Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Vijana wa minaki tunapenda kuwa karibisha watu wote waliosoma na kuitumikia minaki tr 4/12/2011.
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Majira ya saa nne asubuhi leo Polisi wamefanikiwa kuwaua majambazi watano ambao walivamia duka la hardware kwa ajili ya kufanya uporaji! Ilikuwa hivi..Polisi walikuwa na taarifa za uhalifu huo...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
...Nimekua nikifuatilia kisemwacho na waTanzania wenzangu pamoja na viongozi wetu kuhusu kauli ya Uingereza kuwa ni sharti kukubali kuwatambua mashoga ama sivyo misaada wanayotupa wataiondoa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Shock as engaged couple discover they are brother and sister just before wedding An engaged couple who dated for five years have been left in turmoil after their families met and they discovered...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Warioba amenena hayo,Kwa maana hyo Hatuna Rais TZ ila kuna RAHISI. Source.Mwananchi.leo
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Gari ya super feo iliyokuwa inatoka dar kwenda songea imepata ajali karibu na ifunda.haijaua lakini kuna majeruhi
0 Reactions
17 Replies
5K Views
Wakuu, wansi ageni katika pita pita zangu nimekutana na hii kali kweli jamani...mtoto kazaliwa na mpini mgongoni!!!!...Jamani masikitiko.Ukitaka picha ifukuzie kwenye link ...
0 Reactions
16 Replies
7K Views
Tumebakiza nukta chache kutimiza miaka hamsini ya uhuru, ni safari ndefu sana, Inasisimua, inashangaza, inachukiza pia inahuzunisha. Kabla sijasema kwanini naipongeza CCM nataka nionyeshe kwanza...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Marekani na ulaya hawapendi maendeleo ya Africa always ndo maana jamaa alitakiwa kufa. Jamani tafakariiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!! Aghhhhhhhhh
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Kama upo tayari kuipoteza mood tembelea kwenye hiyo wall ya rais Jakaya Kikwete kwenye facebook,leo amezungumzia suala la EPA, Kamchina kangu hakawezi kuileta link hapa.
0 Reactions
23 Replies
3K Views
  • Closed
Hizi habari nimesoma somewhere kuwa kuna ajali imetoa Shinyanga maeneo ya Ibadakuli. Kama kuna maelezo mazuri basi muweke. Nasikia kuwa ni Precision Air na watu kadhaa wamepoteza maisha. Kama ni...
0 Reactions
35 Replies
4K Views
Rais wa JMT Mh. Jakaya Kikwete anatarajiwa kuwa uwanja wa mpira ya Sheikh Karume tarehe 12/11/2011 kufungua kampeni ya Surua ikiwa ni takribani mwaka mmoja tangu aingie awamu ya pili. Hii itakuwa...
0 Reactions
24 Replies
2K Views
Katika kutekeleza kwa vitendo sera yake ya diplomasia ya uchumi serikali ya Tanzania imesema kuwa imewekeza kwenye majengo huko USA ambapo kwa sasa majengo hayo yanapangishwa na serikali inapata...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Kweli ukoloni bado upo ingawa uko kwa sura nyingine. Kwa sababu ya misaada tu Uingereza inazitaka nchi zinakula pesa zake ikiwemo Tanzani ikubali usenge na usagaji? Heko serikali ya Tanzania kwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
KAMATI ya Hesabu za Mashirika ya Umma (POAC), imebaini ufisadi mwingine wa mabilioni ya fedha kwenye marejesho ya zile zilizochotwa awali kifisadi katika Akaunti ya Madeni ya Nje (EPA).Fedha hizo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
kumbe hamna majibu ya papo kwa papo humu
0 Reactions
0 Replies
887 Views
NA SHAABAN MDOE. ARUSHA NJAMA za mbunge wa Arusha Mjini Gogbless Lema (CHADEMA) kushinikiza mgomo wa daladala na pikipiki , ikiwa ni ishara ya kupinga kuwekwa rumande, zimegonga mwamba , baada...
0 Reactions
52 Replies
6K Views
aliyekuwa diwani wa ccm kata ya mwawaza hatimaye amezikwa leo saa saba mchana baada ya kifo chake kilichotokea kwa kugongwa na pikipiki
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mmmm! Nikweli report ya UNDP inasema ukwel? Make naona thamani ya sh ya Tanzania inaporomoka afu eti uchumi unapanda. Je nikwel?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kubali usikukubali! Kuku mwenye awamu 3 akiwa anatotoa vifaranga yake,lakini awamu hii ya nne akawatelekeza vifaranga wake na kuanza kuwa Jogoo na kuanza kuwika. Ni kuku wa mfugaji mkongwe wa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Back
Top Bottom