Wachangiaji waliowengi wamekataa kuwa si maendeleo. Nimependa sana wageni wa leo.
Wamejitahidi kuonesha usomi wao ila kuna kijana mmoja anasema kuna benki ya vijana na
akajibiwa kuwa hiyo ni ya...
Kama watanzania wenye upeo na mtazamo chanya tuna haki na wajibu wa kuwapuuza hawa wanaoandaa na kutetea hoja za kibaguzi/chuki zenye muelekeo wa kugawa nchi ikiwa ni kidini ama kimakabila.Hawa...
Matumizi ya Green na Brown cards za NHIF zinabagua wanachama na zinasababisha matibabu hafifu kwa wala wanaotumia Brown card.Je hii ni sahihi hasa kwa maana kuweka baadhi ya Hospitali kubwa kutibu...
Kwa wale wazoefu / experienced naomba msaada jinsi ya kuanzisha premium rate sms service mfano ringtone download au astrology. Assume tayari ni shadevelop software ya kurecieve/parse/kusend sms...
Kwaio ndio tumefikia hapo wabongo, kusali na kuomba ili mvua ije ijaze mabwawa yetu.
Tuokoe kilimo na muhimu zaidi tupate umeme wa kueleweka.
Je wenzetu wa UK, Japan, USA na nchi zingine huwa...
PENGINE HILI LITAWAFUMBUA MACHO KWA KUKUMBUKA ALIOSEMA RAIS ALIEPITA MH MWINYI
SRC HABARI LEO
WAISLAMU wameshauriwa kujenga shule zingine badala ya kutarajia kurudishiwa zilizotaifishwa na...
Ndugu wapendwa
wote wafanyakazi wa swissport dar jro na east africa nzima polen kwa msiba mkubwa wa ndugu yetu kaka yetu
mr muyanza loadcontroller aliefariki kwa ajali ya gari pale njia panda...
Kwa niaba ya waislam wote wanaotumia Jamii Forum ningependa kuwatakia Iddi njema leo. Pia ningependa kuwatakia wale ambao wanasubiri kutangaziwa na BAKWATA au Serikali kama kesho wale Iddi (...
Samahani kwa usumbufu wandugu,
TCU wametoa majina na humu JF kuna wadau wametoa link zao kupata kirahisi, manake ya TCU haifunguki.
Ombi: Ndugu zangu me natumia simu ku access internet...
Wakuu naombeni msaada wa jina kamili kwa kiingereza la wizara inayoongozwa na Mh. Magufuri.
Nisaidieni kabla sijasema ni ministry of construction.
Msaada wajameni lugha sio yetu hii.
Eid Mubarak Wakuu ...!!
Hatimaye yale matangazo ya Televisheni ya kituo cha Star TV tuliyoyakosa kwa kipindi kirefu jijini Arusha (ikiwemo na Midahalo kadhaa iliyowahi kuandaliwa na kurushwa...
Waungwana naomba kuuliza kuhusu kesi za uchaguzi mkuu mwaka 2010.
Je! Kuna kesi ambazo zimeshatolewa maamuzi?
Maamuzi yake yalikuwaje?
Kama hakuna ni lini kesi hizi zitafikia tamati?
AFP - 11 hrs ago


Bonn, the former West German capital, has introduced a parking meter for prostitutes, a first in Germany, in order to tax those who just work the streets, a...
Police on the scene at Playland on Tuesday (Norman Y. Lono for NY Daily News)
'It's clear, this all happened because we're Muslim,' says Dena Meawad. (Norman Y. Lono for NY Daily News)...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.