Kwa watumiaji wa spotify tunaweza ona wrapped yako!
Kwangu nimesikiliza artists 2,097
Top Five Artist
1. Taylor Swift
2. Alikiba
3. Miley Cyrus
4. Kygo
5. Leona lewis
Top songs
1. Cruel Summer...
Kwenye muziki wa kisasa wa Rhumba hasa kutoka DRC Kuna wanamuziki wawili wanaoshindana kwa ukaribu sana. Je nani kati Yao ni mkali kwa mtazamo wako kati ya Fally Ipupa na Ferre Gola?
Hapa...
Ni kweli Jamii imejaa sana ujinga that’s the reason why he’s not famous.
Edger Vicent Mwaipeta (born February 17, 1993), known to one and all as Dizasta Vina, is a hip-hop musician from Mbeya...
Nyimbo za aina hii hua zina muda wake wa kusikiliza.. Wengne husikiliza wakiwa na mood fulani, wengine huskiliza pale wanapoamua kulala n.k
mimi binafsi playlist yangu ni ndefu sana ila nitataja...
Mambo hayajaenda sawa kwenye kiwanda cha Tamthilia Nchini baada ya kushindwa kutamba kwenye utoaji Tuzo za Tamthilia na Filamu za AMVCA ambapo Tamthilia maarufu na pendwa ya Huba imeshindwa...
“Wanafki nafki watu wa kupakazia Yasowahusu wao kuingilia Maneno yao ni kama ya simba Ukiyasikiliza lazima utaaminia” Mandojo & Domokaya ft Jide
“Hakuonekana na Binti hakuwahi kuasi dini mfuasi...
Linapokuja suala la vipindi vya kusisimua vya televisheni, ni series chache tu zilizowahi kuacha athari kubwa kama series ya Breaking Bad. Series iliyobuniwa na director Vince Gilligan, hii ni...
Wanajamvi natumai nyote ni wazima wa Afya.
Ningependa tujumuike katika Uzi huu, kutaja ni Sinema ipi ambayo umeshaiona zaidi ya mara 5 lakini bado hujaichoka.
Mimi binafsi movie ambayo huwa...
Zawadi ya maneno matamu. Maalumu kwa ajili ya mwanamke bora asilia wa Kiafrika
"Mama Africa", ujumbe maalumu kwenda kwa mwanamke asilia wa kiafrika, mwenye tabasamu angavu, uso wenye nuru, sauti...
Habari zenu wadau wa michezo hapa jamvini.
Kama kawaida ni wiki ya kushuhudia CAF CHAMPIONS LEAGUE game za pili kwa makundi na timu zote.
Kutokana na hali hiyo, kuna game 1 tu kati ya game zote...
Mwanamziki wa kizazi kipya na mkurugenzi wa Konde gang Hamornize ameeleza mazito yaliyomfanya aondoke Wasafi ya Diamond Platinumuz.
Hamornize amesema ili kuondoka wasafi label ilimlazimu kulipa...
KESI YA MZEE MNYOKA 01
Mzee Mnyoka alikua na kawaida ya kuchelewa kurudi nyumbani kwake, Mzee Mnyoka hakua mlevi au mchawi lakini tuseme tu hakua na mazoea ya kurudi nyumbani mapema.
Siku ya...
Binafsi naupongeza uongozi wa TBC Fm kwa kutaka kubalisha vipindi vya Redio vitakavyovutia wasilizaji wapya, hasa ukichukulia TBC Fm inawasikiliza wa rika lolote lakini vijana ndio wanasikiliza...
Dstv ukiachana na EPL na Champions league matches hawana cha kuoffer kwa fans wake imagine CAF Champions league hawataonyesha games zao AZAM akipata tender ya kuonesha EPL na Champions league...
Nimezunguka sana jamiiforums, reddit, yts, n.k. katika kusaka muvi kali za kucheku lakini nikaja gundua watu tumetofautiana vionjo, ushauri wa muviz upo juu juu haujaingia kwa ndani kugusa vionjo...
Gazeti la The Post linaripoti kwamba kamouni ya Paramount imefuta mnada wa kuiuza BET, kwa maelezo kuwa wamesikitishwa na ofa ndogo walizopokea kutoka kwa wazabuni.
Bei iliyowekwa na Paramount...
Jamani mwenye wimbo fulani hivi unapigwa Clouds Fm unasema "nitakutumikiaa! nathibitisha kwa juhudi na nia. Kama ilivyo leo nitajaribu tena kesho nitakutumikia".
Wimbo huu unanivuta kihisia sana...
MKASA WA KWELI
KAZI YA KULINDA MAITI MOCHWARI ILIVYONISHINDA
MWANDISHI: ZUBERI MARUMA
Whatsupp: 0759427653
i
Jina langu naitwa Joseph Matombeko ,mzaliwa wa Nairobi nchini Kenya naishi na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.