Wadau nimesikia Tanesco wako mipangoni kuongeza bei ya umeme. Kinachonisikitisha sio bei tu bali hata ratiba ya ukataji umeme haieleweki.Pili hi serikali imekua kama shule ya chekeckea mheshimiwa...
Huwa siiachi kamera yangu popote ninapo kwenda.
Ni ajabu na kweli lakini mama mmoja wa kihaya huko Mbezi Jogoo ameamua kuhodhi njia mto kwa madai kuwa ni eneo lake na aliuziwa.
Ni vigumu kuelewa...
Wadau wa JF niko bandarini Zanzibar. Kuna abiria wengi sana wanaotaka kwenda Pemba. Kama kawaida chombo ni kimoja tu na chenyewe ni kichakavu. Hivi ni kweli Serikali imeshindwa kubuni njia za...
Wanajamii naomba ufafanuzi. Hivi kwa nini warsha za siku hizi wanatakiwa wakuu wa mikoa au wilaya kuzifungua au kuzifunga na wakifanya hivyo wanapewa bahasha za honoraria zenye viwango tofauti...
Huku Matukio ya matumizi ya ovyo ovyo ya silaha yakishamiri hapa nchini,Mume ajulikanaye kwa jina la Anthony amemuua Mke wake Sauda kwa kutumia Bunduki ya Shotgun kwa kile kinachodaiwa kuwa ni...
SERIKALI imesema walimu nchini wangekuwa wanatumia nguvu kubwa wanayotumia hivi sasa kudai posho na malimbikizo yao, wangeitumia madarasani matokeo mabaya yangekuwa ni historia.
Waziri wa Elimu...
Miaka 50 ya uhuru inanionesha mengi sana chini ya jua! ndani ya nchi yenye asali na maziwa vilivyogeuzwa kuwa shubiri kwa watanzania walio wengi, Unapokuwa unafanya jambo fanya ukiangalia na...
Tangia nimekuja hapa Nchini nimepata ndege za Precision mara kadhaa sasa .Lakini kama kawaida ndege hizi zinatisha na bado zinaruka .Najiuliza maswali mengi lakini nisema kuna tume itaundwa baada...
Ubungo kati ya sehemu zenye mzunguko mkubwa masaa yote, nashangaa sana kuona mambo ya ajabu na nina uhakika viongozi waandamizi wa nchi wameishaona kinachoendela na madhara yake siku za usoni...
Gazeti hili la TANZANIA DAIMA linalomilikiwa na mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Aikael Mbowe siku hizi limepoteza mvuto kwa wateja limekuwa kama gazeti la UHURU la chama cha mapinduzi kwa kugeuka...
Jaman taarifa zisizo rasmi zinasema soko la bidhaa za mlaji la Uyole mkoani MBEYA linateketea hivi sasa kwa moto.
Tunaomba mliopo huko mtujuze zaidi.
Pia soma: Soko la Kariakoo lateketea kwa moto
Jackson Odoyo, Zanzibar
KESI ya ajali ya meli ya MV Spice Islanders iliyofunguliwa dhidi ya manahodha wa meli hiyo na mmiliki wake, imesitishwa.Kesi hiyo ambayo jana ilitajwa kwa mara ya pili...
Dunia ya leo watu hawapendi kulazimishwa mambo na saa zingine haya mambo ya kulazimishana kuishi Tanzania huku mnajua fika serikali yetu haina interest za wananchi wa kawaida unless unatoka from...
ndugu wana Jf!naomba msaada wa njia ya kuweza kupata kifurushi ambacho rafiki yangu kaniagizia toka UK,kupita workmate mwenzake ambaye ni mtu wa Uganda alikuja UG kwa dharula ndo akampa huyo...
Katika pitapita yangu, jana nilibahatika kumuona mheshimiwa maghembe akizungumzia suala la sukari, akapiga mkwara kweli sukari isiuzwe nje ya mipaka ya nchi na akatoa namba yake ya simu with...
Nipo kituo kimoja cha kujaza mafuta hapa mitaa ya Kirumba jijini Mwanza namuona kamanda Wenje na mwenzie Highness wakiijaza mafuta kwenye gari lao. Nimewadadisi wakaniambia kuwa kazi ndio inaanza...
Umaskini unapimwa hivi (kipimo changu):
Upatikanaji wa maji safi na salama kutotosheleza mahitaji,
Uharibifu wa mazingira unaotokana na ukataji miti kwa ajili ya nishati,
Kuongezeka kwa idadi ya...
Watanzania bado tupo kwenye majonzi ya ajali iliyoikuta MV. Spice Islander. Hakuna ukweli usiokificho ajali hii ingeweza kuepukwa kama watu walio kwenye mamlaka husika wangetekeleza majukumu ya...
Kwa wale wenzangu na mimi mnaokaa kwenye sehemu za maisha ya watu wa kati(middle class) bila shaka mgawo wa umeme ni kitu cha kawaida.Lakini la kushangaza ni mustakhabali wa maisha ya watoto wetu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.