Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...
Mtunzi: Amani Dimile Sina jipya la kusema, yote nimeshamaliza Maisha yaenda vyema, Mungu ametujaliza Pendo lafanya nahema, nafurahi napendeza Mimi pombe ye mgema, wallah! ameniweza Ametiririsha...
2 Reactions
3 Replies
545 Views
Ni rahisi kuziita common confused terminologies ambapo wapo wanaojua tofauti kati yao na huzichanganya kimazoea lakini wapo wanaotumia dhana hizi kwa kuzichanganya pasipo kujua tofauti zao. Hawa...
3 Reactions
3 Replies
1K Views
• Quincy Jones • Lionel Richie • Stevie Wonder • Paul Simon • Kenny Rogers • James Ingram • Tina Turner • Billy Joel • Michael Jackson • Diana Ross • Dionne Warwick • Willie Nelson •...
6 Reactions
15 Replies
1K Views
Wadau wa JF entertainment, Naombeni mwenye soft copy ya movie ya Endless love iliyochezwa na Brooke Shields na Martin Hewitt. Kwenye hiyo movie Brooke alitumia jina la Jade, na Martin alitumia...
1 Reactions
4 Replies
507 Views
Vigezo vilivyotumika: 1. Nyimbo zinazoendana na neno la Mungu 2. Kuwepo kwenye imani thabiti ndani ya Kristo 3. Kuwa na malezi ya kiroho na kanisa analohudhuria kama mshirika 4. Muendelezo wa...
10 Reactions
328 Replies
30K Views
Habari wakuu Kwa wale tunaopenda kutumia Netflix tupeane uzoefu katika kuangalia Series na Movies katika App Hii. Binafsi nimeangalia Series nyingi toka Sekondari kuanzia Prison Break. Lakini...
1 Reactions
2 Replies
723 Views
Kuna utata bado kwenye ujio wa T.I Kwa sasa jamaa wanahaha kutafuta wasanii kwa kuokotezaokoteza ambao hawakuwa kwenye list incase hali itakuwa mbaya mpaka dakika za mwisho. Lakini kitanuka...
2 Reactions
2K Replies
160K Views
Unazikumbuka hizi Learn Back, Make It Rain- Fat Joe, vipi kuhusu the iconic song kutoka westcost Still ya Dr Dre, Just A Lil Bit 50 Cent, Poppin Them Thangs - G unit, Gimme That-Run It za Chris...
6 Reactions
21 Replies
4K Views
Kumbe Magwiji wote waliokuwa Wakiunda Kundi la ( Bendi ya ) Wenge Musica BCBG 4 X 4 wakiongozwa na JB Mpiana, Mpiga Solo Alain Makaba, Mpiga Bass Didier Masela, Ngiama Makanda Werrason, Adolphe...
1 Reactions
3 Replies
920 Views
WASAFI FESTIVAL kwa content package mnayodeliver kuna muda mpaka nahisi Teni halitoshi.. package ni kubwa kwakweli.. sema kwa upande wetu mimi na mwanagu tuna enjoy kinoma kwa sababu uwezo wetu ni...
1 Reactions
6 Replies
546 Views
Wakuu heshima kwenu! Napenda kushea nanyi simulizi ya maisha yangu . Hii sio hadithi ya kutunga, nimelazimika kutumia majina ya kutunga ili kuleta maana. Pia nimetumia codes nyingi sana hapa ili...
45 Reactions
604 Replies
48K Views
Kwa wale wapenzi wa movie wanaopakua kwa kutumia netnaija tunajionea changamoto ya baadhi ya movie kutokuwepo, kuna website inaitwa fzmovies.net hii ina movies nzuri zenye quality nzuri na mb chache
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Kura yangu naitupa kwa mpiga kinanda kumaster hiyo.keyboard kwa nyimbo tofauti tofauti siyo kazi rahisi...Dj siyo kiviile.
0 Reactions
1 Replies
434 Views
Hapa kashirikishwa na G-Nako, wimbo unaitwa Komando, ila melody za Diamond zinafanana 90% na wimbo wa Amapiano aloimba Asake. Sikiliza kisha ufanye conclusion mwenyewe kama Diamond anasingiziwa...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Wadau kwema..wenzang wa miaka ya 2000 mtakua mnakumbuka zaman miaka hyo I'li ipate channel kwa Tv ilikua lazimaa upandishe antenna juu..kiwango cha upandishaj kinategemea uko wap..nakumbuka kwetu...
4 Reactions
5 Replies
606 Views
Guys heri ya Christmas na mwaka mpya, Wale wapenda hip-hop kama Mimi especially underground hip hop kuna mixtape inaitwa kua uone ilikutanisha rappers underground wale wa Arusha wakina Raff...
0 Reactions
5 Replies
777 Views
Wapambanaji niaje? Kumekuwa na wimbi kubwa la watu wanaocheza hii michezo ya kindege kinachopaaa halafu unakuwa unashinda pesa pale ukiwahi kutoa pesa kabla hakijalipuka. Nilianza kuijua ZEPPELIN...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Kwa upande wangu kwa mwaka 2023 hizi ndio nimeona ndio ngoma kali kutoka kwa hawa wasanii wakubwa nchini. Single again ya konde boy ilitoka mwanzoni mwa mwaka huu, na niseme hii ndio ngoma kali...
0 Reactions
6 Replies
772 Views
Poker game! I do not love you except because I love you; I go from loving to not loving you, From waiting to not waiting for you My heart moves from cold to fire. I love you only because it's...
2 Reactions
1 Replies
509 Views
Poleni na kazi nahitaji msaada kwa mwenye copy ya riwaya hii ya Mkimbizi. Natanguliza shukrani za dhati kwenu.
0 Reactions
50 Replies
5K Views
Back
Top Bottom