Rostam Aziz,kada wa chama cha mapinduzi (CCM)aliyejiuzulu nyadhifa zake zote katika CCM kwa madai ya kuchoshwa na siasa uchwara,anajua kucheza kama pele na kupanga mikakati kama Kanisa...
Wakuu hivi kirefu cha ccm kina maanisha nini kwa upande wa bara?kwani kwa upande wa Zanzibar kitakuwa kina maana kidogo kutokana na kweli yalifanyika Mapinduzi, je kwa upande wa bara walifanya...
Naona watanzania wamefurahi sana kuona hatua zinazochukuliwa katika kukabiliana na ajali barabarani, mimi pia ni mmoja wa watanzania lakini nina uwalakini na namba hizo.
Hofu yangu ni kuwa tuwije...
nipo hapa ngurdoto tangu jana jioni kwa mishemishe zangu. nimeshangazwa sana jinsi huduma zilivyoporomoka. lakini lililoniacha hoi zaidi ni aibu alopata ngeleja na naibu wake malima. nimewaona...
Hello pipo,
leo nimepigiwa simu toka number hii +25515600 kwenye simu yangu ya voda afu ni sauti iliyorekodiwa kwenye mashine ikiwa inaongea upesi upesi(sikumbuki) ila mwisho wakasema kukubali...
Ccm ni sawa na gari lililochakaa kwa safari ya muda mrefu (miaka 50). Hata wana ccm wenyewe wamechoka sana. Mfano mabalozi wamechoka, hawajiwezi tena kwa lolote hoja au ushawishi hivyo nawashauri...
Wanaofanya ujenzi wa barabara kipande cha banana-g/lamboto hawawezi kujenga usiku?au ndo wanaka waonekane kuwa wanafanya kazi?nadhani usiku ni muda muafaka kwa shughuli hiyo.
hapa ninapoandia habari hii machozi na kamasi nyembamba zinatiririka kutokana na mabomu ya machozi. ni majira ya saa kama kumi na mbili hivi wakati narejea kutoka mizungukoni nakuta watu wengi...
WanaJF wenzangu naomba mnijuze nami nipate ufahamu, nataka nipate nakala ya WARAKA WA UTUMISHI WA UMMA latest version coz DHRO wetu anaubania na anatunyima haki zetu za msingi mfano kujiendeleza...
Jerry aliwekwa chini ya ulinzi wa polisi na kuhojiwa kwa masaa matano.Inasemekana alikuwa anatokea Dar kuelekea Mbeya na bus la Sumry leo saa tano na alipofika check point ya Iringa alishuka...
Kuna mengi ya kuchukiza huwa yanajitokeza na kuripotiwa hapa JF
na wazalendo mbalimbali. Hivi hatuwezi kuzigeuza nafsi zetu tukawa
wapigania uhuru wa kweli badala ya kuishi kama vivuli zaidi...
Ni tarehe 17 Oct walikuja maafisa wawili wa kike pale bajaji(oppna sigara)wakakuta wahindi wanafanya kazi huku wakiwa hawana permit na passports.Kwa kuwa ni shamba lao waliondoka na mmoja wao...
Wakuu huyo mpambanaji ananifurahisha na kunitia moyo sana!kila siku anakuja na kitu kipya na kinafanyiwa kazi vilivyo,vipi tukiwa na Rais kama huyu hapa kwetu!
President Michael Sata has...
Jamani hebu fuatilieni hizi fm redio zilojaa ka utitili. Vipindi vyao sivielewielewi kwanza vinafanana sana wanabadili tu majina afu mada zao nyingi ni porojo. Sikatai sometimes porojo ni...
ANATAKIWA ACHAFUE KITI
TUBU BABA
TUELEZE KUHUSU RICHMOND
KWA NINI ULIACHA UWAZIRI MKUU
WALIOSHIRIKI RICHMOND
Wabaya wako wanakuchafua,njoo kwa wananchi watakusikiliza,
Waathirika wa mabomu Gongo la mboto wamesusia hundi za malipo yao ya uharibifu wa vyombo,mama mmoja akiojiwa amesema hawezi kupokea hundi ya malipo ya elfu moja(1000/=)...
Kwa nini licha ya utafiti kuonyesha kuwa uvutaji sigara una madhara mengi, lakini bado serikali nyingi zingali zina viwanda vya kutengeneza sigara. Kwa nini serikali haziwi mstari wa mbele kupiga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.