1.Sishindwi kumuita binadamu mwenzangu PANYA
2.Ntahakikisha binadamu wenzangu wanakula nyasi,lakini ndege ya rais itanunuliwa
3.Sitaogopa kufyatuka hadharani au Bungeni kuwashutumu wapinzani...
MWANAMKE aliyetambulika kwa jina la Ndeku Agustino (22), mkazi wa Kigogo Luhanga juzi jana aliushangaza umma kwa kutupa kichanga chake chooni alichotoka kujifungua punde huko maeneno ya Kigogo...
Waziri Membe akiweka wazi msimamo wa Tanzania kuhusiana na ushoga
Thursday, November 03, 2011 9:45 PM
TANZANIA imesimamia msimamo wake wa kuitosa Uingeereza iliyoweka masharti kwa nchi zinazotaka...
Idara ya Uhamiaji nchini ikiendeleza wimbi la kukabiliana na uhamiaji haramu leo imewakamata watuhumiwa wengine 25 na kuwafikisha mahakamani ambapo pamoja na kupigwa faini wanaandaliwa...
Barua ya wazi kwa rais
Sisi wafanyakazi 12 wa Bodi ya Tumbaku Tanzania (TTB) kada ya udereva na wahudumu, tunapenda kuwasilisha kwako kero ya uchakachuliwaji wa mishahara yetu uliofanya kati ya...
Habari za jioni wana jamvi ktk tafakari yangu ya leo baada ya taarifa za mitaani za kuhoji kipima joto mara nyingi mtangazaji husema hebu tusikili mwandishi wetu akihojiana na watazamaji wetu wa...
Wadau siku ya 3 leo nasumbuliwa na mafua,tonsils na kikohoz kikavu,nimetumia dawa (pen-v) bado hali haijatengemaa,tangu jana nimeshndwa kufundisha,maana makamas yanadondoka tu,naiomba serikali...
Kilimanjaro International Airport
Large commercial planes destined for Nairobi, Kenya have been diverting to Kilimanjaro International Airport (KIA) here from Wednesday, causing a number of...
Zimbabwean man claims prostitute turned to donkey
HARARE, Oct 26 –A MAN caught having sex with a donkey stunned a court on Monday by claiming that the animal was in fact a hooker he...
Utasikiliza kipindi cha burudani katika vijiradio vyetu hapa nchini na mtangajazi baadae anajifaharisha kwa kusema nitumie ujumbe kwenye mitandao ya jamii kama fb na tweeter. Sasa hapa napata...
wadau naleta hoja jamvini ikibidi raia tuchukue hatua kwa kuzidi kuporomoka kwa shillingi yetu kila siku na hakuna hatua za madhubuti zinazochukuliwa na serikali yetu, leo dola 1 ni zaidi ya...
Taarifa nilizozipata kutoka chini ya kapeti zinasema kuwa timu ya wanaharakati imeweza kuishaiwshi mahakama ya ICC kuja kufanya unchunguzi na kuweza kuwashitaki waliofanya mauaji katika maeneo...
Jamani hivi watanzania tutaendelea lini?ni lini njaa na tamaa zitatuishia?sasaivi zimekuja leseni mpya,walisema ya kwamba hizo leseni hazita tolewa kizembe na kwawale waliopata leseni kiuwizi...
Kuna jamaa yangu yupo kilimanjaro akiwa pale kia kuna ndege kama tatu zimeelekezwa kutua KIA, Sijui zinatokea Jomo Kenayatta ama Julias Nyerere na Je Kuna nini kimetokea na kusababisha diversion...
Natazama movie ya Transfomers..Dark of The moon...naona wametumia Location ya mbuga ya serengeti...na Pia Mt kilimanjaro
Je...Wizara/ Idara husika wamelipwa?....
Maana yangu ni kwamba, kuyafumbia macho mambo ambayo ni kinyume na maadil ni kulijenga taifa la mateja, machangudoa, vibaka na wanaofanana na hao. Leo tukiwapa uhuru mashoga, kesho mateja nao...
wana jf
kwanza poleni kwa umiza kichwa ya kila siku na nchi yetu hii ya tz.
Tumesikia kampeni za kuupigia kura mlima kilimanjaro ili uingie kwenye maajabu saba mapya ya dunia na nimesikia tangazo...
China imefanikiwa kuviunganisha, vyombo viwili vya kwanza angani visivyokuwa na watu, hatua ambayo ni muhimu, kuelekea kutuma chombo chenye watu kwenye kituo cha anga, ifikapo mwaka 2020. Hadi...
Jamani,leo ni siku ya 5 baadhi ya maeneo ya Arusha hasa mianzini kuelekea idara hakuna maji safi na salama.Sijui tatizo ni nini na wahusika hajatoa taarifa.Naomba nijuzwe,shida nin nini maji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.