Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
aAnother one gone..sasa kabaki Mugabe nae ndo hivyo uzee unamkaba! kiongozi ambaye anaweza akasimama na akatetea Africa na watu wakamuelewa..waliobaki sasa ndio hao tukiletewa vyandarua tu watu...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
ASKARI wa FFU wamesalimu amri dhidi ya vijana wa kibarbaig wilaya ya Hanan'g mkoani Manyara na kuomba msaada wa askari wengine kutoka mjini Babati kufuatia maofisa waliopelekwa kupima ardhi...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Samahani wakuu, kwa wale ambao mko na access ya gazeti la Al-Noor litokalo kila Ijumaa naomba mtujuze kama limeandika chochote kufuatia kifo cha Muamar Gaddafi, na kama wameandika wameonyesha...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Jamani kwa kweli uvumilivu umetushinda huku mtaani...kwa wakazi tunaoishi Victoria , Uporoto street, imekuwa kero kubwa kutoka kwa waliopewa jukumu la kutengeneza barabara za manispaa ya kinondoni...
0 Reactions
1 Replies
36K Views
More than half of women are attracted to other women - and it gets more pronounced as they get older Most women are naturally bi-curious when it comes to sex, a new report has discovered...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Jamani kwa kweli uvumilivu umetushinda huku mtaani...kwa wakazi tunaoishi Victoria ,Uporoto street ,imekuwa kero kubwa kutoka kwa waliopewa jukumu la kutengeneza barabara za manispaa ya kinondoni...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kwakua mhimbili unv walikupa,udom walikugawia na nairobi walikupatia!ungefanya jambo la maana kama ungeikataa hii PhD MR MSOGA. Halafu wasomi wa udsm wangejaribu kuangalia nani wa kumpa shahada...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
naangalia kipindi cha malumbano ya hoja live kupitia itv, yaani haya majitu ya chuo cha kodi pumba tupu
0 Reactions
1 Replies
2K Views
WAUMINI wa dini ya Kiislamu mkoani Dodoma, wamewataka Watanzania kupuuza uvumi kuhusu mgogoro wa Libya, badala yake, wametaka kuungana na kumuombea kiongozi huyo adumu madarakani. Wito huo...
1 Reactions
135 Replies
11K Views
Salaam wenzangu , jamani naomba kujua hivi ile kesi ya matumiza mabaya ya madaraka iiliyokuwa ikimuhusu mhe Basil pesambili Mramba, DR Yona na yule katibu mkuu mstaafu wa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wanajamvi leo nimefuata ushauri wenu,nikapanda Hood kutoka Morogoro kwenda Arusha! Safari ilikuwa haina shida mpaka kufika kati ya Hedaru na Same!!Tukasikia mlio wa ajabu,hapa sidhani kama dereva...
1 Reactions
27 Replies
4K Views
Naamini maendeleo ya dhati ya Tanzania yataanzia pale katiba mpya itakapoanza kufanya kazi; naamini mfumo wa majimbo ukikubaliwa mambo kama; 1.Umiliki wa vyanzo mbalimbali vya mapato utabaki...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Katika hali ya kutokuwa ya kawaida! Tangu leo asubuhi kuna makundi makubwa ya kabila la Maasai na hususan vijana wa kiume ktk umri tofauti na wakiwa wengi sana kwani huku kwe2 Sakina wamepita kama...
0 Reactions
45 Replies
6K Views
Rais Jakaya Kikwete akimkabidhi Mkurugenzi wa Masoko wa Benki ya CRDB Tully Mwambapa picha ya Mwalimu Julius Nyerere iliyonunuliwa na Benki hiyo kwa kiasi cha Sh.milioni 35,wakati wa chakula...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Rais Mstaafu wa awamu ya Tatu na Mwenyekiti wa Kongamano, Benjamini Mkapa akichangia mada kwenye kongamano la kumuenzi Baba wa Taifa Mwl. Julius Nyerere lililofanyika jijini Dar es Salaam...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
WanaJF wenzangu naomba mnijuze nami nipate ufahamu, nataka nipate nakala ya WARAKA WA UTUMISHI WA UMMA latest version coz DHRO wetu anaubania na anatunyima haki zetu za msingi mfano kujiendeleza...
0 Reactions
0 Replies
5K Views
Mbunge wa Monduli, Edward Lowassa akizungumza na waandishi wa habari nyumbani kwake Monduli, Arusha, jana. Picha na Filbert Rweyemamu Peter Saramba na Moses Mashalla, Monduli WAZIRI Mkuu...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mamia ya wanafunzi na wananchi katika Barabara ya Uhuru wakiwa hawajui la kufanya baada ya magari ya daladala kugoma. Madereva wa dala dala na wapiga debe wakilizonga gari aina ya Hiace...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wakuu, ITV wapo live kwenye maadhimisho ya miaka 50 ya chuo kikuu cha dar es salaam, wageni mbali mbali naona wameshafika, na wengine wanaendelea kufika. Miongoni mwa waliofika ni, Rais Mstaafu wa...
0 Reactions
42 Replies
5K Views
Leo hii kumetokea ajali ya hiace eneo la njia panda Airport Arusha, chanzo cha ajali hiyo ni loli lililokuwa linaovertake kutaka kugongana uso kwa uso na hiace hiyo kisha dereva kulipeleka porini...
4 Reactions
14 Replies
4K Views
Back
Top Bottom