Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Zaidi ya watoto mia mbili ambao wametimiza umri wa kuanza darasa la kwanza wanaoishi kisiwa cha Mvuna,ziwa Tanganyika wilaya ya Nkasi hawasomi,kwa sababu kisiwa hicho hakina shule tangu mwaka...
1 Reactions
18 Replies
1K Views
Julius Kambarage Nyerere (JKN) Jakaya Mrisho Kikwete (JMK) Kwangu mimi niliyezaliwa na kukulia wakati wa Mwl Nyerere inanipa tabu si haba! Wakati huo tukiimba JK! JK! JK! Na herufi zinapatana...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Airtel Kenya appoints Shivan Bhargava as new boss after Rene Meza moves to head Vodacom Tanzania
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Hili gazeti letu kwa muda mrefu sasa nimekuwa silipati kwenye mtandao kwa www.freemedia.co.tz/daima au www.freemedia.co.tz, mwenye ambaye huwa analipata anijulishe
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wakuu leo nilikuwa katika basi fulani la kutoka mkoani na tulipofika sehemu ya kujipatia chochote kabla yakuendelea na safari, baada ya hapo alipanda mhubiri mmoja aliyejitambulisha katokea Kenya...
1 Reactions
26 Replies
4K Views
mlinzi wa nyumba ya mbunge wa singida mjini Mh Dewji,amenusurika kipigo baada ya kutuhumiwa kufanya wizi wa simu pale Morning glory hotel areac jana,Leo walimkamata na kumsachi na kumkuta na simu...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
...jamani, hata shule itanishinda! Kikwete anaona fahari gani kujiita rais wa Taifa letu tunalolipenda? Lini ataiipenda nchi yetu? Mlio na mawasiliano nae mwambieni kuwa angalau ataokoa...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Kwa waliofika Bagamoyo kama unaelekea Msata Kuna Dayosisi flani hapa dar imepewa hekari 400 na inauza kwa mtu mmoja mmoja washarika Pembeni mwa shamba hilo kuna Mwisraeli ana hectarz of Land Mh...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Nimenunua sukari leo asubuhi,Sept 04,2011 1kg sh 3200! This is now too much wakuu! Nazidi kupoteza matumaini ya kunywa chai siku chache zijazo.
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Source: Radio France Internatinale. Juzi wakati nasikiliza hii radio, kulikuwa na mama mmoja anahojiwa. Huyu mama anaitwa Chaiba Kombo ni Mwandishi wa Vitabu na Mdau mkubwa wa Sanaa za hapa...
0 Reactions
6 Replies
6K Views
Did you ever wonder where on earth an investor is capable of relocating a public institution just to extend his parking lot or investment area? The following cable unveils the beginning of the...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Wakuu safari kati ya mwanza,dar,shinyanga, geita, kwa basi hili ni kero tupu! Hakuna utaratibu wa siti, wala ratiba ya kuondoka/kufika kwa wale wa Geita kulala feri ya kigongo ndio imekuwa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Niliwahi huko nyuma kupata sms ya mtindo kama huo hapo chini nikapuuzia, jana watu wawili wajuani wangu wametumiwa sms yenye maneno haya YOUR CELL NUMBER HAS WON 415,000.00 POUNDS FROM NOKIA-UK...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Tanzania Yamtimua Mfanyibiashara Ya Binadamu Kufuatia kuibuliwa kwa biashara ya binadamu nchini, Serikali imemfukuza mfanyabiashara Altaf Hussein anayetuhumiwa kuhusika na biashara hiyo...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Maiti Wa 'Kusomeshea' Wazua Kizaa Zaa Muhimbili Tafrani kubwa iliibuka juzi usiku katika Hospitali ya Taifa Muhimbili jijini Dar es Salaam baada ya lori moja kutiliwa shaka kuwa liliingia...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Wakuu! Kwa wale wenzangu wanaopataga Udirinki kiasi! Ukiwa maeneo ya kwenu au ugenini kule vijijini kabisa ambako Bia ni nadra au hakuna kabisa. Je, unapataka Udirinki ya kwenu? Hapa...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Serikali ya Sudan Kusin imeamua kuhamisha mji mkuu kutoka Juba hadi mji wa Ramciel,uamuzi huo umefikiwa na baraza la mawaziri ambalo lilikaa na kuamua.Wazairi wa Habari Barnaba Marial Benjamin...
1 Reactions
27 Replies
3K Views
Pengo anasema ni usaliti kulinda utukufu wa watu wachache huku ukiangamiza wengi,amesema hata kama ni yeye asionewe haibu,alikuwa anazungumzia maswala ya ufisadi na madawa ya kulevya ktk ibada ya...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Kila kukicha tunasikia na kuona mashindano ya u-miss, ina maana TZ kwa sasa haina njia nyingine ya kusaidia watoto wake wa kike zaidi ya kuwatembeza na kuwavalisha vichupi hadharani? Kwani Voda...
2 Reactions
41 Replies
5K Views
NA NKOROMO DAILY, IGUNGA Nape Nnauye akitoa Rambirambi zake Nzega, kwa familia ya Mtoto Peter Ezekiel. CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) leo kilikuwa mstari wa mbele katika maandalizi na mazishi ya...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Back
Top Bottom