Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Katibu wa Nec, Itikadi na Uenezi CCM, Nape Nnauye akizungumza na viongozi wa magazeti ya kampuni ya Free Media Ltd, wachapishaji wa magazeti ya Tanzania Daima na Sayari, alipotembelea ofisi za...
1 Reactions
22 Replies
3K Views
habar wa jf hv ndugu zangu dstv wanamatatizo gani gharama zinazidi kupanda sana au wao ndo wanazijua pesa sana kuliko sisi mm nadhani kampuni nyingine ijitokeze watashusha bei wenyewe wana jf...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Wadau ni muda sasa zantel wanatangaza watu waongeze salio kupitia Mimina huku wakipata bonus ya nusu ya salio waliloongeza. Cha ajabu bonus hii ina sifa zifuatazo. 1. Kama simu yako inayo salio...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Watanzania kama tuliweza kula majani kipindi cha waziri Bazil Mramba tukanunua jet ya Mbayuwayu ambayo inaruka toka Dar na kutua Kampala wakati destination ni KIA, inakwenda xafari ambazo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Salaam Alyeikum mabibi na mabwana Hatimae mwezi umeandama na kesho itakua siku kuu ya Idd el Fitr kumbuka kutoa sadaka na kutenda yaliyo mema. Mungu awajaalie muwe na afya njema na atukinge na...
0 Reactions
13 Replies
9K Views
Slain Navy SEAL's Loyal Dog Remains by His Side at Funeral During the funeral for US Navy SEAL, Petty Officer Jon Tumilson, who was killed in a helicopter crash in Afghanistan earlier this month...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Jana kumetokea na ajali ya gari aina ya Randrover inayofanya safari zake tokea Mbinga kwenda mji mdogo wa Mbamba-bay hapa mkoani Ruvuma ambapo gari hiyo iliyokuwa inaendeshwa kwa mwendo kasi...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kuna wakati unampigia ndugu,jamaa au mke unasikia simu inaita tu,ukienda kukutana naye anakwambia mbona simu ilikuwa imezima! Na mwingine hiyo line ya Airtel wakati huo haitumii na simu inaline...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Sasa hivi kinaendelea kipindi cha hoja yangu radio one stereo. Mada- KUBADILIKA BADILIKA KWA BEI ZA MAFUTA NCHINI, miongoni mwa wazungumzaji ni mwanaharakati Renatus Mkinga, watch out!
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Fiqh Council of North America Announces 2011 Ramadan and Eid Dates | ISNA Fiqh Council of North America Announces 2011 Ramadan and Eid Dates The Fiqh Council of North America Announces...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Ki ukweli nimeshindwa coz kama umakini nimejalibu kuwa makini zaidi ya umakini wenyewe nimezuia update automatic zote kwenye ma laptop,nilinunua bandle ya 1gb nimekaa nayo siku kumi tu tena nasoma...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Ni kwa muda mrefu sasa mitandao yetu ya simu imekuwa ikijishughulisha na huduma za kibenki na imefanikiwa kurahisisha sana huduma ya utumaji, upokeaji wa fedha pamoja na kulipia garama mbali...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Tokea kupitishwa kwa bajeti ya wizara ya mambo ya ndani ya nchi na naibu waziri kuwadanganya wabunge kuwa polisi wanalipwa posho ya tsh 150000 habari za kuaminika kutoka ndani ya
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Taarifa za kiintelijensia zinasema kuwa serikali iko mbioni kumstaaafisha katibu aliyesimamishwa kwa kigezo kuwa umri wake wa kustaafu umetimia. Hayo yanafanyika ili Tume itakayoundwa na bunge...
0 Reactions
31 Replies
4K Views
Ndugu wana JF,tunaambiwa spika lazima awe mbunge au mtu yeyote mwenye sifa ya kuwa kuwa mbunge.na atokane na chama cha siasa.wakati bunge si chama cha siasa bali kinachotetea katiba ya nchi.kwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hebu angalia link hiyo chini, huwa najiuliza sana hivi sisi Watanzania ni watu wa namna gani iwapo mtu kaiba kuku kauawa kikatiri namna hii, alafu watu wanaiba mabilioni wanaambiwa wajiuzuru na...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kumekuwa na kupanda Holela juu ya Bei ya hii Bidhaa ilikuwa ni Tsh 44,000/- juma lililopita lakini kwasasa imeshafika tsh 50,000/- sababu haijulikani yaani genge la wafanya biashara walanguzi...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Naamini kwamba system ya kulipia Parking iliwekwa ili kuongeza mapato ya jiji na pia kufanya mpangilio mzuri wa kuegesha magari kusiwe na kero barabarani! Jijini Mwanza hawa jamaa wanaotoza...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
My Dear President Ukiacha matatizo ya umeme /jairo/mafuta na wale wabunge machchari waliotaka kutusumbua kisa kuwapa mhimili mmoja wapo wa nchi Napenda kukuwissh Eid Mubarak ila ukiona kimya my...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Hiki chama sikielewi kabisaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!!
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Back
Top Bottom