Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Tangu alhamis ccm ilitangaza kuwa mkuu wa serikali ya kishkaji atakuwepo Arusha leo jumamos kwa ajili ya kuwapa watoto chanjo ya polio na surua Mara ghafla jana kuanzia saa sita tangazo likageuzwa...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
WanaJF, Kumbukumbu zangu zinaniambia kuwa mabasi haya yalisimamishwa na SUMATRA kufanya shughuli zake njia ya Dar - Mbeya, sasa na hii ajali ya hili basi jana kugongana na Prado maeneo ya Al...
0 Reactions
24 Replies
8K Views
Nina rafiki yangu ambae ndugu yake alivamiwa na majambazi na kujeruhiwa mkono. Bei ya out patient pale MOI imemkatisha tamaa kiasi kwamba inabidi akatafute huduma pengine. Bei aliyopewa MOI ni...
0 Reactions
53 Replies
9K Views
Tayari mambo yamechafuka katika chuo kikuu cha Dar es salaam na mpaka muda huu vijana wako Revolution square na wametangaza mgomo kwa kile wanachodai ni kwa mwaka wa kwanza kunyimwa mikopo, sasa...
6 Reactions
271 Replies
26K Views
Jana na leo kulikuwa na mgomo wa wafanyakazi wa chini ya ardhi katika mgodi wa Barrick Bulyanhulu. Chanzo cha mgomo ni wafanyakazi hao kutaka kuongea na meneja mgodi Bwana Denis Hoof ili wamueleze...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Mjadala mzuri star tv. Mada mabadiliko ya katiba. Prof shivji yupo hewani.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Baada ya kuiona hali halisi ya jiji la Mbeya ambapo wamachinga wamekwaruzana na polisi kwa muda wa masaa 10 tumejifunza kwamba wananchi wakiamua hakuna awezaye kuwazuia. Vurugu za Mbeya...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Jeshi la polisi limejidhihilisha kuwa hawako kuwalinda raia bali kuwanyanyasa raia.Kwa kuwa njia halali za kuwafikishia ujumbe kuwa wanachokifanya hakikubaliki zimeshindikana,mi naona wanataka...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
1. Kwamba alichukuliwa kuwasaidia Wamarekani na akauwawa kwenye uwanja wa mapambano nchi za Arabuni 2. Kwamba alirudi Tanzania na akafariki katika Hospitali ya Lugalo baada ya kuugua
0 Reactions
36 Replies
4K Views
leo ni siku ya kwanza ya chanjo ya kitaifa ya surua,watumishi wa afya hasa wauguzi jana walipewa semina elekezi ya siku moja. Malipo ya semina hiyo hapa Mwanza waliambiwa ni sh.15,000 tu! Nayo...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Dunia nzima katika karne hii haki za binadam na Demokrasia ni utamaduni ambao haupingwi bali kusisitizwa hili kuleta amani na maendeleo. Haki za binadam na Demokrasia katika jamii vinasimamia...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Watanzania wenye asili ya asia jijini mwanza walikataa kuwapeleka watoto wao kuchoma sindano ya polio kwa sababu zisizofahamika!! Nikajiuliza inawezekana zina madhara kwa watoto wetu au wao ndo...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mimi ni medical assistant hapa Mbeya, na leo nilienda hospitali ya rufaa kukutana na Drambaye ni rafiki yangu na alikuwa sehemu ya huduma ya haraka "casuality". Nilipokuwa pale aliipokea miili...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
nikushukuru kwa kututembeleya tunduma na kutuwekeya jiwe s/m mukombozi na kuchangiya mifuko 50 ya saruji 10-11-2011 mazingila niliyoyaona tunduma na kilicho tokeya mbeya kinaweza tokeya tunduma...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Campus night 2011 at leaders club,its wonderfull..never seen before,U can follow online now live through the following link. CAMPUS NIGHT 2011 on USTREAM: Campus is the Mega event for Students of...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Tangu siku ile ya hafla ya Prince Charles pale ikulu, nilianza kujihoji uhalali uhalali wa kodi yangu kuiendesha TBC1. Ila leo uzalendo basi tena hata kama ni hiyo kodi yangu waendelee kula tu...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
MATOKEO ya uchaguzi wa udiwani wa kata ya Kijitonyama, Kinondoni jijini Dar es Salaam yaliyomtangaza mgombea Uloleulole Athumani wa CHADEMA kuwa ni mshindi, yamebatilishwa na Mahakama ya Hakimu...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
hivi kuna nchi gani nyingine duniani inayotumia pesa za aina mbili kwa wakati mmoja kama ilivyo hapa tz??
0 Reactions
7 Replies
2K Views
nauliza kuhusu ile interview ambayo ilikua kama kongamano la wenye degree na wasio na kazi, lililofanyika tarehe 7 mwezi huu, pale kurasini. Hawa jamaa hawajaanza kuita?
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nionavyo mimi kumbe hata serikali ya tz nayo kwa namna moja au nyengine inaunga mkona ushoga kutokana na hilii......... - kwa nini tz ikiwa ni miongoni mwa waasisi wa jumuia ya africa ya mashariki...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom