Tukiwa bado na majonzi ya ndugu zetu waliopoteza maisha huko Nungwi - Zanzibar kwa kuzama kwa meli. Kiasi kikubwa ukiwa ni uzembe wa serikali. Nimepita kwenye Mto Kilombero hali ni mbaya sana...
Nimesoma kwa makini hoja za bwana Mallya mwenye kujinasibu kuwa yeye ni kada wa ccm na sio chadema kama navyonasibishwa. Ukisoma maelezo yake na ukibahatika kutembelea facebook page yake utagundua...
Kampuni ya usafirishaji ya Sumry imeifanyia Sumatra Mchezo wa kuigiza nakufanikiwa baada ya kusajiri magari manne ya injini nyuma kwa jina la Kampuni nyingine ya MBEYA express ambayo hufanya...
Katika historia ya dunia nimesikia kwa mara ya kwanza kwamba mtu alitaka kubakwa hadharani mbele ya watendaji Wa kata makatibi kata mabalozi Wa nyumba kumi, katika hili je ni kweli au DC...
Majuzi tu tumeshuhudia mamia ya watu kupoteza maisha yao kule Zanzibar na Kenya. Mungu awarehemu waliofariki na awafariji sana wafiwa. Poleni sana
Wiki chache zilizopita tulishuhudia dhoruba kubwa...
kinondoni barabara kuu zamani bagamoyo kuna aparments maarufu hapa jijini,kuna mzungu anaishi kwenye zile aparments mzungu huyu anatuharibia vijana kwa offer za vitubia hufanya ukarimu mkubwa( bia...
Ivi assume marehemu walikua wanakiasi kikubwa cha pesa kwenye simu zao, zitapatikanaje ili wafiwa wapewe.
NB: Jina langu haliusiani na maswala ya pesa tafadhali.
Habari Wakuu!
Ni hivi karibuni serekali yetu imekiri kwamba wazamiaji wa kukodi kutoka Afrika Kusini wameshindwa kuifikia Meli iliyozama baharini na kusababisha vifo vya ndg zetu huko Zanzibar...
Katika pilika pilika zangu hapa nchini zambia nimepishana na mtu kama mnyika. Naomba wenye taarifa nae kama ni yeye kweli yupo hapa watupe contact zake ili tuwe na masiliano nae. Ni mbunge wangu...
Ilianza Mv. Mbeya, tukaziba masikio. Ikaja Mv. Bukoba tukafumba macho. Sasa limetukuta la Spice Islander. Tunatafuta mchawi, tumeacha kuziba ufa ili majanga yasitokee tena. Kuna baadhi ya watu...
Tanzania tunaweza, kwani km kuna web-directory iitwayo tanzaniakwetu.com ,Website za tz zinapatikana hapo.
Pia kuna iitwayo jigambeads.com hii ni kwa ajili ya kutangaza matangazo. Tz tunaelekea...
Kuna thread nikifungua napata jibu:
bijou, you do not have permission to access this page. This could be:-
1. Your user account may not have sufficient privileges to access this page. Are you...
Mlevi ni mtu wa ajabu sana! Ana uwezo wa kuona,kusikia na kuzungumza. Ulevi upo katika namna nyingi na madhara makubwa ya ulevi ni kupoteza kumbukumbu kwa urhisi.Ni afadhari ulevi wa pombe kuliko...
Vilio vyatanda kwenye wodi ya wazazi kutoka kwa watoto wachanga na maneno ya kashfa kwenye wodi nyingine zenye watu wazima hapa hospitalini kwa viongozi na serikali ya Kikwete baada ya nishati ya...
JAMANI TANGU NIANZE KUONA NA KUSIKIA WAIMBAJI WA NYIMBO ZA INJILI, HUYU JAMAA MWISHO WA MAMBO, KWANZA NILISHUDIA UZINDUZI WA ALBUM YAKE DIOMOND JUBILEE MPAKA SAA TISA UKUMBI ULIKUWA UMEJAA KABISA...
Uhamisho wa watendaji ngazi za juu kwenye Serikali za mitaa nchini ama halmashauri za wilaya umeanza kwa wahusika kupewa barua zao tangu alhamisi wiki jana.
Tayari watu wameanza kuumwa na wengine...
Ndugu wana JF
Naomba mnipe ushauri make nisije nikaingia choo cha kike.
Nimebahatika kupata shule marekani nasoma masomo ya level ya masters na nategemea kumaliza mwakani inshallah Mungu...
Nimepigiwa simu muda si mrefu kuwa wiki moja baada ya ajali ya meli ya Mv Spice maeneo ya Nungwi Zanzibar vifaa vingi kutoka katika ajali hiyo vimewasili katika fukwe za ukanda wa Tanga.Baadhi ya...
Hivi nini maana ya kuwepo na 24Hrs service kwenye hospital na wakati mida ya usiku kuna kuwa na poor customer care level,
Nilienda juzi mida ya saa tano usiku nilimpeleka mgonjwa hospitali ya...
http://www.youtube.com/watch?v=HmT8EZJ6hOk&feature=related
http://www.youtube.com/watch?v=516yws-7pTc&feature=related
http://www.youtube.com/watch?v=VB5hqoGNwPk&feature=related]Vita vya Kagera...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.