ndugu leo nilienda atm kuchukua salio, cha ajabu zikatoka noti za zamani mpyaaaa.... na namba zake kwa mpangilio.
yaani mimi ndo nimezianzishia mzunguko.... nilishangaa kupata noti hizo. mi mawazo...
Naona sasa haka kamtindo kanakaribia magogoni kwa style hii
hivi tanzania tumerizika na maisha tulionayo mbona wenzetu wanamaisha zaidi yetu lakini wanadai zaidi
sie tumelogwa na bagamoyo...
Wizi wa kimtandao. Muwe makini na simu zenu, jamaa wamehama kwenye intanet sasa wanakutumia sms kwenye simu yako direct. Imagine, unatumia simu ya Samsung, then unapokea msg umeshinda mahela ya Nokia!
Wadau Idd Mubbarak!
Baada ya Bosi wangu yule Mchina kushindwa kutulipa kamshahara ketu ile jana kwa sababu alizodai ziko nje ya uwezo wake. Leo hii majira ya saa 4:30 hivi asubuhi. Nilikuwa...
mwenye taarifa kuhusu mgodi wa kuchimba uranium hapo bahi dodoma atujuze,nimesikia ungeanza mwezi wa nane,umesitishwa kwa sekeseke la jairo,mpaka mwakani,na wanaofisi yao maeneo ya airpot dodoma...
Wakati wananchi wote ulimwenguni masikio yao yote wametega huko libya dhidi ya waasi wanao msumbua ghadaphi bila kosa, je mahamuzi aliyo fanya Rais wa zimbambwe Robart mugabe kumtimua balozi wa...
Balungwana Kwema?
Huku kwetu Wilaya mpya ya Mbagala Tanesco wamechukua umeme wao tangu saa 10 jioni, baada ya kutuzuga na umeme wa sikukuu ya Idd. Je hapo ulipo bado umeme upo? Tujuzane ili...
IGP.Mwema
Nyumba 19 zimechomwa moto na mtu mmoja ameuwawa kwa kuchomwa moto kufuatia
tafrani kubwa kulipuka kwenye kijiji cha Ulumi tarafa ya Mwimbi wilayani
Sumbawanga mkoani Rukwa wakati...
Mh Mbunge wa ubungo ongera kwa mkala wako wa Dawasco hatimae maji yametoka leo.Kumbe watu wanaogopa maandamano bila mkwala wako maji tuliyasikia mala 4 ya mgao wa umeme
Kijana Emanuel Didas Marshai (24), ambaye madaktari walikosea na kumfanyia upasuaji wa kichwa badala ya mguu wa kulia, anakamilisha mchakato wa kuishataki Serikali na kuidai fidia ya Sh800...
Uvamizi wa mataifa ya Ulaya na Marekan unaoendelea dhidi ya Mtaifa huru ya Africa. Walipokuja na ajenda ya kutufundisha utu. Wakaja na divai ya ustaarabu ndani ya kiriba cha utumwa/ukoloni. Na...
Alikuwa akitokea msoga kula sikukuu ambapo dereva tax mmoja aliingilia msafara, kilichosaidia ni utulivu wa dereva tax huyo kutulia upande wa kulia kwake na gari zilipita salama, Dereva tax huyo...
Jamani nimesikiliza kipindi cha jahazi leo kibonde akijadili kifo cha mwandishi mmoja wa habari huko mwanza aliyeuawa kikatili mr Masatu.
Kilichonishangaza ni ushauri alioutoa kwa watanzania...
Nianze kwenda kwa nani?
Leo nimepata simu, Huko kwangu ofisini, Zote tena taslimu, Zimefika mikononi,
Na zote hizo muhimu, Nimezisoma yakini,
Nianze kwenda kwa nani, washairi nambieni.
2. Simu...
Suala la nani mmiliki wa kampuni la kagoda sasa limewekwa wazi,baada ya mwanaharakati mmoja kuweka wazi kuwa rostam aziz na yusufu manji pamoja na binamu zake r.a.sasa ni wakati wa serikali...
Kama umesoma gazeti la Rai la Juzi tarehe 1/08/2011, ukabahatika kusoma Makala inayohusu Eneo la Ramsar la bonde la kilombero utaona ni jinsi gani watanzania wanaweza kujali masuala Rahisi kama...
Namkumbuka 'Uncle Tom' alishirikiana kina McGhee, na wanajeshi kadhaa kutaka kumpindua Nyerere enzi hizo. Kama kuna walioshiriki na wako hai, basi watujuze kash-kash zilivyokuwa.
Salaam,
Natumaini wana jamii ni wazima wa afya,kwangu mimi ni mzima na buheri wa afya.
Eti huo usemi hapo juu ni wakweli?
Kama nikweli inamana wanawateja wengi kuliko kampuni za simu zote hapa...
yule mkulu wa BOT wa sh bil 21 amekamatwa gerezani akiwa na simu nokia ya tochi akiwasiliana na kigogo kuomba amfanyie mpango wa kutoka gerezani na hivyo kafikishwa jana kituo cha polisi...
Kweli fedha fedheha,
Katika hali ya kusikitisha na kuogofya, uhai wa mtanzania unachezewa kwa pesa za kifisadi za DG wa PPF Bwana Erio William Mkapa.
Ijumaa ya tarehe 26 August, gari la PPF...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.