Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Katika vichwa vya habari ktk magazeti ya leo kulikuwa na taarifa za kondoo wa quran kule Hai Moshi kufanyiwa dua. Tunaomba walio na taarifa watujuze yaliyotokea huko.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kwenye baraza la idi kwa mara ya kwanza Rais Jk ameongea kama kiongozi ndani msikiti wa gadafi ila kuna neno takbir huwa linatamkwa msikitini sijasikia ,au hotuba ilikuwa kinyume na matarajio!then...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Baadhi ya mawaziri wa kiume katika serikali ya Raisi Robert Mugabe wa Zimbabwe wanatarajiwa kutahiriwa hivi karibuni. Huo ni mkakati waserikali ya Raisi Mugabe kwa kushirikiana na taasisi moja...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Leo usiku katika kipindi cha "Usiku wa habari" kupitia televisheni TBC walikuwa wameandaa habari inayohusu ujenzi wa shule za sekondari huko Kinondoni(Kimara) Dar es Salaam. Nilitamani kuanza...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Watanzania kama tuliweza kula majani kipindi cha waziri Bazil Mramba tukanunua jet ya Mbayuwayu ambayo inaruka toka Dar na kutua Kampala wakati destination ni KIA, inakwenda xafari ambazo...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
NANI ALEYATOA AMRI YA KUWAVUNJIA MAKAZI NA KUWAHARIBIA MAZAO WANAKIJIJI KIMBIJI ?? SOURCE: http://fundirkombo.blogspot.com/ Wanakijiji wa kimbiji bado wamebaki na mshangao ! hakuna afisa...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
WATALII kutoka Ufaransa waliopanda Mlima Kilimanjaro, wameibuka na kioja cha mwaka jana baada ya kuonyesha picha ya mbwa wanayedai yuko juu ya mlima huo. Kama tukio hilo litakuwa la kweli, basi...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Leo kwa macho yangu nimeshuhudia traffic akisimamisha gari la mbele yetu ghafla kiasi kama si gari yetu kutokuwa na brake nzuri basi jamaa tungemvaa Mbaya zaidi uyu traffic amekaa kwenye kona na...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ni wa kipekee sana na inasemakana huu muundo haupo sehemu nyingine duniani, lakini hivi majuzi wakati nasikiliza BBC nakasikia mtu akisema muungano wa England na...
0 Reactions
0 Replies
956 Views
BASI la Champion lililokuwa likitoka Mwanza kwenda Dar es Salaam, limepata ajali mbaya jana na kusababisha vifo vya watu wanane papo hapo, abiria wengine 53 wamejeruhiwa vibaya, 21 kati ya hao...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kuna taarifa kuwa serikali ya Zimbabwe imemfukuza balozi wa Libya nchini humo kutokana na kitendo cha balozi huyo kuamua kupandisha bendera ya waasi. Kitendo cha balozi huyo kupandisha bendera ya...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
KOMPYUTA 21 zilizotolewa na mfadhili katika Shule ya Sekondari Buyango Wilaya ya Missenyi , mkoani Kagera zimegeuka mzigo baada ya kushindwa kuzitumia kutokana na kukosekana kwa umeme. Diwani wa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nimesikia kwa miaka mingi sasa maraisi wetu wakitoa msaada na salamu za mchele, mbuzi na mafuta ya kupikia kwa wenzetu wanaoishi kwenye mazingira magumu. Jamani, hivi nyama ya mbuzi na wali mbona...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
396 wafa Dar kwa ajali za pikipiki na Zawadi Chogogwe Source: Tan Daima WATU 396 wameripotiwa kufa katika ajali 2,856 zilizohusisha pikipiki 3,659 zilizotokea katika kipindi cha miezi sita...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Website ya Foreign haina TRAVEL ADVICE or UPDATE on JAPAN sasa kama tunataka kwenda au tukitaka kujua usalama wa ndugu zetu waliokwama kule itakuwaje?? Its easy to say kuwa tucheki na...
1 Reactions
40 Replies
6K Views
Alisema Wamarekani hawatuwezi na tutawachinja sana mwaka huu, huku wamarekani wakipiga mabomu nyuma yake, sasa mtu akisema waasi wa Libya hawajauteka mji mkuu, naikumbukia Iraq 2003.
1 Reactions
29 Replies
3K Views
ndugu wana jf mimi nimesoma elimu ya kibongo na ya kingereza nimeona tofauti kubwa sana kwenye kumjenga mwanafunzi.nyie wakuu muna onaje tubadilushe mfumo au?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
  • Closed
Jamani hawa bakwata mbona hawatangazi mwezi? Mwezi umeonekana mtwara na baadhi ya maeneo ya kusini.....nashindwa kuwaelewa hawa watu nao wameshikwa na magamba tatizo....pumbafu sana hawa
2 Reactions
141 Replies
17K Views
Wapendwa nilipita mida ya saa nne leo mwenge nikakuta gari mbili zimeingia kwenye stand ya basi zimepaki nikiwa nasubiria kununua gazeti la daily news kaka yangu mmoja dama akasema pole kaka leo...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Ni hawa; Fungua jamii Forum saa 6, usiku, utawaona bado wapo wakijadili au kusoma Masuala Muhimu ya nchi hii wengine mpaka asubuhi wataendelea kuwepo, Bila shaka wanachelea mgao wa umeme hivyo...
1 Reactions
21 Replies
3K Views
Back
Top Bottom