo tafsiliwa Bureee kabisa Kazi Yako nikuandaa Bando tu Nakupakua Vitu...
0 Reactions
45 Replies
12K Views
habari Naomba msaada wa movie au series nzuri inayohusu maisha ya utafutaji hasa mali(utajiri). Ambayo muhusika anatoka from bottom to top katika utafutaji yaani anatoka katika maisha ya ufukara...
2 Reactions
36 Replies
8K Views
Show hii yaoneshwa CLOUDS na AZAM...lakini kawaida sanaa... Nilitegemea makubwa sana na hii TV SHOW ambayo tumeitohoa kwa wenzetu huko kama America' got talent... Nikategemea tutaona vipaji...
0 Reactions
4 Replies
760 Views
Nampongeza sana mtunzi na wahusika wote katika tamthilia inayoitwa MANENO YA KUAMBIWA ni moja kati ya tamthiria bora sana kuwahi kutokea Tanzania, ina mtiririko mzuri wa matukio huku ikiwa na...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
mm nili mkubali huyu jamaa The Dark Knight/Villain:Joker
1 Reactions
11 Replies
2K Views
SEHEMU YA 01 Jina langu ni Kassim Fumbwe. Nina umri wa miaka ishirini na minane. Mkazi wa jiji la Dar es Salaam. Wazazi wangu walifariki dunia wakati nikiwa mdogo. Nakumbuka tulikuwa tunasafiri...
8 Reactions
67 Replies
22K Views
Back
Top Bottom