Nani atabisha? Walikuepo akina Irene Sanga na akina Mpoto, wakatuamsha, tukawafuata, tukaburudika, tukajifunza!!
Lakini ghafla wamebadilika, nyimbo zile za kutuamsha zimebadilika na kuturudisha...
Zanzibari butterfly to host an alluring Fashion Night In
The countdown has begun as the fashion world and Tanzania prepares itself for an evening of style like never seen before. Dubbed the GO...
Ni miongoni mwa wasanii wachache waliofanikiwa kumaintain kwenye game hii ya bongo yenye vikwazo kibao, ameweza kutoa nyimbo nyingi zilizofanikiwa kubamba kwenye Redio na Tv's ingawa sina hakika...
Makali ya huyu kijana yameanza kuisha, sio muda mrefu asipojicheki atashuka hadi ajishangae, huu mziki hakuna anaekaa forever, walikwepo kina Mr. Nice, Juma Nature, Matonya, Hussein Machozi...
DOWNLOAD MIZIKI YA BONGO FOR FREE AU NUNUA ILI KUWAPA MOYO WASANII WETU WA BONGO. SEARCH MSANII UNAYEMPENDA NA KUPAKUA NYIMBO ZAKO..HIYO SITE NDO HABARI YA MJINI...
V for Vendetta, ni filamu kali yenye inspiring political quotes.
Its a never miss, unstoppable movie.
EG
Artists use lies to tell the truth. Yes, I created a lie. But because you believed it...
Kama kuna wimbo diamond alipatia sana ni ukimuona... Melody nzuri, beat nzuri na mashairi mazuri jamaa inabidi arudi kwa producer wa manecky.
Sasa leo nimesikia guiter version kaimba bella ni tamu...
Kama wewe ni mguswa wa wimbo wa Mdogo Mdogo wa Diamond, basi hapa chini ni video ikionyesha pilika pilika za utengenezaji video ya mdogo mdogo.
http://youtu.be/3mD1Sv-p7cI
Nyota ya mwanamuziki Diamond platnumz inazidi kung'aa baada ya jana tareh 7/02/2015 kunyakua tuzo nyingine nchini Uganda.
Diamond alishinda kipengele cha msanii bora wa Afrika Mashariki ambacho...
Hawa jamaa wako vizuri, kila ngoma wanayotoa kali. Nasikiliza wimbo wao mpya 'Safari', ni nzuri kwa kweli. In short, game ya Bongo wanaiweza, watasavaivu muda mrefu wasipotengana!
I have been a stakeholder of Tanzanian music almost for ten years,i have witnessed the rise and fall of many great artists,i see bad omen in our industry,all i see is great artists within our...
Nyimbo mpya ya Diamond Chibu inayokimbiza town kwasasa ni special kwa Madam Wema na project part II ya Diamod na Wema; sikiliza kwa makini hiyo nyimbo utajua kitachofuata kwa vijana hao machari wa...
Uongozi wa muziki nchini marekani unao muongoza msanii wa R&B Chris Brown umetoa taarifa kwa uongozi wa muziki Tanzania unao muongoza msanii kutoka Tanzania ALI KIBA msanii ambae yupo chini ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.