Rafiki wa mjomba wangu alikuwa afisa misitu akifanya kazi Kigoma. Alinishawishi nikamtembelee Kigoma. Nikaenda huko. Ni mtu mpenda muziki sana hasa bolingo.
Kila jioni baada ya kutoka kazini...
jaman naomba kuuliza ivi hawa walio omba bachelor kupitia diproma walizo soma je waliomba kupitia nact au tcu ?na mpaka sasa kuna mwanafunzi yeyote alie chaguliwa bachelor kupitia diproma jaman...
Ni stroy mabayo sayansi imechukua party kubwa sana and nimejaribu kuwa creative kwa kuvunja ile ishu kuwa Watanzania tunabase sana kwenye love story sababu hatutaki kujifunza mambo, nimeamua kutoa...
Leo tunaye malkia wa jahazi leyla rashidi aka mamake na lujayina.
Ni mwimbaji wa jahazi modern taarab na pia ni mke halali wa mfalme mzee yusuff ambaye ni mkurugenzi na mmiliki wa bendi ya jahazi...
Zecomedy show Jumamosi hii na kila Jumamosi wamekuandalia mambo mazuri yatakayo kuacha ukiwa na Furaha tele moyoni mwako huku ukijisaulisha mambo mengi yanayotokea ndani nyumbani zetu serikali...
Dogo Chris Breezy ana fan base kubwa sana... 50 baada ya kukaa nje ya game la muziki kwa muda mrefu, alikuwa kila akijaribu kufanya ngoma ina buma. Kafanya track nyingi sana...
Kipindi cha jahazi kipo hewani muda huu, Diamond kaalikwa, moja ya maongezi yake, kailalamikia serikali kwamba wanadai kodi bila kuangalia wao wanavyodhulumiwa kwenye nyimbo zao, ambacho ni kweli...
work lyrics
I was wondering have you spotted anything that happens in the movies or on TV that just does not happen in real life, such as:
1 When it lighting it always thunders at the exact same...
Naomba kutanguliza salamu kwenu wanaJF.
Naomba niende moja kwa moja kwenye mada. Hivi licha ya fuksa uliofanya na wahusika wa shindano hili na kuwadanganya watanzania kulikoni kulirudisha tena...
Aisee mi nataka kumsaidia idris sultani kwenye research yake, etttt anasema ile song ya mkali WA kimataifa baba tttttt au wenyewe wanamuita eti simbaaa! Kwamba song lake la Salome limebuma kwa...
Wizara ya Habari yaruhusu wimbo na video mpya ya wimbo wa Snura 'Chura' kuchezwa baada ya kufanyiwa marekebisho na kukubaliwa....
================
Leo october 5 2016 Mrembo kutoka Bongoflevani...
Nimeona leo kwenye baadhi ya magazeti na blog,Kwamba Bella apagawisha ikulu kwenye dhifa iliyoandaliwa na Mkuu wa nchi kwa mwenzake wa DRC,Nimegundua Kulikuwa pia na wanamiziki wengine...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.