Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Habari za asubuhi wadau Asubuhi ya leo nimepigiwa simu na rafiki akaniambia jambo la kushangaza sana. Katika baadhi ya maeneo ndani ya jiji la Dar, kila wakati umeme unapokatika utasikia makelele...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Jamani kwa kweli uvumlivu umetushinda huku mtaani...kwa wakazi tunaoishi Victoria ,Uporoto street ,imekuwa kero kubwa kutoka kwa waliopewa jukumu la kutengeneza barabara za manispaa ya kinondoni...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nimewahi kusikia kuwa Mtwara mpaka Nachingwea kulikua na railway kabla ya uhuru wa tananyika. nilipojaribu kufuatulia nikapata habari kuwa ni kweli railway ilikuwepo lakini mara baada ya uhuru...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habel Chidawali,Dodoma POLISI mkoani Dodoma wanawashikilia viongozi 11 wa Chama Cha Demokrasia na Maendelo (Chadema) kwa tuhuma za kukiuka amri ya polisi iliyozuia kufanyika kwa mkutano wa...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Sina hakika kama ni sheria au mazoea kwa askari wetu,jeshi,polisi,magereza,zima moto na uhamiaji huwa hawalipi nauli hasa kwenye dala dala wanapoenda /kurudi kazini au kwenye shughuli zao zingine...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Ndugu wana JF,nimefurahishwa sana na kauli ya Mh.E.Lowasa juu ya vyombo vyetu vya habari hapa Tanzania kuhusu kutumia mda mwingi ktk kuzungumzia mambo yasiyo na msingi na kuacha mambo ya msingi...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Naombeni msaada wa vitabu hivi nitavipata wapi kwa sasa mana nimehangaika bila mafanikio 1.UHAINI 2.UCHU 3.KIKOSI CHA KISASI 4.KUFA NA KUPONA 5.MIKONONI MWA MAUTI 6.HOFU 7.HUJUMA 8.KIKOMO...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye amesikika akisema kwamba kuna watu wanataka kutoa roho/kumuua. Kimsingi mtu mzima hawezi kutoa malalamiko hayo hadharani kama hakuna dalili au...
0 Reactions
39 Replies
3K Views
Kama sinema vile,jana muda wa saa kumi kasoro hivi mitaa ya Samora karibu na PPF House kibaka/mwizi alikuwa anafanya vitu vyake ghafla akakurupushwa na askari polisi mwenye sare na reflective...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Ni takribani siku nane hivi maeneo ya lufungira/mlalakuwa hatuna umeme...tumejalibu kufuatilia kwa nini hawashughurikia wanasema eti transformer imehalibika....wanachofanya wanapita kwenye...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Juzi asubuhi hapa Bongo Dar es Salaam nimeongozana na gari ambayo 'wing mirrors/ side mirrors' zake zote mbili zimefungwa. Sasa swali ni je inawezekana vipi kuendesha gari vizuri na kwa usalama...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wadau tusaidiane Toka jana mtandao wa Gazeti la Raia Mwema unagoma. Je mwenye taarifa yoyote kuhusu jambo hili? Forbidden You don't have permission to access...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Leo waandishi wa Hahari walikaa chonjo kwa kumsubilia Msemakweli kwa DPP kuleta Ushahid lakini cha ajabu jamaa kaenda mitini. Sijui jamaa kaishia wapi vipi alikuwa anatishia nyaU?
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Jambo jema la mabasi ya Dar Express kuanza kupiga route za Mwanza - Moshi limenipa faraja kubwa sana hasa kwa ndugu zetu waishio mikoa hiyo.
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Nearly 800 dogs were rescued by a Chinese animal protection group last Saturday night in the city of Zigong, in southwest Sichuan province. A veterinarian carries a dog to be sterilized in a...
0 Reactions
0 Replies
683 Views
habari wana jf. nikiwa home nimeketi kwa umakini mkubwa nikisikiliza taarifa ya habari kutoka tbc1 nikasikia habari ya chanjo mpya ya maleria ambayo kwa maelezo ya watafiti wanasema inaweza...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Anasema moja ya sifa ya mwanasiasa ni uvumilivu, -kama una nafasi tune to magic fm
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Majira ya saa sita kasoro usiku maeneo ya hapa k'ndon mkwajun umeme ulikatika,m2 wa mwananyamala akanambia kwake pia umekatika,pia kuna m2 huko moro kasema umekatika,je hapo ulipo wewe umeme upo...
0 Reactions
75 Replies
5K Views
Miaka ya hivi karibuni Magari ya serikali yemezidi kuwa ya kifahari sana,na Gharama za kuyatunza ni JUU mno. Mengi ya hayo magari yapo JIJINI Dar-es-salaam.yanatumia mafuta mengi katika foleni za...
0 Reactions
22 Replies
22K Views
Tunasoma Mwanzo 6:13 hivi, Mungu akamwambia Nuhu, Mwisho wa kila kiumbe umefika mbele zangu; kwa sababu wameijaza dunia maovu, basi nitawaangamiza pamoja na dunia.
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Back
Top Bottom