Corneille alipoteza familia yake yote mwaka 1994
Mwaka 1994 alikuwa na umri wa miaka 17 akiishi nchini Rwanda kwenye familia moja tajiri na ndoto yake ilikuwa ni ya kuwa muimbaji maarufu.
Lakini...
Wazee wenzangu Ndugu zangu
polen kwa majukum ila nashida
mwenye uwezo naomba anisaidie
Kama kuna mtu ananyimbo za iyo Band
wananjenje naomba anitumie
# Tupendane
#lambwa
#kinyaunyau...
Baada ya kupotea hewan muda mrefu ile site maarufu dunian ya kickasstorrents ni site maarufu kwa kudowload movies,series,games n.k imerud hewan ila wamebadilisha domain sasa hiv wanatumia...
Riwaya: FORGIVENESS OF MAMA!
Mwandishi: SEID BIN SALIM
SEHEMU YA 005
Niliongea kwa huruma na sauti ya chini kwani tayari nilishahisi kuna kitu nimemkosea mme wangu na mimi nlikuwa sipendi...
Hatimaye Alikiba ameeleza sababu ya kukatizwa kwa show yake kwenye tamasha la Mombasa Rocks ambalo Chris Brown pia alitumbuiza.
Kwenye tamasha hilo, Kiba alitumbuiza nyimbo mbili tu kabla ya mic...
Naamini kuna nyimbo nyingi nzuri sana za gospel ambazo watu wengi hatuzifahamu, Kupitia uzi huu tuwekee jina la wimbo ambao siku zote ukiusikiliza unaburudika vya kutosha.
Naanza
Wimbo unaitwa...
Riwaya: FORGIVENESS OF MAMA!
Mwandishi: Seid Bin Salim.
Sehemu ya 04
Ilipoishia jana....
Mjukuu wangu!, mwaka 1992 wakiwa tayari wana miaka miwili ndani ya ndoa yao, lilitokea Tukio ambalo...
Mbona nyie ni redio kubwa tu??? Why mnafanya vitendo vya kitoto? Ni kitu gan mnachoogopa kutoka kwa EFM??
Watangazaji mnawaacha wenyewe tena wengine mnawadharilisha wakat mnawaacha ila wakienda...
TAMU NA CHUNGU YA KONGAMANO LA IRINGA.
Naitwa Vailet, wengi hupenda kuniita vai, Ni mkazi wa Dar es laam, ilala msimbazi center, huko ndiko ninakoishi na mume wangu mpenzi anaeitwa Ray...
MTUNZI: ERICK NZIKU
STORY: PRESIDENT DAUGHTER
SEHEMU YA KWANZA
Naitwa James david Massawe ni mzaliwa wa Same, Kilimanjaro,i live with my both parrents na nna wadogo wawili john na jenny. Maisha...
Katika maigizo ya muvi ya samsoni na Delila; kuna yule simba aliye kutana na samsoni halafu samsoni akamuua yule simba Kwa kumtanua mdomo; swali langu, yule alikuwa simba kweli au magumashi? Au...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.