Nimefuatili leo taarifa ya habari ya chanel ten ya saa 1 jioni nikitegemea kupata habari motomoto za matukio ya leo. Jamaa katangaza habari ya vurugu Mbeya utafikiri yuko chooni, habari kavu kavu...
Naangali Supersport 3 kunatakiwa kuwe na live match kati ya Gabon na Brazil, kituko kimetokea just before kick off umeme umekatika na President ndo mgeni rasmi, ni aibu tupu yaani mpaka sasa mechi...
Ajali imetokea eneo la Makunganya,Morogoro lilkilihusisha basi la MASTER CITY lilikuwa likitokea Dar kuelekea Mwanza.Ajali hiyo ilitokea baada ya basi kugonga lori na inasadikika ilitokea kutokana...
Mlima Kilimanjaro? Ndiyo! Lakini kupitia kampuni ya serikali iliyo binafsi na kuitangaza ati tuma ujumbe kupitia airtel siyo sahihi kabisa tena inatakiwa akareverse lile tangazo1
Kwanza, Sheria ya...
wakuu mimi nipo maeneo ya msewe, lakini muda wa dakika tano zilizo pita nimesikia milio ya mabomu na risasi maeneo ya ubungo au chuo kikuu cha dar es salaam, kama kuna mtu yupo kwenye eneo la...
The photograph of the royals re-enacting colonial nostalgia in Africa evokes the archaic nature of British identity
Jonathan Jones
guardian.co.uk, Friday 11 November 2011 10.08 EST
Article...
Wafanyakazi wengi wa ofisini hasa wale wa Posta wameshazoea kuomba msamaha kila asubuhi wafikapo ofisini kutokana na foleni barabarani. Foleni hizi,hasa, husababishwa na wanene wa Taifa ambao kila...
Hata scrapper ni poa, basi chukueni na hili.
Wafungwa wanaofika magereza kwa siku ni zaidi ya mia moja, watatosha kwenye kagari haka jamani?
Why Arusha and not Dar Es Salaam? Au wametayarishiwa...
WanaJF wale watakaofanya jambo au tukio muhimu la kuweka kumbukumbu kama harusi, kuoa au kuolewa,kupata mtoto, atakaepata mchumba, kuachwa au kuacha...matukio yoote ya furaha na huzuni wasiache...
Siku ambayo JK anakuja Arusha wana CHADEMA waandae mabango ya kutosha na kwenda uwanjani kama kawaida,JK akiingia tu uwanjani anakutana na mabango na baadae watu wanatoka mmoja mmoja kama...
Jaji Mkuu wa Tanzania Chande Othman ni miongoni mwa waliotajwa kurithi nafasi ya mwendesha mashitaka mkuu wa mahakama ya makosa ya uhalifu Moreno Ocampo.
Kitendo cha Serikali kujifanya kinyonga...
Nimefuatilia kwa muda sasa na ninaona dhahiri jambo moja, Kikwete umeshindwa kazi, achia ngazi. Kwa maneno mengino ccm ushindi wenu wa kuchakachua umekuwa anguko lenu.
Leo hii peke yake...
Habari wanaJF,
Nimeona tushirikiane ujumbe wa tarehe ya leo wenye maana ya kusisimama kwa miguu yako miwili ili hii tarehe iwe chachu ya wote kusimama na kupinga udhalimu na unyonyaji ndani ya...
Wadau:
Naomba msaada kidogo wa real experience ya watu kuhusu hiyo mada hapo juu.Im a businessman,ila nataka ku-expand into a very new business venture....kufungua a street corner sneakers...
Ofisi ya mkurugenzi wa manispaa ya singida imegeuka kuwa uwanja wa ngumi tangu jana, baada ya leo asubuhi kuanza tena ngumi.
Jana ilikuwa diwani wa kata ya unyambwa mh. Shaaban satu dhidi ya...
Kumbe enzi za nyuma inasadikika mfalme alioa binti kibonge wakati wa picha
kumbeba ikawa kazi kubwa ya kuchosha na ya nguvu sasa hawa jamaa
wakaanzisha mfumo maalum kwamba wadada wawe vipotable...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.