Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Yeah - - Ni familia ya ya watu sita - Nyumba ina geti la chuma na milango yote ya nje na madirisha yamewekewa nondo - Nyumba ina uzio wa Umeme (Electric Fence) - Nyumba ina CCTV camera 15 -...
1 Reactions
8 Replies
3K Views
Mu khali gani wana jamvi? Huku kwetu rombo hali si shwari kwani sukari imezidi kupaa bei toka 2400 hadi 3000, hali hii inatokana na police wa himo kuzuia magari yote yanayotoka moshi yaliyobeba...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
WanaJF! Kwa kweli nimesikitishwa na habari ya Radio one kusema mtangazaji maarufu wa Zanzibar atazikwa leo asubuhi. Kwa kweli kifo ni hatari kwani huyu jamaa namkubaligi sana hasa kwenye michezo...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Kwa mara ya kwanza namsikia zembwela ameacha kuongea upupu na kuongea mambo ya maana leo hii alikuwa anahhojiana na mtu mmoja kuhusu wakuu wa wilaya na mkoa ambao awafanyi kazi zao na kuambiwa...
2 Reactions
4 Replies
2K Views
"CDM Lend your voice to voiceless poor, to break the fetters of demon poverty. See the poor people's smiles in prosperity. Time has come for the down that will swallow up the darknes of poverty...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
LUBUMBASHI, DR Congo WASHAMBULIAJI wawili wa Tanzania, Mbwana Samata na Thomas Ulimwengu wamefanikiwa kutwaa taji lao la kwanza la Ligi Kuu ya DR Congo baada ya timu ya TP Mazembe kuichapa DC...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Dr Kikwete na Yoheri K. Mseveni watakuwa wageni rasmi katika kuazimisha miaka 50 ya chuo kikuu cha Udsm Ukumbi utakuwa Nkurumah wanaJf wanasema kuwa Jakaya anawaogopa wanaudsm sasa tarehe...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Leo ni leo Pale Ukumbi wa Mlimani City RAIS wa Tanzania Mh Jkaya Mrisho Kikwete atalakiwa na Wasomi wa Chuo Kikuu cha dar es salaam katika kuchangia ujenzi ya Student center WanaJF...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
TATIZO la vifo vya akinamama wakati wa uzazi limezidi kuwa kubwa nchini ambapo sasa kati ya 100,000, wanawake 454 hufa kila siku sawa na wanawake 7,700 kila mwaka. Hayo yamebainishwa katika...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
WATU watano wakiwemo baba mzazi na mama wa kambo wa kijana mlemavu wa ngozi, Adam Robert, wamekamatwa na Polisi wilayani Geita Mkoa wa Mwanza, kwa tuhuma za kumjeruhi kwa kumkata mapanga na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hivi huyu Nape Nnauye ni nani?
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Mungu awatie nguvu
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Nilifahamiana na huyu kijana mwaka 2004, tulipokutana pale kituo cha utamaduni cha Russia, akawa ni rafiki yangu wa karibu sana. Tulikuwa na mazoea ya kutembeleana mara kwa mara na hata pale kwao...
11 Reactions
77 Replies
12K Views
Hivi msichana au mwanamke ambaye hajaolewa hujisikiaje akikata mwezi bila kukutana na mwanamme wa kumwambia "nakupenda!" ?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Tupo hapa mlimani city conference centre, kuna fund raising dinner ya udsm. si mtaalamu wa uchumi lakini naona gharama ni kubwa kuliko matarajio. kiingilio kilikuwa laki mbili, ila naona nafasi za...
0 Reactions
17 Replies
1K Views
KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (NEC) Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye, katika hali ya kushangaza amedai hawajui Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
UMATI mkubwa wa wananchi wanaojitokeza kusikiliza kesi ya kupinga matokeo ya Uchaguzi Mkuu inayomkabili Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema, umemfanya Jaji Aloyce Mujulisi kuamuru isikilizwe...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
This is a true story of Mother’ s Sacrifice during the Japan Earthquake. After the Earthquake had subsided, when the rescuers reached the ruins of a young woman’s house, they saw her dead body...
0 Reactions
3 Replies
970 Views
Habari za kusikitisha leo tar 17Oct 2011 wachina katka vipepelush vyao walivyobandika ktk maduka yao yote kariakoo na kwingineko wanasema "leo tar hatutafumgua maduka kuomboleza kifo cha mchina...
1 Reactions
155 Replies
13K Views
Mfanyabiashara mkubwa Reginald Mengi ameshusha tuhuma nzito kuwa Serikali ya Tz imerejeshewa fedha ilizoibiwa kwa njia ya rushwa miaka miwili iliyopita na mfanyabiashara ambaye hakuona hata haya...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom