kama ni kweli watanzania tunachukia ushoga ambao unaonekana kumiliki madaraka huko UK basi hatuna budi kususia kushabikia ligi ya uingereza ambayo ina mashabiki wengi hapa nchini.hii ni vita dhidi...
Gazeti la mwananchi la 3 Nov. 2011 liliandika taarifa za Lema kutaka kuwatoa gerezani wafungwa waliofungwa kutokana na kushindwa kulipa faini kwa kuwalipia kupitia fedha za mfuko wa jimbo.
Hilo...
Nikiwa nimefikisha miaka 42 ya umri tangu kuzaliwa, nikiwa nimezaliwa ktk nchi ya kimaskini kabisa, naendelea kupata tabu kuwa hali ya maisha ya mtanzania inashuka, japo kuwa mi nikiangalia hali...
KWA MUDA SASA MAASKARI WA KITUO CHA POLISI ARUSHA (CENTRAL) CHINI YA OCD MWOMBEJI WAMEKUWA WAKICHEZA MCHEZO HUU MCHAFU NA WA KUTISHA.
VICTIMS NI WENYE MAGARI BINAFSI.
UTASHANGAA TU GHAFLA...
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Mohamed Shein, amesema aliapa kuwa mjumbe wa Baraza la Mawaziri la Jamhuri ya Muungano kwa kuheshimu Katiba na kuimarisha Muungano.Dk...
Inanikera sana tunapo kuwa na wakati mwingi wa kujadili matukio zaidi, badala ya hatma yetu na vizazi vijavyo!
Tumebakia mashoga mashoga sijui ushoga! hee! nyie vipi? wakati maadui wetu wakuu...
Gaddafi Sexually being abused by The Rebels - YouTube
PAMOJA NA UASI NA UBAYA WA GADAFI JE NDUGU ZANGUNI WASILAMU ALISTAHILI KUINGIZWA KJITI MAKALION KWELI??
NAKAMA NDIO JE AMUONI KUINGIZAA UUME...
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Benard Membe alitoa msimamo huo leo Jijini Dar es Salaam akisema huko ni kwenda kinyume na sheria na utamaduni wa nchi yetu inayotambua ndoa ya...
Ndugu zangu wana jf, naomba tuthubutu hapa jukwaani na kuacha unafiki kwa kuwataja watu wote ambao wana husika na biashara ya madawa ya kulevya hapa dar es salaam. Vijana wengi hasa maeneo ya...
Kumekuwa na wimbi kubwa la wetu , hasa vijana na watu wa makamo kuvaa mavazi ya gharama huku wakiwa wamevaa pete,cheni kubwa kubwa za dhahabu,silver, heleni kwa upande wawanaume, na kwa upande...
OCD wa Arusha, Zuberi Mwombeji anadaiwa kumiliki kimabavu nyumba moja mjini Katesh, wilaya ya Hanang Mkoani Manyara.
Inadaiwa alipata nyumba hiyo wakati akiwa OC-CID wa hapo Katesh ambapo...
Vituo vya mafuta jijini mbeya vimegoma
kuuza mafuta aina ya Petrol sababu ya
kupinga hatua ya EWURA kupunguza bei
ya mafuta kuanzia leo wakidai ni hasara
kwao sababu wenyewe walinunua kwa...
WALE wenye bahati ya kupata elimu, wanao wajibu wa kulipa jasho ambalo wengine wamelitolea. Ni sawa na mtu aliyepewa chakula chote katika kijiji chenye njaa, ili apate nguvu za kwenda kuhemea...
Jamani tanzania na mikataba mibovu inatufilisi kampuni iliyoingia ubia na uda ya simon group inadaiwa tsh 5bn na TIB na hakuna dalili ya uwezekano wa kulipwa kwani benki nyingi zinaidai kampuni...
Mambo yanayonikera nikiwa jijini D'Salaam ni mengi, lakini yaliyozidi ni haya:
1.Kivutio maarufu kwa wageni na wenyeji- Foleni
2.Mgawo wa umeme usiokuwa na taarfa.
*Mengine sisemi................
Kwa kalenda ya Saudia na nchi nyingi kama sio zote duniani ambazo hazina msuguano na ujanjaujanja katika masuala ya Ibada, zitafunga funga ya arafa kesho Jumamosi tarehe 5 Novemba na kuswali idi...
huko mkoani lindi kuku jike limegeuka kuwa jogoo licha ya hapo awali kubeba mimba mara mbili..sasa haya majabu duuh ndiyo maana yule shoga wa uk anataka tutambue haki zake pengine anajua iko siku...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.