Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Wapendwa wanajf. Habari za mda huu. Nnaomba kwa yeyote anaefahamu anijuze. Mimi natarajia kujiunga na chuo mwaka huu na nmepata mkopo kutoka bodi ya mkopo, kinachonisumbua ni hiki. (1)hizo fedha...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Dungu wanaJF, Nimekuwa nikiwaza jinsi haya mataifa makubwa ya ulaya na Marekani yanavyoendesha siasa zake katika dunia hii. Mataifa haya yanatumia njia mbalimbali ili kuweza kujipatia rasimali na...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Sat Sep 17, 2011 10:14am GMT * Company to add extra 250 MW to grid * Tanzania experiencing blackouts By Fumbuka Ng'wanakilala DAR ES SALAAM, Sept 17 (Reuters) - U.S. firm Symbion Power...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Wanajanvi wenzangu naomba kuuliza swali! Hivi tokea utawala wa raisi wa kwanza baba wa taifa Julius Nyerere halafu akafuatia mzee Ali Hassani Mwinyi awamu ya pili na baada ya hapo awamu ya tatu...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Leo nimeshtushwa na kauli ya wazir mkuu kuwa bei ya umeme lazima iongezeke. Nkafanya simple analysis kuwa, nishati (mafuta + umeme) juu + bei ya bidhaa na huduma juu = gharama kubwa za maisha...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Kwa tarifa ni kwamba wamechukua madini wameleta neti wanasema za bure we unadhani kuna kitu cha bure
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ukatili ni ukatili lakini mwingine umepitioliza. Waarabu wenye asili ya Afrika wananyanyasika sana Uarabuni na wanaitwa Aswad, afadhali nchi za magharibi sasa zina heshimu utu wa mtu mweusi
0 Reactions
18 Replies
4K Views
Wananchi wamekosa huduma ya umeme wa uhakika, bila aibu Mh. Pinda anatangaza ongezeko la kupanda kwa bei. Jamani kama sio wizi ni nini? Mtu uongezewe bei ya huduma ambayo huipati. Kweli dunia...
2 Reactions
21 Replies
3K Views
Hili jeshi letu la polisi limepoteza maadili kabisa kwa sababu limesalimisha weledi na mamlaka yake kwa wanasiasa wa CCM. na mara nyingi linapofanya hivyo linajikuta linaaibika. Mfano ni issue ya...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Rafiki yangu katoka Switzerland jana na nimemsimulia yaliyojiri hapa kwetu. Baada ya masikitiko akanieleza kuwa huko Switzerland walishangaa vitu vifuatavyo: crew katika luninga walionekana...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Kajitathmini kagundua kuwa amejaa uovu na dhambi (ufisadi), kikaamua kuokoka (kujivua gamba). Katika mfano huu nichukulie gamba lililofanikiwa kutoka kama ulevi wa kileo cha valuu (Rostam). Cha...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Gazeti la jana la Mwananchi la jana, liliripoti kuwa wiki ijayo kutakuwa na maandamano makubwa kukamilisha mpango wa kumuondoa Rais Mutharika madarakani kwa nguvu ya umma. Nafurahia hatua hii kwa...
0 Reactions
28 Replies
2K Views
Wana JF, Naombeni mtupe kiapo cha DC/RC anacho toa pale Viwanja vya IKULU na baadae anaenda kutumikia wananchi Kwa mtu yeyeyote ambe anajua atumwagie hapa tafadhalini
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Ni muda wa miaka 16 watanzania tumeanza kudidimia kiukweli, mwanzo hatukuona ila madhara yameanza kuonekana kwa kipindi cha miaka sita iliyopita! kuna wakati najiuliza hivi sisi tulimkosea mungu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Vikosi vya wazamiaji vilivyokuwa vikitafuta miili ya watu walionasa kwenye meli ya Mv Spice Islander wameondoka baada ya zoezi la kupata miili zaidi kushindikana. Hata hivyo wamesema watajadiliana...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Mimi ni mwenyeji wa kule maafa ya mv Bukoba yalipotoke na ni mpandaji wa vyombo vya usafiri ktk ziwa hili jema tulilojaliwa na Muumba. Nasikitishwa na hali ya usalama wa vyombo vyetu hivi...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
ILE PICHA INAYOONESHA KUWA NI PICHA YA MELI ILIYOZAMA KULE UNGUJA KUMBE NI UWONGO.ILE NI PICHA YA MELI ILIYOZAMA HUKO UFILIPINO TAR 31/07/2011.KWA TAARIFA ZAIDI FUNGUA HII LINK HAPA CHINI...
3 Reactions
51 Replies
9K Views
Nimekuwa najiuliza walikopotelea wale wanaharakati wa kupinga serikali kurejeshewa malipo ya chenji ya Rada. Wanaharakati hawa na mafisadi wa uhuru na heshima ya nchi yetu kupanga matumizi ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nhelea kusema kuwa nchi hii ni ya bahati mbaya, maombolezo na rambi rambi kwa maana ndiyo slaha ya viongozi wetu wazembe wanaposababisha mamia na mamia ya wadanganyika kupoteza maisha.Nashukuru...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
:frown:Jamani leo saa 8.55 nimesikia tangazo kwenye radio ya TBC likisema kuenea kwa mobile phones ni moja ya mafanikio ya serkali ya ccm ktk miaka 50 ya uhuru!! Je hii ni kweli??? Naomba...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom