Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
seriusly...this issue ni ya kutafakari saaaannaaa....je uamuzi wa uongozi wa chuo cha MT. AUGUSTINO Mwanza wa kuwapiga marufuku wadada kuvaa suruali ni sahihi?nahisi wangekataza watu kuvaa...
0 Reactions
38 Replies
6K Views
Swala ya Idd Kitaifa inatarajiwa kufanyika Msikiti wa Gaddafi Dodoma huku JK akiwa mgeni rasmi. Hii inafanyika wakati kiongozi huyo wa Libya akiendelea kusakwa na majeshi ya waasi wa Libya.
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Jamani soma kwa makini huo ujumbe muone hela za daddy zinakoishia.!!!!!
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Gamal Abdel Nasser, Julius K. Nyerere, Kwame Nkrumah, Nelson Mandela, Kenneth Kaunda, Patrice Lumumba, Haile Selassie, nwar Sadat Keneth Kaunda... na... wengine
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Kwa Mtanzania aliyepia shabiki wa timu ya Arsenal.Kati ya Jakaya Kikwete na Arsene Wenger ni nani unayemchukia zaidi ?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mkuu heshima kuna mada zaarsenal umezijaza kila sehemu sasa asbh tunaangalia mambo muhimu kila kona tunaona arsenal mada ilele ile embu angalia kidogo jinsi ya kurekebisha hizo thread mkuu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mwandishi wa habari anayealindikia gazeti la Mwananchi kutokea Arusha, Mussa Juma, ameanza kuandamwa na Serikali na sasa uraia wake umeanza kuhojiwa huku yeye akihusisha hatua hizo na msimamo...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Kwa Mtanzania aliyepia shabiki wa timu ya Arsenal.Kati ya Jakaya Kikwete na Arsene Wenger ni nani usiyempenda kabisa ?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Rais Jakaya Kikwete anatarajiwa kuwa mgeni rasmi kwenye baraza la Idd litakalofanyika kesho kwenye msikiti wa Gaddafi Dodoma. Sherehe zinafanyika wakati kiongozi huyo wa Libya anaendelea kusakwa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
By Sheik Yermami Two FGM Updates from MEMRITV. “Egyptian Villagers Explain Why They Circumcise Their Daughters”: Following are excerpts from a television program about female circumcision in...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Hivi katika zama hizi za utandawazi kuna mtu anaweza kusema kazi fulani ni kwaajili ya wanawake tu na nyingine ni kwaajili ya wanaume tu. Binafsi, sioni tofauti ya kazi zinazofanya na wanaume na...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nikiwa miongoni mwa watu waliopatwa na mkasa wa kukatwa fedha na Airtel naona si busara kukaa bila kutoa feedback hapa jamvini kuwa hatimaye fedha hiyo imerudi kwenye Account yangu! Ahsante kwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wenyeji wavamia shamba la Aga Khan University aka A.K.U (zamani Manyara Estate, Kisongo) na kuwasha moto MKUBWAA. Wakazi wa jirani wanadai kuwa uvamizi huo ni kwasababu ya kunyimwa eneo la...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
SOMA UJUMBE HUU NA UNIPE USHAURI, NIMEUPATA KWENYE BARUA PEPE YANGU. JE NI UKWELI AU UTAPELI? Hello Dear Thank you for your timely response. I hope you and your family are feeling very good...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Huku tz ikiwa ktk dimbwa la ufisadi wa kutisha mpaka kuua shirika takatifu la ndege, Rwanda sasa wamefanikiwa kushusha ndege mpya kabisa na kuanza harakati za kupanua safari zake mpya za ndege za...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Wanajamvi, Nanyaro ambaye ni Mwenyekiti wa Bavicha mkoa wa Arusha,na mwenyekiti wa wilaya,pia ni diwani wa Levolosi,amehojiwa kwa saa kadhaa,kwa tuhuma za kuhusika na njama za kutaka kumwua meya...
1 Reactions
48 Replies
5K Views
Kuna tetesi kuwa kuna sintofahamu kati ya spika Anne Makinda na naibu wake Job Ndugai kuhusiana na naibu spika kuruhusu wabunge kujadili sakata la katibu mkuu wa wizara ya nishati na madini David...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Aaahaaaa hawa bwana sijui walitolewa chooni kuja kuchaguliwa ameulizwa kuhusu ubalozi wa libya kuweka bendera ya waasi je tunaitambua serikali ya waasi akadai hilo alinisumbui wakiweka ainisumbui...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Katika hali isiyo ya kawaida mfuko umeshindwa kufanya mkutano kutokana na lawama za wanachama
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kulingana na Mapenzi ya WanaBiharamulo, wanazipenda sana sera za CHADEMA hasa ukizingatia ni mambo mangapi ambayo CHADEMA wameyamulika na hivyo kuleta msisimko kwa wananchi na kuwaamsha akili...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Back
Top Bottom