Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...
https://www.jamiiforums.com/attachment.php?attachmentid=177707&d=1408090155 Mashairi:- Vuma We mama mkaa ndanii, Toka nje usikiee, Kutwa we kila siku ndanii, Toka basi usikiee. kuna habari...
0 Reactions
20 Replies
12K Views
Wakuu mwangalieni huyu dada, hivi ana mifupa kama ya kwetu kweli? http://youtu.be/wXQ7HaAsD5Y
0 Reactions
2 Replies
1K Views
1.move bitch - Ludacris, mistycal an 20 2.all of above - Maino f. T Pain 3.in da club - 50 cent 4.make it clap - busta rymes f. Flip mob squad 5.back up - been man 6.fiesta-R.kelly...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
hiki kitabu cha hekaya za allan gwantaman nilikisoma miaka ya nyuma,nakitafuta nikisome tena.mwenye kuweza kijua nitakipata wapi anisaidie wadau
1 Reactions
11 Replies
4K Views
Ilikuwa Majira ya saa nane alfajiri wakati nilipopigiwa simu na mkuu wangu wa kazi inspekta Haruni Majimoto,ndo Kwanza Usingizi Ulikuwa Umeanza Kunoga wakati mke wangu aliponiamsha,Japhet,Japhet...
1 Reactions
2 Replies
4K Views
Habari wana jamvi. Natafuta nyimbo za mwanamziki Caz T aka mwana wa komba. Ki ukweli nimezimiss sana hizo nyimbo. Yeyote mwenye taarifa mahali zinapatikana tafadhari anisaidie. Naomba ukijibu...
0 Reactions
2 Replies
7K Views
mwenye nyimbo hiyo naomba anitumie au anipe link niipate version niliyonayo haiishi hadi mwisho msaada wakuu
0 Reactions
1 Replies
6K Views
Kiukweli vijana wetu wameishiwa ubunifu kiasi cha kutia mashaka makubwa sana.Elimu yetu imetujenga kutokuwa wabunifu.Ni masikitiko makubwa kabisa kuona mitoto hii inaiga kila kitu toka west...
4 Reactions
12 Replies
2K Views
Kabla ya ujio wa hawa jamaa, ilikuwa kila mwenye uwezo na kipaji lazima atasikika na kutusua. Yaani msanii akiwa na uwezo lazima atapenya tu, Redio zote zilikuwa zikitenda haki. Sasa ujio wa hawa...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Ni hivi Clouds fm ni redio nzuri tu na mimi naisikiliza sana na Lady Jay dee ni mwanamuziki mzuri na anafanya muziki mzuri tu kwa hiyo natamani sana nisikie muziki wa Lady Jay dee katika Clouds...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kijana anaushawishi mkubwa sana, Mimi nadhani ifike muda tumtumie kuvuta wapiga kura au mnaonaje wadau. #MstahikiMeya
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Ifuatayo Ni Blog Ya DIAMONDA PLATNUMZ. wasafi.blogspot.com
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Aina hii ya filamu zinaonyweshwa ndani ya ukumbi maalumu wa sinema, ambapo watazamaji wanakaa kwenye viti vinavyotikisika kutegemea mlio wa kitu kinachoonekana kwenye screen,mfano mlio wa risasi...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Mapanki...tunakuja February 7, 2015. Usishangae kwa nini tamthilia itakuwa na urefu wa kama dakika 10 tu hivi. Kwa nini tumeamua tamthilia ya Mapanki iwe na urefu wa dakika 10 badala ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Sina uhakika lakini haya ni baadhi ya maneno Wazazi, wazazi nakonda na................... Mnanilazimisha kuolewa na mimi bado ni mdogo... miaka kumi na.............. Chorus Samahani, samahani...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Sitanii huyu mdada ananikuna mno kwa umahiri wake katika muziki (sio fleva). Ni muda mrefu sasa sijamsikia na bahati mbaya si kipenzi cha waandishi wa habari za burudani hivo hasikiki kabisa...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
BADO HAUJATOKA OFFICIAL ILA HUMU KAWASHIRIKISHA KINA ROGAROGA,LOFOMBO,SAMITSHITU,MA NDACHANT. KIBAO KIMEREKODIWA NAIROBI AMBAKO NDIKO ALIKOFANYA MAKAZI YAKE KWA SASA.. KULA VITU
1 Reactions
2 Replies
922 Views
Guys i need ur help natafuta link ambayo unaweza kuangalia latest movies online tu na sio kudowload ya kwenye simu kutoa youtube coz inaonyesha za mda pls kama mtu anajua bas accoment hapa au ani...
0 Reactions
0 Replies
572 Views
Back
Top Bottom