http://www.youtube.com/watch?v=bPeCpq8VkLo&feature=player_embedded
New York (CNN) - Soccer players can't use their hands to touch the ball on the field.
Two athletes in Iran abided by the...
Hivi majuzi waziri wa elimu na mafunzo ya ufundi alikua anakagua baadhi ya
shule jijini dar na baadhi ya shule hizo alizifunga kwa madaii kwamba hazikidhi
viwango nyingine hazijasajiliwa na...
Tangu asubuhi nimenunua voucher ya Tigo nataka kufanya mawasiliano kila nikiingiza inaniambia "Sorry, the operation failed" Hawa jamaa wana nini na sisi watanzania? Tunaweza kuwafanya nini ili...
Kuna muda leo US$1 ilikuwa inanunuliwa kwa 1820Tsh.
Hali hii si nzuri kwa mustakabali wa taifa letu watanzania,pamoja na watanzania kupiga kelele zoooote kwa serikali lakini ndo kwanza JK anakwea...
Nikiwa kama mdau wa mijadala mikali inayoendelea humu JF na Tanzania kwa ujumla nimesikitishwa sana na kitendo cha baadhi yetu kutaka kuchochea vurugu humu jamvini kwa kutaka kutambua majina ya...
Wakazi wa Ilaka Kota katika nyumba za NHC wamefukuzwa kama mbwa na kupewa fidia ya shilingi laki tatu baada ya kuwa wapangaji katika nyumba hizo kwa zaidi ya miaka arobaini.
Nyumba hizo ambazo...
Nimekuwa nikifuatilia weledi wa OCD Mwombeji ya kuwaita wa-Tanzania wenzake kuwa ni panya nimefadhaika sana na mifumo yetu ya Ulinzi na Usalama wa raia.Kwa hicho kitendo cha kuwatukana wa-Tanzania...
Baba wa Taifa jf nyerere alitambua kwamba
MARADHI
UJINGA
umasikini
Ni maadui zetu lakini cha kushangaza
mpaka sasa maadui zetu hawa wameendelea kuwa
nasi hadi hivi leo ndio maana utakuta...
Kuna taarifa ambazo nimezipata toka kwa chanzo makini kuwa kuna kampuni mpya ya usafirishaji abiria ambayo ni ya Riz 1 inatarajiwa kuanza mnamo tarehe 6 november. Inasemekana kuwa kampuni hyo...
DR.MARINA ALOYCE NJELEKELA: MUHIMBILIs NEW BOSS
Posted: 31 Oct 2011 06:49 AM PDT
This is to inform the general public that the Muhimbili National Hospital Board of Trustees has appointed...
Wingereza wanachekesha sana.
Tanzania tuliwafukuza waingereza na 2kajipatia uhuru mwaka 1961.
Sasa leo hii 2nasherekea miaka 50 ya uhuru na kauli ya waziri mkuu wa wingereza kwamba nchi...
Wakuu nimekutana na hili tamko ktk bbc website, naona JK kimya au yeye mambo poa tu muhimu kidogodogo kiingie
Ghana's President John Atta Mills has rejected the UK's threat to cut aid if he...
Hii imekaaje wakuu, nasi tumuombe mzee Bill aje kwetu? ...labda watasikia.
Source: http://www.monitor.co.ug/
Bill Gates advises Uganda on oil cash
The world's second richest man and one of its...
mwili wa marehemu mzee Laurance Nkwera
Umati wa Wananchi waliofika kushuhudia tukio hilo wakiwa wamemshikilia dada wa marehemu aliyekuwa akilia huku akimlaumu marehemu kaka yake...
Naomba nikiri kuwa mimi ni mtu mmoja wapo ambae nilikuwa mwoga sana kuwekwa ndani hata katika kutea haki. Lakini baada ya kisa hiki cha Lema nimegundua kuwa nipo utumwani hali nikiaminishwa kuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.