PopStar2015:New match-3 puzzle game launch now!
How to play:
1: Tap 2 or more adjacent blocks in the same color to clear them.
2: In levels you can use booster tools to help you to clear the...
MAPANKI, tamthilia ya kipekee inakujia hivi karibuni.
Pata preview hapa : http://www.youtube.com/watch?v=Ysv6fSIhKqA
Kwa habari zaidi: www. mapanki.com
Eti kwa nyinyi mloenda leaders club 24/ 01/2015 ni kweli diamond & Ali kiba walizichapa? maana nilisoma kichwa cha habari cha gazeti moja kilisema; DIAMOND, ALIKIBA WAZICHAPA.
Kama wewe ni mfuatiliaji wa trend ya muziki hapa nchini utagundu hivi karibuni heshima ya diamond kimuziki imeshuka sana ila kinachoweka juu ni tetesi na magazeti na ni habari zisizohusiana na...
5. Barbie girl - Aqua
4. body to body - Chorus kutoka kwa Chris brown
3. Make it rain - Lil Wayne
2. I need a girl - Usher Raymond
1. We are the world - Chorus ya kwanza by Michael Joseph...
Thanks kwa wote walioni-check PM ntampa report jamaa.
Na hata kama wee ni DJ,PROMOTER,MANAGER,PRESENTER au hata kama ni DIRECTOR sio mbaya ukimpa mwana support,YOU ARE WELCOME.
Download...
Dah!! Kweli jide safari hii umetuweza aiseeh na hii single yako mpya ya forever, wambea tumewazaa eeh na kuwazua ila hatujapata jibu kamili, ivi forever utakuwa umemwimbia nani? Gadner? Sidhan...
Ni baada ya website ya Mdundo.com kutangaza wasanii bora wa Hip-Hop Tanzania kwa mwaka, huku Songa akishikilia nafasi ya Tatu, listi ikiwa ni
1= NIKKI MBISHI
2= ONE THE INCLEDIBLE
3= SONGA...
Niambie!
Naombeni mnisaidie wadau kupata sauti za vicheko zilizorushwa sana Clouds Fm kipindi cha Afrika Bambataa kilichokuwa kinarushwa saa 3 usiku na Amina Chifupa.Vicheko hivyo vinaundwa na...
Ni Mlasi Feruzi, mwanamuziki aliyekuwa akifanyia kazi na kundi la Jambo Survivors, mwimbaji wa kibao maarufu cha 'Maprosoo'. Anahojiwa na Masoud Masoud katika kipindi cha muziki wa kitambo hapa...
Januari 21, 2015
Singer-Diamond Platinumz
Genre-taarabu/Mduara
Diamond Platnumz - Nasema Nawee https://www.youtube.com/watch?v=DT7uZ-PVUi8
Source: Hisani ya TANZANIA ONE wa YouTube
Kwa Hisani ya BONGO NATION wa YouTube:
January 21, 2015
Kibao cha Rhumba colabo ya Linah Ft Christian Bella~Hellow {NEW BONGO MUSIC}2015 https://www.youtube.com/watch?v=5SQvae3hHsY
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.