Kinachotendeka sasa hivi Mbeya, Dar na Arusha ni matokeo ya kuwa na serikali legelege na viongozi wasiomakini! Viongozi wetu wameingia madarakani kwa nguvu ya rushwa, kuiba kura/kuchakachua kura...
Tanzania haitafikia matarajio ya kujenga misingi ya demokrasia ya vyama vingi iwpo polisi watazidi kudumisha utendaji wa mfumo wa serikali za chama kimoja.
Hayo yamesemwa na Makamu Mwenyekiti...
Wakati wa Bunge la bajeti wabunge wa CHADEMA isipokuwa Shibuda waligoma kuchukua posho za vikao, katika maswali ya papo kwa papo Waziri Mkuu, Mizengo Pinda alipoulizwa kuhusu suala la posho...
Jamni hivi jukumu la msingi la maafisa watendaji wa serikali ni kugawa Sukari? Imenishangaza kuona ofisi za kata ndiyo zinauza sukari? Naomba kuelimishwa kwa hili jamani. I stand to be correctedif...
Siku ya jumanne tarehe 8/11/2011 kuanzia muda wa saa 9 ya jioni, kulitoka hewa yenye harufu nzito sana iliyosambaa hadi nje ya mgodi wa Buzwagi.
Hewa hiyo ilisababisha wanakijiji pamoja na...
kwa heshima na taadhima nawaomba waheshimiwa Mbowe na Slaa kusitisha mipango yao ya maandamano,Tanzania bado inataka hali yake ya amani na utulivu,maandamano mengi yanavunja utulivu na ni kero...
My Dearest one
Greetings my dearest one,my name is Ruki justin yak am 25 years old Girl from Southern sudan.I want to have a Good relationship with you, I need to tell you more things, but first...
Wananchi tunaokaa huku Mbezi Morogoro road tunapata taabu sana kupita eneo la Mbezi mwisho hasa nyakati za asubuhi na jioni ndo usiseme ni balaa, kwa kufikiria kwa haraka stand mpya ilikuwa ndio...
The World talk of Martin Luther King Jr, Michael Jackson, Jesse jackson, Jesse Owens and forget about the undergrounds like our late His Eminence Laurian Cardinal Rugambwa the first modern Africa...
Ndugu zangu nimekaa sana nikawaza yote haya natafakari tu eti waasi kama wa libya na kwingine wanatengenezwa au wanatokeaje? au ni watu wa aina gani au ni kina nani?na je hili huwa ni jambo la...
Wakati Tanzania tukisimama kidete kupinga swala la Ushoga, jiran yetu wa karibu Uganda wanapigia chapua kinachosemekana HAKI za mashoga.
Akipingana na swahiba wake bwana Kikwete, rais Museveni leo...
Wakati wanajeshi wanakula kiapo cha utii mbele ya Rais, tafsiri yake ni kwamba wanasema hawatafanya jambo lolote lile lililo kinyume na matakwa ya Rais ambaye ndiye Amiri Jeshi Mkuu. Amiri jeshi...
Hilo ndilo utegemee siku ya kesho na hiyo ilikuwa ni sheria ya wizara sema aikuwa inaratibiwa mara kwa mara na waziri atakubali hiyo na mwisho wasivyo na dabu wakiongozwa na bi kidude wanaweza...
Kwa wale wanaoshuhudia International Friend match kati ya Brazil na Congo wataona yale yaliyowahi kutokea Uwanja wa Taifa hapa DSM TZ, ndicho kinachotokea uwanjani nchini Congo! tofauti na siye...
Wadau,
Kwa maoni yangu askari wa kutuliza ghasia anatakiwa alipwe zaidi ya viongozi wao wanaokaa maofisini na kutoa amri. Hii ni kutokana na risk (hatari) wanazokumbana nazo wawapo kazini...
Taarifa zinasema msafara wa makamu wa raisi dk gharib bilal,umepata ajari jijini dar leo baada ya gari iliyo kuwa ikiendeshwa na mama mmoja aliye kuwa akinywa maji ya dafu(nazi changa) kuuingilia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.