Nakumbuka kwa mara ya mwisho nlinunua sukari mwez june ikiwa ni tsh. 1800/= na baadh wakiuza kwa tsh. 1700/- lakini hv juz nimepigwa na butwaa baada ya kukuta bei imepanda hadi 2300/2400 tshs...
Hivi karibuni nilipata malazi yaliyonifanya nimtafute daktari mtaalamu pale Agha Khan Hospital. Nilichoshangazwa nacho ni utaratibu mpya nilioukuta pale. Baada ya kupokelewa nilitia sahihi ktk...
Baada ya kubeba mimba kwa miezi 11, hatimae jana, mwanamke huyo mkazi wa mkoani Mara amejifungua jiwe. Anasema tumbo lilikuwa likimuuma sana na alifurahi kupata uchungu akitegemea kupata mtoto...
Habari zenu GT.
Nmetumiwa sasa hivi taarifa na ndugu yangu amempata mchumba kupitia hii mitandao kua amesoma profile yake na amegundua ni mtu makini. Sasa kilichotokea huyo mchumba ni wakike...
Ninauza shamba lenye ukubwa wa ekari moja, lipo umbali wa kilometa 25 kutoka ferry. Eneo linaitwa mbutu Mkwajuni.
Bei Tshs. 4000,000 ( Milioni nne). Mmiliki ni mimi mwenyewe, piga namba 0658 517...
Gavana ataka benki zikopeshe wanafunzi
Send to a friend
Saturday, 03 September 2011 20:46
0digg
Fredy Azzah
GAVANA wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT) Profesa Benno...
Hatimaye serikali imeamua kumtimua mfanyabiashara anayejihusisha na biashara ya binadamu hapa nchini, mfanyabiashara huyo ambaye ni raia wa Pakistan anajulikana kwa jina la Altaf Hussein na pia ni...
Tumekuwa bize na kulipigania taifa hili dhidi ya wakwasi lakini leo nahitaji kupumzika!
Nitakuwa pembezoni mwa fukwe za jiji la Dar es Salaam ni kila bata
Natoa nafasi kwa wanawake tu kujumuika...
NEWS
[We are] resolved to expedite the process of integration so that the ultimate goal of a Political Federation is achieved through a fast track mechanism" EAC Summit, Kampala 2002
By CHARLES...
nimekuwa mara kwa ma ra naona ushirikiano wa hawa jamaa wanaoendesha bodaboda pamoja na bajaji na nimekuwa najiuliza serikali na polisi wako wapi?hawalioni hili! wamejijenga na kuwa na umoja ambao...
Early registration for ACM 2011 starts on Sunday 04th Sept at around 1400hrs at Mlimani City Conference Centre.The meeting to start at 0730hrs on 5th Sept 2011
Mimi sio mshabiki wa siasa asilani, na sijawahi kuwa na muumini mkubwa wa dini (sayansi iliniathiri toka niko mdogo), lakini Ma- great Thinkers mmenisikitisha kwa jinsi mnavyoshabikia hotuba ya...
Habari zenu wakuu.
Jiji la Tanga sasa linahitaji traffic lights ili kuepusha ajali katika barabara nyingi muhimu.
mfano kwenye mkutano wa barabara ya kwenda tanfamano na mkwakwani,hostel ya...
Tarehe 1/4/2011 ofisa wa TRA Mbeya aitwaye Kasimba alikamata gari ya hakimu Nyasige likiwa na mwanamke aliyepewa rifti na hakimu huyo akiwa na vipodozi vya tshs 148,000/= hakimu huyo alikuwa na...
NIMESOMA BLOG MOJA HAWA WATU WANAJIITA SAIDIA SOMALIA NIMEBAHATIKA KUFANYA KAZI ZANGU NYINGI VIJIJINI WAPENDWA
LABDA NISIENDE MBALI KUNA VIJIJI VIKO PEMBEN YA BAGAMOYO NA VINGINE NDANI YA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.