Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Hii ni principle maalumu kwa watumiaji wa daladala! Najuwa wapo watakaoibeza; lakini wapanda daladala wenzangu, don' undermind this principle! Don' do it just because umeona kuna member kafanya...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Jana katika ku surch tv yangu nikamkuta huyu rais a.k.a waziri wa mambo ya nje akiwa huko washngton anatoa propaganda zake aliniuzi vibaya watu wamechoka na masha yeye ndiyo k.guu na njia lakini...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nimesikia nimesoma na kutazama vyombo mbali mbali vya hapa inchini na vya inje ya nchi, kuhusu kashfa ya magendo ya uuzaji wa sukari inje ya nchi ikanikatisha tamaa ya kuitwa mtanzania. Nimegundua...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nikiwa nafatilia hati hapa manispaa ya ilala ghafla polisi wakiwa na magari na pikipiki wanafika nakuondoa wafanyakazi na waliomo kwa taarifa za kiinteligensia kuna mtu anataka kujilipua na mabomu
0 Reactions
67 Replies
6K Views
Hii picha inadaiwa kuchukuliwa tarehe 16 Septemba 2011 ndani ya basi la Aboud lililokuwa likitokea Morogoro kwenda dar ambapo tiketi zilikuwa zinagawiwa kama njugu bila kujali manifest ya abiria...
0 Reactions
19 Replies
5K Views
Leo nimekaa chini na kufikiri kwa makini nikajaribu kukumbuka na pale ofisini wanavyopambana na facebook kuzuia wafanyakazi ku concentrate na ma fb wakati wa kazi,ofcoz wengi hawana mwamko na...
0 Reactions
40 Replies
4K Views
SERIKALI imeamua kuwa kuanzia sasa walimu nchini, kama ilivyo kwa madaktari, wataajiriwa na kupangiwa moja kwa moja vituo vya kazi bila kufanya usaili ama kucheleweshwa na michakato na taratibu...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Hatimaye serikali imetoa rukhsa kwa watu binafsi kuanzisha makampuni ya uzalishaji umeme na kuiuzia serikali.Tamko hili limetolewa na waziri wa nishati na madini,william ngeleja akidai kwamba yote...
0 Reactions
5 Replies
962 Views
Nadiriki kusema hali ni mbaya sana kwa Taifa letu huko tunakoelekea ni wapi? Watu sasa hivi hawawaogopi tena viongozi wao wanafikia hatua ya kujaribu hata kumpiga mkuu wa wilaya? Uko wapi utu...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Ni jambo la kushangaza kuona taasisi nyeti nchini kama vile ikulu inaposhindwa hata kutambua ni nani waziri wake wa afya. Ukiangalia hii link hapa Ikulu Mawasiliano: Rais Kikwete apata tuzo...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Katibu wa Taifa wa Uchumi na Fedha wa CCM, Mwigulu Nchemba, akihutubia wananchi wa kijiji cha Simbo jimboni Igunga katika mkutano wa kampeni uliofanyika Mgombea ubunge jimbo la Igunga...
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Kwa mtazamo wangu, chama cha magamba mpaka sasa kamebakiwa na wanachama wa aina 3 tu! nao ni hawa wafuatao! 1. wasiojua kusoma wala kuandika. kundi hili kwa bahati mbaya ni kubwa mno na ndilo...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
If you can walk...walk, if you can run....run, if you can fly...fly and if you can't do all that claw. we have to move foward very quickly, we behind 50 years.
0 Reactions
0 Replies
945 Views
Kumbe mapinduzi yanayofanywa kwa serikali hayakuanza leo. Historia inaonesha kwamba, mapinduzi ya awali kabisa yalitokea miaka 2800 kabla ya kuzaliwa kwa Yesu. Wananchi kutoka mji wa Lagash...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
nimepita kwenye web ya Djchoka Bongostarlink.com nikasikia hizo nyimbo za maombolezo ya msiba wa ndugu zetu wa zenj, nimeona tushare kwa wale watakaopenda. kama si mahali pake sorry.
0 Reactions
3 Replies
12K Views
Na Shakoor Jongo MBUNGE wa Jimbo la Mvomero mkoani Marogoro kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi ‘CCM', Mhe. Amos Gabriel Makala (pichani) juzikati alifanya kufuru baada ya kugawa fedha kama...
0 Reactions
34 Replies
4K Views
Kwa wale msioifahamu Sikonge ni moja ya wilaya ya mkoa wa Tabora iliyopo barabara ya kuelekea mikoa ya Mbeya na Rukwa,jimbo hili la uchaguzi liko chini ya mbunge wa magamba Said Nkumba na...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Nimepitia gazeti la TAZAMA Tanzania la leo sept 20.. Kwenye ukurasa wa mbele nimekuta wameandika hivo.. Nanukuu paragraph hii.. "Habari zilizopatikana kutoka maeneo mbalimbali zinasema kuwa...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Ofisi ya mkuu wa mkoa tabora imesambaza waraka ukiwaelekeza wafanyakazi wote mkoani hapa kushiriki katika maandamano ya kuadhimisha miaka 50 ya uhuru wa tanganyika. Waraka huu unasambazwa na...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Back
Top Bottom