Imma The Boy!
Keeping the Good Music Alive!!
[Ben Pol
Naona raha, nimepata furaha maishani
Na kila saa, naona nuru iking'ara moyoni Na kama wao walidhani hatutadumu pendoni
Tizama leo watuona...
Hivi haya mambo yapo kweli wadau au ni story tu, fungua link hapo chini. Fungu Link y kwanza, ukiishasoma then angalia hiyo clip link namba mbili:
1. Sell Your Soul To the Devil
2.
Nimesikiliza sana nyimbo ya Jay-D ambavyo imerudiwa na watu wa nje ya nchi na nimepata faraja ghafla. Ana kipaji cha kipekee sana huyu dada yetu, (She's Original). Wimbo huu ukiusikiliza vizuri...
Lady Jay Dee anastahili pongezi kubwa katika nyimbo yake hii mpya ambapo amegusa vijana waleo walio amua kuishi maisha ya ajabu yaliojaa starehe na usaliti ktk ndoa .....Viva dada Jide na hongera sana
Naomba mnisaidie jinsi ya kuipata tamthilia ya La Revancha iliyowahi kurushwa na chanel ya TBC1 enzi hizo ikiitwa TVT.Nimejaribu mitandaoni kwa uelewa wangu lakini sijafanikiwa.
Jamani nimekuwa addicted na Horror movies. Nampenda sana kuangali hizi movie usiku kabla yakupata usingizi. Naangalia hizi kupitia simu yangu ya android. Pia napenda kuangalia action movies zile...
FILMON TV FREE LIVE TV MOVIES AND SOCIAL TELEVISION Watch and Record over 500 LIVE TV Channels for free! Local TV too! Bigger than Netflix and Hulu and TV Catchup and Zattoo combined! We host over...
Yes the waiting is Over, birthday ya fulani imeingiwa mchanga
Video ni kali sana, very unique, directed by Mejialabi, Set in South Africa
Note: sio kama zile video zao za kucopy na kupaste...
Kanye west msanii toka maandishi matatu USA, miezi mitatu iliyopita iliachia ngoma yake iendayo kwa jina la "Famous" akiwa amemshirikisha msanii Rihanna ambayo video yake ilitoka ikionyesha sanamu...
Kuna mitaa nilikua napita nikasikia wimbo maarufu wa Christian Bella ukiimbwa
kwa lingala mwanzo mwisho
najiuliza ni yeye huyo Christian Bella?
je nyimbo zake zote ameimba pia ki congo?
au ni...
Habari wadau, nadhani mpo vizur
Mim ni mpenzi wa hadithi mbalimbali za maandishi hata za simulizi kwa njia ya mdomo
Ninaomba mwenye nazo za kusimulia kwa njia ya mdomo anitafute tafadhari za...
Habari wakuu....
Kuna nyimbo nilikuwa ilikuwa inapiwa sana kipindi hicho nafikiri miaka ya 2006-08 na hata sasa huwa inapigwa katika vituo vya redio lakini mara chache sanaaa,huo wimbo unaeleza...
Cha kushangaza ni dogo wa Kanda ya Ziwa! Yaani promo za kuotea lakini bado naiona hii track ikiziburudisha hadi nyoyo za mbali!!
Hebu wazaramo semeni, track kama hii ikipigwa badala ya zile...
Wadau, Msaada kwa mwanajukwaa yoyote mwenye wimbo wa Kifo cha Baba ulioimbwa na Daima Abdallah wa Dhamira Musical Taarab. naihitaji audio au address ya sehem ninayoweza kwenda ku download
ON air right NOW! Hawavumi lakini wamo ebwane kuna wasanii wanavipaji huku hatari tupu yaani akina Diamond wafanye fanye wawaite wakasign label ya wasafi tu asee, au akina Barnaba boy au hata SONY...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.